Ukweli mchungu kwa Walokole wote duniani, hamtamuweza Shetani, mtazaliwa kuzeeka na kuondoka hamtamuweza na dunia itabaki

Shetani ana acds 40% Jesus ana acds 100% shetani anakushinda kama hauna MUNGU.
Acds ni kipimo cha nguvu ya imani au uwezo wa nguvu za kiroho
Mfano mchawi anamroga Mkristo mwenye Acds ndogo kuliko mchawi.
So inategemea na wewe umeniconnect wapi.
Duh hicho kipimo umekipataje mkuu hio Acds ndio nn tena
 
Hizo percentages zimeandikwa wapi ili tukazisome vizuri. Isije ikawa umejitungia
Watu ni waongo yaani kipimo cha uwezo kwa asilimia cjui kakitoa wapi huyu
 
Nimekuelewa vuzuri sana kiongozi, wapo watu wanaojindanganya watamuangusha Shetani ndiyo maana nikawambia wasipoteze muda wao hakuna watakachoweza na kama wapo tayari kupoteza muda waingie kwenye 18 zake mwisho watamuona mshindi ni nani kati yao na yeye
Unaweza kua sahihi maana shetani ni malaika na hakuna binadam anaweza pambana na malaika ..ila kumuepuka inawezekana kwa kuacha kufata njia yake
Ukiwa busy na mungu yeye hana time nawe ingawa atakujarib
Lakin kujidai kumkemea hio naonaga ni mbwembwe za kilokole
 
Walokole wote duniani nakupeni za ndani kuwa Shetani hafanyi vita na binadamu. Shetani ni Philosopher hivyo kwa sisi binadamu kwake tunaonekana wadudu fulani hivi.

Shetani hana umri wala hana mwisho, hali halali wala hachoki hakuna kitu chochote anachohitaji ili aweze kuishi kwa maana kwamba ni full package bali binadamu ana mwisho ambao ni kifo, anakula anachoka anaugua kwahiyo kupigana na Shetani ni ujinga mkubwa kuliko ujinga mwingine wowote unaoufahamu hapa duniani

Shetani hafanyi vita na binadamu kwasababu kwake ni kitu kidogo sana ukimsumbua anakupuliza tu kama karatasi unafia kule na hajawahi kumfuata mtu kwa lengo la kumdhuru kwasababu ana nguvu kubwa sana akishuka hapa Tanzania kwa hasira itatokea Tsunami wala hamtaweza kuishi tena.

Anaewasumbua ninyi ni vinyamkera na vibwengo lakini kwajinsi mlivyokosa ufahamu mnadhani ni Shetani mwenyewe.

Huwezi kuwa rafiki wa Shetani kama wewe ni mjinga kwasababu yeye ni Philosopher lazima uwe unajitambua na una akili timamu sio unakuwa mjinga mjinga uliebeba akilini ujinga.

Watu wanaofahamiana na Shetani sio watu wajinga ni wasomi wakubwa, wanasayansi wakubwa duniani na kila yeyote yule unayemfahamu ni mkubwa hapa duniani kwahiyo kumpigia kelele msomi wa kwanza duniani ni ujinga uliokubuhu.

Ifike mahali binadamu mjifunze kujishusha na sio kunyanyua vidomo vyenu kupigia kelele kitu msichokiweza tulieni muelekezwe.

Mbinguni kule ni nyumbani kwake na anaenda muda wote anaotaka na baba yake anamkaribisha sana sasa ninyi binadamu kati yenu wote nani anaekwenda Mbinguni na kurudi.

Nakupa za ndani kwataarifa yako Shetani akikukazia usikanyage Mbinguni hutatoa kwasababu hakuna asichokijua kule nyie wote hata 1% ya akili zake hamna tulieni muelekezwe dunia ilivyo.

Dhambi zote mlizotajiwa yeye anazitafsiri kama udhaifu wa binadamu, kwa maana kwamba anaezifanya anamtafsiri kama fala flani hivi kwahiyo usidhani dhambi zako unazofanya yeye ndiye kakutuma ni ujinga wako wewe mwenyewe unaoufanya kwa mikono yako mwenyewe.

Narudia kusema tena Shetani ni msomi wa kwanza duniani usijidanganye hata siku moja kuwa yeye ndiye kakwambia ukalawitiwe au ukalawiti au ukafe na ulevi au dhambi yeyote ile ni ujinga wako wewe mwenyewe.

Mtu mwenye akili kamwe hafanyi ujinga. Kwa taarifa yako nakupa za ndani Shetani haishi kuzimu kwasasa anaishi kwenye himaya yake mpya iliyojengwa kwa pure Gold. Kuzimu walioko kule kwa sasa ni binadamu peke yao kwahiyo mnapofanya maombi yenu ya kuzimu mnawapigia kelele wenzenu msifikiri yupo kule tena na bado na nyie mtasokomezwa kule ndo mpate utamu mana kwasasa hamjui mnachofanya ndo mana midomo yenu inawawasha kama mmelamba upupu

Mwili wake unatema shoti hapa duniani utazitafuta hutazipata, umeme wa grid ya Taifa ni cha mtoto, alishakuwa shida hafai tena mpaka baba yake anajivunia kuwa na kidume. Baba yake anampenda sana kwasababu ya umaridadi wake vitani. Hizo shoti ndizo zinazowaunguza malaika wanaojaribu kumletea ujinga sasa hizo nguvu zenu mlizo nazo ni zipi wakati ninyi ni miili hivi kweli umezaliwa Tanzania unasema unampiga Shetani? Are you serious au unakula bange mbichi? Kabla ya kufanya mzaha wa kumpigia kelele nenda kwanza kapigane na jeshi la Marekani ukishafanikiwa nitafute nikupeleke kwa vinyamkera na vibwengo, ukimalizana nao nikupeleke kwa majini ukiwamaliza wote nikupeleke daraja la tatu mpaka nakufikisha kwake skeleton ina afadhali
View attachment 3036495
Shetani ni nani au ni nini? Je ni kiumbe chenye mwili au ni Roho?
 
Unaweza kua sahihi maana shetani ni malaika na hakuna binadam anaweza pambana na malaika ..ila kumuepuka inawezekana kwa kuacha kufata njia yake
Ukiwa busy na mungu yeye hana time nawe ingawa atakujarib
Lakin kujidai kumkemea hio naonaga ni mbwembwe za kilokole
Ile ni chumba ingine
 
Duh hicho kipimo umekipataje mkuu hio Acds ndio nn tena
Hizi ni elimu za mambo ya kiroho Giza au Nuru.
Hata mchawi hawezi kukuvamia tu ni lazima apime kwanza Acds zako ni asilimia ngapi ili achague kombora gani akupige nalo.
Akiona acds zako zipo juu ataomba usaidizi kwa wenzake au ataachana na wewe.
Acds ni kipimo cha nguvu ya imani aliyonayo mtu mfano positivity au negativity percentage.
Acds inapima vitu vitano kwa mtu.
1.Nguvu ya imani yako.
2.Weakness zako eg hasira,wivu,tamaa,uzinzi nk
3.Suppoter company,back ups yako nini ukishambuliwa
4.mamlaka ya imani
 
Embu tupatie hizi tafiti
1.Ili uwe karibu na Mungu maana ukiwa na shida ni rahisi kumtafuta Mungu.
2.Ili kuvushwa eneo lingine bora zaidi mfano uliumia kufukuzwa kazi huna jinsi ukaingia shambani shamba likaja kukutoa zaidi ya kazi ukabaki unasema nilikuwa wapi kumbe maisha yapo huku.
Au umefeli shule ukaumia sana ukaona uingie biashara ukajtoboa kuliko wenzako walioajiriwa.
3.Kukuepusha na hatari ajali au kifo.
Mfano bodaboda kachelewa kukufata umekosa basi likakuacha ukaumia sana then baada ya mda basi ulilotaka kupanda limepiga mzinga.
 
Pia hata dunian kwa sasa hakuna aliyewai kumuona shetan maana ili umfikie huyo jamaa lazima uwe mkamilifu haswa, kiroho,kinafsi na kimwili, na uwe mtu special.

Shetan si mjinga eti aache hizi dini ziwafikishe watu mbinguni, huu ni uongo mtupu.

Dunia nzima& dini zote na watu wote kwa kujua ama kutokujua wanamuabudu huyu jamaa shetan kupitia majina ya vificho ambayo hayo majina mnayataja ktk dini zenu.

Ktk sheria ya ya Kiimani hairuhusiwi kiumbe chenye nguvu kubwa kupambana na kiumbe dhaifu, hivyo basi hata shetan hakuna kwa sasa anayeweza kushindana nae, si hawa mapasta, wachungaji, sijui manabii wala mashekhe.

Ili umshinde shetan lazima uwe na uwezo wa kuwashinda wanadamu wenzio wote ktk jamii yako, pili uwe na uwezo wa kuwashinda washirikina&wachawi, tatu uwe na uwezo wa kuwashinda viumbe wa rohoni wenye Rank ndogo ya nguvu ambao ndio kama hivyo vijipepo mnavyotupiwa na wachungaji wenu&wachawi,

Nne ni lazima uwe na uwezo wa kuwashinda majini&mizimu ya uKoo inayoongoza familia na koo mbalimbali.

Tano, ni lazima uwe na nguvu za kuwashinda Pepo wanaotawala Nchi, kanda na Continent zote, baada ya hapo ni lazima uwe na maarifa na nguvu za kuwashinda wale malaika walioshuka na huyo shetan maana shetani si malaika bali cheo chake ni zaid ya malaika.

Shetan haishi kuzimu, shetan hana umbo baya kama mlivyodanganywa, shetan hayuko duniani wala hashindi dunian maana hakuna interest zake kwa kizazi hiki katuweza pakubwa maana hakuna hata mmoja anayeweza kumtetemesha angalau kumchallenge,

hHvyo basi matatizo yetu 90% yanasababishwa na sisi wenyewe, wachawi na vijipepo ambavyo ktk uongozi wa shatani hawa watesi wetu wako ktk cheno kidogo sanaa, yaan ni sawa na kusema tunapambana na Sungusungu licha ya uwepo wa Askari, makapten, majenerali na Raisi mwenyewe, sisi bado hata migambo wanatushinda huyo Rais(shetani) tutamuweza?

Dini zote hakuna hata moja yenye uwezo wa kumshinda shetan maana hawa alishawashinda muda mrefu sana, aliwashinda wanadamu kwa kwadanganya wanamuabudu Muumba wa kweli kumbe wanamuabudu shetan, kupitia maandiko ya dini zilizochakachuliwa.

Quran+biblia zote zimeandikwa na watu ambao waliongozwa na huyo huyo Mungu wa dunia(shetan) ambaye ndiye aliyewashawishi hawa jamaa(watu weupe) kusambaza hizi dini huku yeye akiwapa faida ya kutawala ulimwengu kama faida kwa na mbadala wake(Chunguza hizi dini waanzilishi wake ndio wanaotawala dunia, Ukristo wa Rumi na uislam kupitia Arabs countries Organization)

Dini wala Miungu ya Dini kama vile Allah, Yehova, Yesu hawana uwezo wa kukufanya umshinde shetan, kama unabisha bisha lkn ukweli unao tangu watu wadini wameanza kuomba ni lipi limebadirika? Ni lipi waliomba wakafanikiwa??

Kuombea mgonjwa wa Kansa akapona mmeshindwa mtamuweza shetani?

Kwa wasiojua ni kuwa shetan ndiye huyo huyo Mungu mnaemuabudu ktk dini zenu, ndiomaana mkiomba maombi hayajibiwi,

Maajabu wale washirikina maombi yao yanajibiwa kwa sababu wanaomba direct kwa viumbe wanavyovijua na si ninyi mnaowaomba akina Yesu bila kujua kuwa yesu ni jina la Mzimu ama kijana wa shetan ambaye aliiba stori za uhusika wa mkombozi wa watu, ambaye alikuwepo maelfu ya miaka hapa dunian, baada ya kuondoka kwake, shetan alicheza mchezo kupitia hawa wafalme na viongozi wa kirumi kwa Kumuunda Mkombozi feki ambaye walimuita Yesu/jesus/Yeshua miaka 2000 iliyopita na kusema alikuwa jamaa fulan mweupe aliishi hapo kwa waarabu na alikuwa myahudi, hii ni stori ya kutungwa makusudi kabisa.

ktk historia yesu hajawai kuwepo wala stori zake hazikuwai kuwepo lkn kuna stori za Mtu aliyewai kuwepo zamani kabla ya kuunda kwa hizo stori je huyo yesu alitokea wapi? Kama hakuna ushahidi wala nadharia zozote kidini wala kihistoria zinazoproof uwepo wa yesu hapo middle east miaka ya 2000 iliyopita je huyo yesu aliishi wapi

Ukiwa na akili timamu utatambua michezo ya kidini, shetan si mjinga eti awaache muujue ukweli kupitia dini ambazo anauwezo wa kuzifanya atakalo, hapo hata sijagusia uislam ambao huo ndio takataka kabisa uzushi na uongo umejawa huko.

Ukweli upo, kumshinda shetan inawezekana lkn si kupitia hizo dini na imani ambazo misingi wake ni wazungu& waarabu.
 
Walokole ndio watu pekee wanaovuruga na kuharibu mission za shetani!!

Sasa ninyi agents wake jueni kuwa hamtotoboa!!
 
Walokole wote duniani nakupeni za ndani kuwa Shetani hafanyi vita na binadamu. Shetani ni Philosopher hivyo kwa sisi binadamu kwake tunaonekana wadudu fulani hivi.

Shetani hana umri wala hana mwisho, hali halali wala hachoki hakuna kitu chochote anachohitaji ili aweze kuishi kwa maana kwamba ni full package bali binadamu ana mwisho ambao ni kifo, anakula anachoka anaugua kwahiyo kupigana na Shetani ni ujinga mkubwa kuliko ujinga mwingine wowote unaoufahamu hapa duniani

Shetani hafanyi vita na binadamu kwasababu kwake ni kitu kidogo sana ukimsumbua anakupuliza tu kama karatasi unafia kule na hajawahi kumfuata mtu kwa lengo la kumdhuru kwasababu ana nguvu kubwa sana akishuka hapa Tanzania kwa hasira itatokea Tsunami wala hamtaweza kuishi tena.

Anaewasumbua ninyi ni vinyamkera na vibwengo lakini kwajinsi mlivyokosa ufahamu mnadhani ni Shetani mwenyewe.

Huwezi kuwa rafiki wa Shetani kama wewe ni mjinga kwasababu yeye ni Philosopher lazima uwe unajitambua na una akili timamu sio unakuwa mjinga mjinga uliebeba akilini ujinga.

Watu wanaofahamiana na Shetani sio watu wajinga ni wasomi wakubwa, wanasayansi wakubwa duniani na kila yeyote yule unayemfahamu ni mkubwa hapa duniani kwahiyo kumpigia kelele msomi wa kwanza duniani ni ujinga uliokubuhu.

Ifike mahali binadamu mjifunze kujishusha na sio kunyanyua vidomo vyenu kupigia kelele kitu msichokiweza tulieni muelekezwe.

Mbinguni kule ni nyumbani kwake na anaenda muda wote anaotaka na baba yake anamkaribisha sana sasa ninyi binadamu kati yenu wote nani anaekwenda Mbinguni na kurudi.

Nakupa za ndani kwataarifa yako Shetani akikukazia usikanyage Mbinguni hutatoa kwasababu hakuna asichokijua kule nyie wote hata 1% ya akili zake hamna tulieni muelekezwe dunia ilivyo.

Dhambi zote mlizotajiwa yeye anazitafsiri kama udhaifu wa binadamu, kwa maana kwamba anaezifanya anamtafsiri kama fala flani hivi kwahiyo usidhani dhambi zako unazofanya yeye ndiye kakutuma ni ujinga wako wewe mwenyewe unaoufanya kwa mikono yako mwenyewe.

Narudia kusema tena Shetani ni msomi wa kwanza duniani usijidanganye hata siku moja kuwa yeye ndiye kakwambia ukalawitiwe au ukalawiti au ukafe na ulevi au dhambi yeyote ile ni ujinga wako wewe mwenyewe.

Mtu mwenye akili kamwe hafanyi ujinga. Kwa taarifa yako nakupa za ndani Shetani haishi kuzimu kwasasa anaishi kwenye himaya yake mpya iliyojengwa kwa pure Gold. Kuzimu walioko kule kwa sasa ni binadamu peke yao kwahiyo mnapofanya maombi yenu ya kuzimu mnawapigia kelele wenzenu msifikiri yupo kule tena na bado na nyie mtasokomezwa kule ndo mpate utamu mana kwasasa hamjui mnachofanya ndo mana midomo yenu inawawasha kama mmelamba upupu

Mwili wake unatema shoti hapa duniani utazitafuta hutazipata, umeme wa grid ya Taifa ni cha mtoto, alishakuwa shida hafai tena mpaka baba yake anajivunia kuwa na kidume. Baba yake anampenda sana kwasababu ya umaridadi wake vitani. Hizo shoti ndizo zinazowaunguza malaika wanaojaribu kumletea ujinga sasa hizo nguvu zenu mlizo nazo ni zipi wakati ninyi ni miili hivi kweli umezaliwa Tanzania unasema unampiga Shetani? Are you serious au unakula bange mbichi? Kabla ya kufanya mzaha wa kumpigia kelele nenda kwanza kapigane na jeshi la Marekani ukishafanikiwa nitafute nikupeleke kwa vinyamkera na vibwengo, ukimalizana nao nikupeleke kwa majini ukiwamaliza wote nikupeleke daraja la tatu mpaka nakufikisha kwake skeleton ina afadhali
View attachment 3036495
umeongea utopolo sana na shetani wako huyo, shetani amefungwa kuzimu pamoja na malaika zake wakuu, hana huo uwezo unao usemao hapa, ili kumshinda binadamu anatumia ulaghai na kushawishi nje ya hapo hana chochote, alishindwa kwa Ayubu, na kuhusu kupigika anapigika vizuri tu ili mradi uwe na nguvu
 
Ndugu ufafanuzi wako ni wa kina sana, asiyekwelewa hapa basi ni boga
 
umeongea utopolo sana na shetani wako huyo, shetani amefungwa kuzimu pamoja na malaika zake wakuu, hana huo uwezo unao usemao hapa, ili kumshinda binadamu anatumia ulaghai na kushawishi nje ya hapo hana chochote, alishindwa kwa Ayubu, na kuhusu kupigika anapigika vizuri tu ili mradi uwe na nguvu
Endelea kujidanganya ndugu
 
Walokole wote duniani nakupeni za ndani kuwa Shetani hafanyi vita na binadamu. Shetani ni Philosopher hivyo kwa sisi binadamu kwake tunaonekana wadudu fulani hivi.

Shetani hana umri wala hana mwisho, hali halali wala hachoki hakuna kitu chochote anachohitaji ili aweze kuishi kwa maana kwamba ni full package bali binadamu ana mwisho ambao ni kifo, anakula anachoka anaugua kwahiyo kupigana na Shetani ni ujinga mkubwa kuliko ujinga mwingine wowote unaoufahamu hapa duniani

Shetani hafanyi vita na binadamu kwasababu kwake ni kitu kidogo sana ukimsumbua anakupuliza tu kama karatasi unafia kule na hajawahi kumfuata mtu kwa lengo la kumdhuru kwasababu ana nguvu kubwa sana akishuka hapa Tanzania kwa hasira itatokea Tsunami wala hamtaweza kuishi tena.

Anaewasumbua ninyi ni vinyamkera na vibwengo lakini kwajinsi mlivyokosa ufahamu mnadhani ni Shetani mwenyewe.

Huwezi kuwa rafiki wa Shetani kama wewe ni mjinga kwasababu yeye ni Philosopher lazima uwe unajitambua na una akili timamu sio unakuwa mjinga mjinga uliebeba akilini ujinga.

Watu wanaofahamiana na Shetani sio watu wajinga ni wasomi wakubwa, wanasayansi wakubwa duniani na kila yeyote yule unayemfahamu ni mkubwa hapa duniani kwahiyo kumpigia kelele msomi wa kwanza duniani ni ujinga uliokubuhu.

Ifike mahali binadamu mjifunze kujishusha na sio kunyanyua vidomo vyenu kupigia kelele kitu msichokiweza tulieni muelekezwe.

Mbinguni kule ni nyumbani kwake na anaenda muda wote anaotaka na baba yake anamkaribisha sana sasa ninyi binadamu kati yenu wote nani anaekwenda Mbinguni na kurudi.

Nakupa za ndani kwataarifa yako Shetani akikukazia usikanyage Mbinguni hutatoa kwasababu hakuna asichokijua kule nyie wote hata 1% ya akili zake hamna tulieni muelekezwe dunia ilivyo.

Dhambi zote mlizotajiwa yeye anazitafsiri kama udhaifu wa binadamu, kwa maana kwamba anaezifanya anamtafsiri kama fala flani hivi kwahiyo usidhani dhambi zako unazofanya yeye ndiye kakutuma ni ujinga wako wewe mwenyewe unaoufanya kwa mikono yako mwenyewe.

Narudia kusema tena Shetani ni msomi wa kwanza duniani usijidanganye hata siku moja kuwa yeye ndiye kakwambia ukalawitiwe au ukalawiti au ukafe na ulevi au dhambi yeyote ile ni ujinga wako wewe mwenyewe.

Mtu mwenye akili kamwe hafanyi ujinga. Kwa taarifa yako nakupa za ndani Shetani haishi kuzimu kwasasa anaishi kwenye himaya yake mpya iliyojengwa kwa pure Gold. Kuzimu walioko kule kwa sasa ni binadamu peke yao kwahiyo mnapofanya maombi yenu ya kuzimu mnawapigia kelele wenzenu msifikiri yupo kule tena na bado na nyie mtasokomezwa kule ndo mpate utamu mana kwasasa hamjui mnachofanya ndo mana midomo yenu inawawasha kama mmelamba upupu

Mwili wake unatema shoti hapa duniani utazitafuta hutazipata, umeme wa grid ya Taifa ni cha mtoto, alishakuwa shida hafai tena mpaka baba yake anajivunia kuwa na kidume. Baba yake anampenda sana kwasababu ya umaridadi wake vitani. Hizo shoti ndizo zinazowaunguza malaika wanaojaribu kumletea ujinga sasa hizo nguvu zenu mlizo nazo ni zipi wakati ninyi ni miili hivi kweli umezaliwa Tanzania unasema unampiga Shetani? Are you serious au unakula bange mbichi? Kabla ya kufanya mzaha wa kumpigia kelele nenda kwanza kapigane na jeshi la Marekani ukishafanikiwa nitafute nikupeleke kwa vinyamkera na vibwengo, ukimalizana nao nikupeleke kwa majini ukiwamaliza wote nikupeleke daraja la tatu mpaka nakufikisha kwake skeleton ina afadhali
View attachment 3036495
Siendi mbinguni kwa sababu nastahili
Naenda kwa sababu Mwana wa Mungu alinilipia deni la mashtaka hayo yaliyotolewa na huyo umsemae. Mwenyewe siwezi ila ni kwa neema ya Yesu tu!
 
Duh na hii wikiendi shetani wa ubungo katuchamba kweli kweli walokole wa Buza sijui Kama kesho tutaweza kwenda ibadani.

Ila tunasema shindwa kwa jina la yesu
 
Usidanganywe upigane na Shetani ni kupoteza muda wako ndugu yangu wameanza akina Yesu hawajamweza
 
Back
Top Bottom