Sema mgombea wako sio wenu.Kifupi jiandae tu kisaikolojia Lisu ndani ya chadema hapitishwi.Mark my wordsNi hivi, mgombea wetu upinzani ni huyo huyo Lissu, hivyo vyombo vya dola vitake, visitake lakini habari ndio hiyo.
Mimi pia sina uhakika sanaHakuna mwenye uhakika na hilo.System ipi?Vyombo vya dola?Nafasi ya wananchi kuchagua viongozi wao iko wapi?Lolote linaweza kutokea,usiwe na uhakika sana
Sema mgombea wako sio wenu.Kifupi jiandae tu kisaikolojia Lisu ndani ya chadema hapitishwi.Mark my words
Soma post#25Tatizo watu wa Lumumba hawaelewi kuwa urais ni taasisi. Vyombo vya ulinzi na usalama ni sehemu mojawapo ya vyombo vinavyotumiwa na taasisi hiyo. Havihusiki kikatiba ku-influence nani awe kiongozi wa taasisi hiyo. Wanaofanya hivyo ni wananchi kupitia sanduku la kura. Kwa hiyo, yeyote yule anayechaguliwa na watu ndiye anayekuwa rais na vyombo husika sharti vimtii. Kwa hiyo hakuna pingamizi lolote kikatiba kwa TL kuwa rais.
Wala sio Swala la kutamani Lisu hapitishwi na chadema .Mark my wordsUnapaswa kusema “unatamani asipitishwe”[emoji3][emoji3]
Lisu akuna wakuweza kumzuia kugombea isipokua chama chake.
nani aljua ccm ingempitisha JPM na sio lowasa au membe?
tuelewane pale linapokuja swala la kiinchi lazima watu wenyeakili na walopewa mandates kusimama Ustawi wa nchi wafanye uhakiki hii aijalishi mgombea anatoka wapi.
Mimi pia sina uhakika sana
faida za kutokukubalika na hivyo vyombo ulvovitaja i hope unazijua
Wala sio Swala la kutamani Lisu hapitishwi na chadema .Mark my words
Atagombea kama mgombea binafsi? Maana wamiliki wa CDM wanachaguo lao tayari, Nyalandu. Ni mtu ambaye wanaamini hatowasumbua kwenye kampeni financially
Sema mgombea wako sio wenu.Kifupi jiandae tu kisaikolojia Lisu ndani ya chadema hapitishwi.Mark my words
Unachosema akishinda mtampindua. Haitoshi kuna waliojaribu kumuua. Kwa hiyo mko radhi nchi iingie kwenye machafuko ili tu kama Lissu akishinda asitawale. Hapo mwisho ulipoandika "hatuwezi kuongozwa na Raisi mbeambea, Rais asieweza kusimama peke yake katika maamuzi" inaonyesha wazi humfahamu TL. Jiulize kwa nini walijaribu kumuua? Hivi kweli hiyo system haina kazi bali kufukuzana na mbea na asie na misimamo ya peke yake? Tafakari tena.Wakuu nawasalimu,
naomba muelewe kitu kimoja kuwa sio kila mtu anaweza kuwa raisi wa JMT hili mliweke akilini. Kwa ufupi tuu hata kama Lissu akishinda uchaguzi na CCM kuamua kukubali kushindwa na ku backdown 'system haiwezi kumkubali Lissu abadani... vyovyote itavyokua.
hatuwezi kuongozwa na Raisi mbeambea, Rais asieweza kusimama peke yake katika maamuzi.
Subiri facts Lisu anazo ndio maana anahaha mitandaoni wenzie hawako mitandaoni wako na wajumbe wafanya maamuzi ndani ya chadema yeye Yuko ulaya zake anajinadi mitandaoni kwetu sisi ambao sio chadema na hatuna maamuzi ndani ya Chadema kumteua mgombea!!!Imani hiyo anaweza kuwa nayo mganga tu.Unataka niamini bila facts zozote ulizoweka mezani.
sijui nikujibu nini sjaielewa point yako.Hao waliopewa mandate wamepewa na nani? Chaguzi zetu sasa hivi zimetawaliwa na ushenzi, ukatili na uhayawani wa wazi, hao waliopewa mandate inaonekana ndio hao wanaoagiza huo uchafu. Haiwezekani wenye mandate wapewe na hao hao wanaopaswa kushindana, kwa vyovyote watawabeba wanaowachagua ili waendelee kulinda maslahi yao binafsi.
Hao wenye mandate unaowasema, ni wahuni fulani wasioweza kujitegemea, hivyo wako sehemu wanamteua mtu atakayewapa ulaji. Hicho kikundi cha wahuni wanaojiita wenye mandate, ndio huingiza nchi kwenye machafuko kwa ajili ya maslahi yao. Fahamu ya kuwa ccm sio chama cha kizazi hiki, ndio maana kinatumia mabavu, ukatili na unyama, ili kuendelea kukaa madarakani kwa shuruti bila ridhaa ya wananchi walio wengi. Sasa hivi watu hawataki kujitokeza tena kupiga kura, kisa kuna wahuni fulani wanaojifanya wana mandate, kwa kulazimisha kukiweka madarakani chama kisichokubalika na kizazi hiki.
tatizo mm mvivu wa kutyp ila OKKutokubalika na “baadhi yawatu ndani ya vyombo vya dola”.Taarifa alizokuwa anapata naamini kuna watu ndani ya system wanampenda pia.Ideally,binadamu huwa Na wasiwasi na “kinachokuja “kuliko kile kilichopo.Hiyo ni hali ya kawaida.
😁😁😁😁😁Unachosema akishinda mtampindua. Haitoshi kuna waliojaribu kumuua. Kwa hiyo mko radhi nchi iingie kwenye machafuko ili tu kama Lissu akishinda asitawale. Hapo mwisho ulipoandika "hatuwezi kuongozwa na Raisi mbeambea, Rais asieweza kusimama peke yake katika maamuzi" inaonyesha wazi humfahamu TL. Jiulize kwa nini walijaribu kumuua? Hivi kweli hiyo system haina kazi bali kufukuzana na mbea na asie na misimamo ya peke yake? Tafakari tena.
sijui nikujibu nini sjaielewa point yako.
Ila naomba niwape ushauri wapinzani ANDAENI WANACHAMA WENU kuwa na sifa nzuri kuweza kugombea uraisi