Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 6,450
- 17,648
Lema akiondoka CHADEMA atakuwa kakifanyia chama favour kubwa sana. Lema alikuwa anabebwa na CHADEMA kama taasisi lakini yeye binafsi ni mtupu kabisa. Hawezi hata kujieleza zaidi ya kuegemea mistari ya Biblia
Hata Kambona alikuwa na umuhimu TANU kuliko hata umuhimu wa Lema aliokuwa nao CHADEMA.Tuache unafiki, unapoongelea ukuaji na mizizi ya CDM huwezi kumuweka Lema mbali.
Lema ni moja ya watu muhimu kwenye ujenzi wa CDM kutoka ilipotoka.
Haya unayoongea ni kumkosea Lema heshima kisa kuwa na mtazamo tofauti na wengine mnavyowaza, ile demokrasia na hali mnayoimba iko wapi sasa??.
Mliwahi kumuita Dr Slaa msaliti, ZZK msalliti, Mbowe msaliti na sasa Lema kisa tu kwenda tofauti kifikra na mawazo lakini mkamuita EL na kundi lake la ulipo tupo makamanda..
safarini Mogadishu - Somalia.
Ndio maana unajiita ndege john. Akili ya ndege ndio ulionayoChama ki naendelea vp wakati kishakufa watanzania tuko busy na mambo mengine labda kdg hilo la lissu ndo tutalifuatilia aachiwe tu arudi mtaani tuko busy tunafuatilia siasa za kimataifa kwa sasa
Lema kwanza kabla hujaenda kwenye content, attitude yake ni nyodo, delivery yake ni egotistic, anataka kukuonesha yeye ni mtu wa matawi, connection, bragging. Kumbe hajui huo ni ulimbukeni unaomuonesha kuwa yeye ni mshamba tu.
Tofauti kabisa na mtu kama Lissu ambaye anaweza kuwa firm, but modest, principled. Ukajua hihu jamaa anasimamia nini.
Mimi napenda sana kuchambua wanasiasa kwa kuangalia logical consistency.
Lema ukimpa dakika kumi tu kuongea unagundua anaji contradict, hana deep principles, hizo principles anazosema anazo nuingi ni performance tu.
Ukimsikiliza mtu kama Lissu, ukubaliane naye au utofautiane naye, unaweza kuona sophistication, unaweza kuona huyu mtu anasiamamia principles gani. Unaona huyu mtu ana msimamo. Kuna maswali ya mtego (sikumuuliza kwa kumtega lakini baadaye niligundua ni ya mtego)nilishamuuliza Lissu, alinijibu kifalsafa vizuri sana, kwa namna inayoonesha mtu anayejitambua na ana principles.
Yani Lissu watu wanaweza kuogopa kesi ya kunyongwa wakati yeye kashakubali kufa kama Socrates au Mandela.
I can't see Lema doing that.
Lema akianza kuongea tu unajua huyu anatafuta convenience zaidi ya kuwa na msimamo.
Lema akianza kuongea tu, unajua tu this guy is just a hustler with status anxiety, he is lording it over us.
The sad thing is, kuna wakati Lema alivyokuwa Canada nilikuwa nakaa naye sana, tunampiga msasa fulani, nikaona kukaa Canada kunaanza kumfungua mawazo Lema, na kiukweli alionesha uwezo fulani wa kujifunza mambo kwa haraka sana. Mpaka nikawa na matumaini kwamba Lema anaweza kubadilika sana.
Lakini naona kuna mambo kayaacha huko huko sasa hivi anaenda na mazingira ya siasa za kuwindana na kujinufaisha ya Tanzania.
na amewaconfused sana aise dah!🐒Baada ya Godbless Lema kuongea, asilimia 95 ya wanaotoa maoni kuhusu hotuba yake, wanampinga na wanamdhangaa sana
Hii maana yake nini?
Tafsiri yake ni kwamba, umma umeyakaa maelezo yake na zaid umma umeendelea kuwakataa anaowatumikia(waliomtuma)ambao si wengine bali ni watawala
Hata Kamboa
Hata Kambona alikuwa na umuhimu TANU kuliko hata umuhimu wa Lema aliokuwa nao CHADEMA.
Lakini alipotofautiana mtizamo na wenzake alioneshwa mlango wa kutoka. Same kwa Nchimbi, Bibi Titi n.k.
Lema siyo mkubwa kuliko Chadema na nje ya CHADEMA Lema siyo lolote. Labda aende ccm akale makombo.
Kama ameshindwa kwenda na wenzake ni bora ajiondoe akae pembeni kama alivyofanya Prof. Safari lakini siyo kujimwambafai kwenye press as if bila yeye hakuna chadema
Nafikiri Lissu, licha ya character yake tu, ile legal training, kusoma sheria, ile kuipenda kabisa sheria si kusomea mitihani tu kama wanavyofanya wengine, kumemsaidia sana ku analyze mambo deeply na kujua implications zake...Lema angeeleza mapema " strategic engagement" yake na watu wa CCM asingeingia ktk matatizo aliyonayo.
..kuna kitu Lema ameshindwa kujifunza toka kwa Tundu Lissu nacho ni kuwa MUWAZI.
..Lissu alipokutana na Samia Ubelgiji alitoka hadharani na kueleza kile alichomwambia Rais.
..Kuna watu walianza kumlaumu kwamba Lissu hana busara, na hana kifua, kwasababu ya kuweka wazi ajenda za mazungumzo yake na Mama Samia.
..Kitendo cha Lissu kuwa muwazi kimezuia fursa kwa Ccm wana watu wao kupotosha kuhusu mazungumzo ya Lissu na Mama Samia.
..Uwazi huo umemkinga Lissu na uwezekano wa kuitwa msaliti maana Ccm siku zote hutafuta namna ya kuwafanya wapinzani, haswa Chadema, wasiaminiane, na wafarakane.
..Vivyo hivyo kwenye suala la MARIDHIANO. Ccm hawataki maridhiriano yatakayofanyika kwa uwazi. Wanataka maridhiano yasimamiwe na watu wao na yasijulikane kwa wananchi. Mpaka leo hii hatujui nini kilizungumzwa ktk vikao vya maridhiano vya Mbowe na Kinana.
Cc Nguruvi3
..Lema angeeleza mapema " strategic engagement" yake na watu wa CCM asingeingia ktk matatizo aliyonayo.
..kuna kitu Lema ameshindwa kujifunza toka kwa Tundu Lissu nacho ni kuwa MUWAZI.
..Lissu alipokutana na Samia Ubelgiji alitoka hadharani na kueleza kile alichomwambia Rais.
..Kuna watu walianza kumlaumu kwamba Lissu hana busara, na hana kifua, kwasababu ya kuweka wazi ajenda za mazungumzo yake na Mama Samia.
..Kitendo cha Lissu kuwa muwazi kimezuia fursa kwa Ccm wana watu wao kupotosha kuhusu mazungumzo ya Lissu na Mama Samia.
..Uwazi huo umemkinga Lissu na uwezekano wa kuitwa msaliti maana Ccm siku zote hutafuta namna ya kuwafanya wapinzani, haswa Chadema, wasiaminiane, na wafarakane.
..Vivyo hivyo kwenye suala la MARIDHIANO. Ccm hawataki maridhiriano yatakayofanyika kwa uwazi. Wanataka maridhiano yasimamiwe na watu wao na yasijulikane kwa wananchi. Mpaka leo hii hatujui nini kilizungumzwa ktk vikao vya maridhiano vya Mbowe na Kinana.
Cc Nguruvi3
Usisahau kuvaa vest ya kujilipuaSafarini Mogadishu - Somalia
Mbowe alikiacha na kimeishi, sembuse Lema??Lema Namjua hatanii endeleeni kumshika shika shati awaachie chama chenu kisicho na displine
Nilipoona Lema analeta mambo ya tone tone nilijua kulikuwa na msukumo. Lema alitumiwa na wana CCM kumhujumu Heche kwa kuanzisha vurugu za mtandaoni. Wale viongozi waliotoka kumshambulia Heche kwa pesa wasizoweza kueleza zimeliwa vipi ilikuwa ni mkakati wa CCM kupitia Lema..Lema angeeleza mapema " strategic engagement" yake na watu wa CCM asingeingia ktk matatizo aliyonayo.
Exactly! na hilo limemjengea credibility Lissu. Unakumbuka Mbowe alipokwenda kunywa chai alikaa kimya ndipo hoja ya kulamba buyu la asali ilipoanza. Mazungumzo na CCM yanaendelea Mbowe ameficha kama siri, watu walimuona hana credibility na ilichangia sana kupigwa chini katika uenyekiti!..kuna kitu Lema ameshindwa kujifunza toka kwa Tundu Lissu nacho ni kuwa MUWAZI.
Ndio maana wanawataka CHADEMA ili wakapige picha kisha kuzisambaza duniani. Ukweli ni kwamba wanataka uhalali wa madaraka na uhalali wa walichokifanya oct29. CCM hawana nia ya dhati ya maridhiano..Vivyo hivyo kwenye suala la MARIDHIANO. Ccm hawataki maridhiriano yatakayofanyika kwa uwazi. Wanataka maridhiano yasimamiwe na watu wao na yasijulikane kwa wananchi. Mpaka leo hii hatujui nini kilizungumzwa ktk vikao vya maridhiano vya Mbowe na Kinana.
Tuache unafiki, unapoongelea ukuaji na mizizi ya CDM huwezi kumuweka Lema mbali.
Lema ni moja ya watu muhimu kwenye ujenzi wa CDM kutoka ilipotoka.
Haya unayoongea ni kumkosea Lema heshima kisa kuwa na mtazamo tofauti na wengine mnavyowaza, ile demokrasia na hali mnayoimba iko wapi sasa??.
Mliwahi kumuita Dr Slaa msaliti, ZZK msalliti, Mbowe msaliti na sasa Lema kisa tu kwenda tofauti kifikra na mawazo lakini mkamuita EL na kundi lake la ulipo tupo makamanda..
safarini Mogadishu - Somalia.
List ya viongozi wa CCM waliotofautiana na chama chao waziwazi:"Strategic engagement" hiyo ndio approach anayoiamini Lema kwenye kuyaendea mambo yake, bahati mbaya wenzake hawataki kukubaliana nayo, sasa mpaka amekuja hadharani maana yake anataka jamii ya CDM na wengine wajue yeye yuko upande gani wa shillingi ( ndio uwazi huo unaousema sasa, maana Kila kitu kina muda wake, ndio maana kwake huu ndio muda Sasa wa kuweka mambo wazi)..
Kifupi Lema amegoma kukubaliana na approach ya wenzie na amegoma kumezea, baadala yake ameamua kuwa mkweli wapi msimamo wake ulipo ( kosa lake hapa ni nini?)..
Inawezekana Strategic engagement yakina Lema na Mbowe ndio imezaa vipaji vilivyoibeba CDM kama ZZK, Mnyika, Halima, Ester, Lissu, Heche nk...
safarini Mogadishu - Somalia.