Ukweli mchungu kuhusu Lulu: Kanumba anaonewa

Ukweli mchungu kuhusu Lulu: Kanumba anaonewa

Mwenyezi Mungu hamtupi mja wake, kama aloweza kumnusuru na kifo kutoka kwa yule baba mtu mzima basi atamnusuru na kifungo pia.

Huyu kigagula Mange hata aseme nini uchizi wake sidhani kama mahakama itaelewa.

Angenyamaza tu aendelee kuomba Watz wasio na akili wamchangie pesa aendeshe maisha yake.

Chizi tu mange na wivu wake wa kijinga.kila mtu kwake mbaya

Mungu atamsimamia Huyu mtoto mimi pia Nilikuwa sikapendi haka katoto but she has changed a lot Sio lulu yule wa zaman

Kamerud shule kamesoma dip ya Human resource alihojiwa mahali akasema anataka kujiendeleza Na degree Ni waz kamebadilika kamejifunza Lkn Watu wasiojielewa wamekalia kumhukumu Tena kwa mambo ya kale
 
Ss unabishana Na mamake na babake waliomzaa Au cheti chake kuzaliwa kaulzie RITA basi..Watu Wengi wanadanganya umri iko wazi..Hata yy akifanya hakujua Kama yatamkuta makubwa.foolish age kutaka Sijui aendeshe gari, aingie club ,asign mikataba mwenyew..Ni utoto tu.Kisa tu alidanganya umri Sio sababu ya kumhukumu.Kila mtu Ana udhaifu wake.au ww uko kamili
Jamuhuri imetoa vithibitisho kwamba (ELIZABETH MICHAEL)Lulu ana zaidi ya miaka18.
Aidha mawakili wa Jamuhuri wakiwakilisha vidhibitisho hivyo wamesema wamepata baadhi ya vidhibitisho ikiwemo cd iliyorekodiwa kabla na moja ya chombo cha habari CLOUDS TV chini ya mtangazaji "ZAMARADI MTETEMA"zinamuonyesha Lulu akikili kwa mdomo wake kwamba ana zaidi ya miaka18.Aidha vidhibitisho vingine vilivyopatikana kutoka police vinaonyesha maelezo ya Lulu kwenye form wakati akiomba pass ya kusafiria na driving licence zinaonyesha Lulu(ELIZABETH MICHAEL)ana zaidi ya miaka18.
 
Ss unabishana Na mamake na babake waliomzaa Au cheti chake kuzaliwa kaulzie RITA basi..Watu Wengi wanadanganya umri iko wazi..Hata yy akifanya hakujua Kama yatamkuta makubwa.foolish age kutaka Sijui aendeshe gari, aingie club ,asign mikataba mwenyew..Ni utoto tu.Kisa tu alidanganya umri Sio sababu ya kumhukumu.Kila mtu Ana udhaifu wake.au ww uko kamili
mahakamani hiyo inatosha kujulisha kwamba huyo ni mtu muongo,NI KWA NINI AAMINIKE KWA MAELEZO MENGINE?
 
mahakamani hiyo inatosha kujulisha kwamba huyo ni mtu muongo,NI KWA NINI AAMINIKE KWA MAELEZO MENGINE?

Aaminike kwa umri??? Kesi ya msingi Ni umri?? Anashtakiwa kuua bila kusudia kitamchofunga Au kumuacha huru Ni ushahd Sio mambo ya umri
 
Aaminike kwa umri??? Kesi ya msingi Ni umri?? Anashtakiwa kuua bila kusudia kitamchofunga Au kumuacha huru Ni ushahd Sio mambo ya umri
kama ni hivyo kwa nini ndani ay wioki mbili alitoka kuwa miaka 18 hadi 16? si ali ashtkiwe awe treated kama minor? jaji rumanyika alivyouliza swali la leseni juzi alikuwa na maana gani?
 
kama ni hivyo kwa nini ndani ay wioki mbili alitoka kuwa miaka 18 hadi 16? si ali ashtkiwe awe treated kama minor? jaji rumanyika alivyouliza swali la leseni juzi alikuwa na maana gani?

Kubali kataa..marehemu alikuwa anambaka Hata Kama walikubaliana huo Ndo ukweli PERIOD!..mengine tuwaaachie mahakama
 
Kubali kataa..marehemu alikuwa anambaka Hata Kama walikubaliana huo Ndo ukweli PERIOD!..mengine tuwaaachie mahakama
kwa nini tumuamini mtu aliyedanganya TRA kupata leseni na uhamiaji kupata passport,kamdanganya hadi jaji juzi kuhusu leseni? kwa nini tumuamini?
 
Una uhakika panga halikukutwa??? Na Askari wenyew wamethibitisha wamekuta panga Na jack daniels.usiongee kimihemko tu we ndo unaonekana mpumbavu tu.huyu mtoto ilikuwa afe yeye Lkn still watu wanakosa utu.
kaka hekima yako naona sasa inaenda sifuri, sijakutukana kukuita mpumbavu kama ww ulichokitamka apa, Tudiscuss thread ila sio kunitusi sawaee, " and kama panga lingekuepo mahakama ingeliona kama kama ushahidi, kwann wakat wa mahakama kupokea maelezo kutoka kwa upande wowte halijaletwa panga, na kwanin LULU katika maelezo yake aliyoyaandika pake kituoni Police Post hakuonesha wala hakueleza habr za panga? Kaka naona ww hujielewi ila pole maana unashabikia ila huangalii uhalisia
 
Awe Na sympathy kwa mama kanumba aliolewa??? We unaona ni maadili kwanza kusaidiwa Na hawara??? Hizo nywele kwanza alikuwa Ana shoot movie kaangalie kwa camera man farid uwezo IG..sasa kwa Kuwa Ana kesi mambo mengine yasiendelee akae alie tu ??binadamu Hamna jema Hata.Et anachezea simu kwa akili yako anaweza chezea simu mbele ya judge ?? Au ndo ilimrad uonekane umeongea tu
braza Lulu anakulipa nn kumtetea mitandaoni? tueleze basi unataka labda uchangieni vp sasa,
 
Back
Top Bottom