Ukweli Mchungu kwa Wanasimba: Televisheni ya Yanga kuwa na Thamani kubwa kuliko Klabu ya Simba ni upumbavu

Simba na Yanga ni bidhaa zenye thamani kubwa sana. Hata kama una njaa haifai kula chakula kwa pupa tena kwa mikono michafu.
 
Hii elimu ya hisa fans wa simba hawana kabisa! Ukisoma comments zao utasikia sisi tunachotaka ni ushindi tu
Na pia kumtetea huyo Moo! Ukitaka wakutukane na kukukejeli, basi wewe mguse tu Moo uone!!

Ila Rage alisha watambua kitambo na ndiyo maana aliwaita mbumbumbu.
 
watanzania ni watu wa ajabu sana aisee, nakupa hii, liverpool ilinunuliwa kwa £300M mwaka 2010,...... hivi karibuni kuna watu wamebid £3b (yani hapo ndani ya miaka 10 tu toka inunuliwe na Henry),.....


nakupa nyingine hii, Azam tv wametoa mkataba wa miaka 10 (tshs 225b) kuonesha ligi kuu ya tanzania, lakini mtu akitaka kununua Azam tv mwaka huu, atanunua for less than tsh 300b.......!!


watanzania ndio mana biashara hatuwezi, tunachanganya thamani halisi ya bidhaa na thamani ya mikataba[emoji1787]
 
Unataka kusemaje?
 
Nilichokisoma ni michango ya kishabiki na sio kuelewa
 
Kwenye hizo pesa zilizowekwa Yanga kwa mkataba wa haki ya matangazo,unajua GSM wanalamba ngapi?
Kwani GSM wanamiliki % ngapi ya hisa za Yanga?

Au unatakiwa kukumbushwa kwamba alichofanya na anachoendelea kufanya GSM hakina tofauti yoyote na kilichowahi kufanywa na akina Manji, Gulamali, Bobby Soap (nimesahau jina la huyu Mdosi... Mohamed something), na wengine wengi tu!!
 
Thamani ya Simba inatokana na wao kufika Robo Fainali au kutokana na assets zake?!

Kwa mawazo yako, unadhani Mo kalipa 20 Billion kutokana na thamani ya Simba ndani ya uwanja au nje ya uwanja?
 
Na kinachonishangaza ni pale mtu anaposhangilia 38bn inayotoka kidogo kidogo na kidharau 20bn iliyotoka Cash.Hivi huyu mwenye 20bn akiiwekeza baada ya hiyo 10yrs itakuwaje? Hili Utopolo hawalifikirii kabisa.
Hoja yako ingekuwa na mantiki kama hiyo 38 Billion ingekuwa ni mauzo ya hisa za club but blaza, hizo ni za mauzo ya haki ya maudhui tu!!

And guess what... kama Yanga akitaka mpunga wa mara moja, anaweza kwenda benki na kuchukua hata 30 Billion kama 10 years loan itakayokuwa financed na hizo hizo pesa unazosema zinatoka kidogo dogo!

Ni namna tu ya kucheza na financial management!
Asante MO kuwagomea Azam,kama wanataka waweke pesa ya kueleweka.Next ni Sportpesa,naona na wao wakipewa masharti mazito,hakuna cha usawa hapa wa Simba na Yanga.Kila mtu atavuna alichopanda.
Azam alitaka kuweka ngapi kisha akawagomea?!

Kama kweli aliwagomea, ulishawahi kujiuliza kwamba inawezekana aliwagomea kwa sababu alikuwa hajaingiza mpunga wake Simba, na kwahiyo alikuwa na hofu angeonekana hana chake kwenye huo mpunga wa Azam?

Hivi una habari kwamba hatimae Mo ni officially mmiliki wa 49% ya Simba?

Hivi una habari hivi sasa Azam akiingiza mzigo Simba unaweza kufanya thamani ya Simba ikaongezeka?

Hivi una habari thamani ya Simba (Market Value) ikiongezeka kutokana na mpunga wa Azam, maana yake na thamani ya 49% ya hisa za Mwamedi nayo inaongezeka?

Guys...

Kusoma neno "crocodile" ukutani, hamjui, kwani picha ya mamba hamuioni?

Ukiulizwa "what's that?" Achana na neno crocodile,we jibu tu "that's mamba"... simple like that!!!

Nyie subirini muone Fatma nae ananunua angalau 1% ya hisa, na Da' Babara nae ananunua at least 1% kutoka kwenye 51% ya Wanachama...

Baada ya hapo, the end game unakuta Mwamedi anamiliki 49% + At least 1% of Fatma, + 1% of Babara= At least 51% na hatimae anakuwa majority shareholder by using his proxies!

In short, mmepigwa, na mtaendelea kupigwa kwa ujanja ujanja tu wa Mwamedi!!
 
Hii elimu ya hisa fans wa simba hawana kabisa! Ukisoma comments zao utasikia sisi tunachotaka ni ushindi tu

Wewe uliyonayo hiyo elimu imekusaidia kuchukua kombe? Hebu tuache kidogo basi,yes tunahitaji furaha basi.Tukitaka elimu ya Hisa tutamtafuta Prof Assad atatufundisha,kwa sasa tuache tufurahie Makombe yetu.
 

Maneno mengi naona unazunguka pale pale,so kwa akili yako unadhani Simba wanaweza kuchukua pesa sawa na Yanga kwa Azam na kwamba Mo aligoma kwa sababu tu hajaweka pesa yake? Hata Sportspesa wanalijua hilo kwa sasa si rahisi tena kujaribu kubalance mzani wa Simba na Yanga.Yes,Azam kagomewa na kama anataka aweke pesa ya kueleweka,hataki hakuna shida.

Kwa swala la kuwekeza,Sasa yupi atakuwa na thamani zaidi,yule mwenye Cash ya 20bn akaenda na Bank kukopa zaidi ili awekeze zote kwa pamoja au huyu mwenye makaratasi tu ya Mkataba na akaenda Bank kukopa akapewa hiyo hiyo kulingana na makaratasi yake.Ndugu yangu aliye nacho atazidi kuongezewa tu.
 
Na wewe familia yako inajivunia kua na kijana msomi,
Udhamini na shareholder ni vitu viwili tofauti, tufanya mahesabu ya kawaida, we mtu anakuambia anakupa Milioni kumi ndani ya miaka miaka kumi na atakua ana million moja kwa mwaka, na mwingine anakuambia anakupa million tano cash, ni msaada upi bora kwako?
Usilete hesabu za hovyo, hizo billion 20 zinaenda kuwekwe kwenye fixed account ambazo zitakua zinaleta faida
 
Biashara haiendi hivo boss
Liverpool inakaririwa kua na thamani ya 1.3B by 2019 lakini walisign deal la jezi na nike lenye thamani ya 91m kwa mwaka..maana yake kwa miaka 10 ni 910M haipishani sana na thamani ya club ina maana wangeongeza kidpgo tu wangeifikia thamani na hizo ni jezi tu..bado kuna tv rights..kuna matangazo ya jezi na mambo mengine meeeeengi maana yake ni kua ndani ya hio miaka 10 Liverpool itakua imeingiza pesa nyingi sanaaaaaa ukilinganisha na thamani yake ila sio pesa ya mara moja kwa mkupuo ambayo kama mtu akitaka kuinunua Liver atatoa.

Hata nyumba za kupanga unakuta kwa mwez 250k kwa mwaka ni 3M ina maana kama nyumba ni ya 30M ndani ya miaka 10 wapangaji wanakua wameshatoa pesa nyingi zaidi ya thaman ya nyumba maana hapo kati hata kodi itapanda lakin hakuna mpangaji kwa akili zake timamu hata kama anajua atakaa kwa miaka 10 eti na yeye akupe pesa ya kodi ya miaka yote 10 hio ni pesa nyingi sana inauoweza kununua nyumba kama hio hio..

Hivyo bas pesa ya kuigawa kwa kawaida hua ni nyingi kuliko pesa ya mkupuo na hio ni kwa biashara yyte ipe duniani huyo azam hata mumfanye nin hawezi kuitoa hio pesa kwa mara 1 la sivyo atawaambia mumpr club moja kwa moja
 
Hapa utaruka sarakasi zote ila ni wazi Yanga TV ina thamani kubwa kuliko club nzima ya Simba Sports Club.
 
Hapa utaruka sarakasi zote ila ni wazi Yanga TV ina thamani kubwa kuliko club nzima ya Simba Sports Club.
Sawa.
TV ya Yanga inathamani kupita mali zote za Simba.

Anzisheni na Redio Yanga. Ndio malengo yenu.
Simba malengo yake ni kuchukua ubingwa wa ligi, wa FA na ikiwezekana hata wa Africa.

Nyie Yanga endeleeni Kuanzisha TV Kubwa kubwa na Redio.

Na kumbeba Hersi kwenye Machela.
 
Mkuu, hizo hisa 51% ziko reserved kwa ajili ya WANACHAMA WA SIMBA.

Je, kuna ubaya kama Barbara na Fatema Dewji (endapo ni wanachama wa Simba) watanunua hisa hizo kama ilivyo kwa WANACHAMA WENGINE ?
 

Ila simba ni watu wasioelewa kabisa kwanza jiulize huyo mwenyekiti wa simba ana kani unachosikia ni sauti ya mo na ceo nwenyekiti hana kazi pale halafu simba anachomiliki ni yale majengo ya kariakoo uwanja sio wa kwao ule ni wa mo na ndiyo maana kaandika uwanja wa mo arena ikiambiwa inasema mradi tunachukua kombe shallow reasoning hivi hujiulizi ceo aliiangiaje pale na meneja wa simba queen kaingiaje pale Rage hakukosea kuwaita mbumbumbu kila siki wanasema simba ina thamani ya wapi
 
Kwani wewe hukumuelewa Rage? Mo ni mfanyabiashara kama wale walanguzi wa nyanya tu, ukikutana na mkulima mjinga unampiga pakubwa basi.
Nataka nikuambie ujinga ndio faida na Mo amewaweza sana, na kwakuwa ujinga ni wa muda tu subiri Simba atolewe kwenye Caf championship mapema, akose ubingwa ndio ujinga utawaisha na ndio watamdai Mo hela zaid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…