Ukweli Mchungu kwa Wanasimba: Televisheni ya Yanga kuwa na Thamani kubwa kuliko Klabu ya Simba ni upumbavu

Nduguzanguni Simba imezama ki maskaramaskara uku mashabiki mbumbumbu wakishangilia. Yanga kuweni makini nadhani mmejifunza kwa Simba.
 
Kwani GSM wanamiliki % ngapi ya hisa za Yanga?

Au unatakiwa kukumbushwa kwamba alichofanya na anachoendelea kufanya GSM hakina tofauti yoyote na kilichowahi kufanywa na akina Manji, Gulamali, Bobby Soap (nimesahau jina la huyu Mdosi... Mohamed something), na wengine wengi tu!!
Gsm hamiliki yanga, Yanga haijafikia hatua ya kumilikiwa. Huwezi kukinganisha roles za Gsm na Mo kwenye klabu zao. Tatizo nyie mashabiki wa Simba hamjui chochote kwenye mambo ya umiliki na hisa. Mnadhani Mo ni mdhamini.
 
Wewe uliyonayo hiyo elimu imekusaidia kuchukua kombe? Hebu tuache kidogo basi,yes tunahitaji furaha basi.Tukitaka elimu ya Hisa tutamtafuta Prof Assad atatufundisha,kwa sasa tuache tufurahie Makombe yetu.
Mtoa keshasema hiyo ni furaha ya muda mtu, maumivu yake mtayafeel huko mbeleni, Mo alijua shida yenu ushindi akajiingiza kwenye upangaji wa matokeo ili kuwanyamazisha, mjumbe wenu wa bodi akiyejiuzulu katuambia kilichokuwa kinafanyika
 
Maneno mengi naona unazunguka pale pale,so kwa akili yako unadhani Simba wanaweza kuchukua pesa sawa na Yanga kwa Azam na kwamba Mo aligoma kwa sababu tu hajaweka pesa yake? Hata Sportspesa wanalijua hilo kwa sasa si rahisi tena kujaribu kubalance mzani wa Simba na Yanga.Yes,Azam kagomewa na kama anataka aweke pesa ya kueleweka,hataki hakuna shida.

Kwa swala la kuwekeza,Sasa yupi atakuwa na thamani zaidi,yule mwenye Cash ya 20bn akaenda na Bank kukopa zaidi ili awekeze zote kwa pamoja au huyu mwenye makaratasi tu ya Mkataba na akaenda Bank kukopa akapewa hiyo hiyo kulingana na makaratasi yake.Ndugu yangu aliye nacho atazidi kuongezewa tu.
Ujue pia Mo na Azam ni bitter rivals kwenye biashara, ni dhahiri dili nyingi za Azam kwa Mo zitapita kwa Mbinde.
 
Lets get back miaka minne ilyopita before Mo kuanza huu mchakato....

Hivi ni kwel Simba ilikua na hii thamani tunayoisema leo ki uhalisia ni NO

Utasema team hii ina mashabiki plus brand name yake ni thaman kubwa ina maana hakuna wachumi wazuri ambao wangeshindwa kuweka hela kipind hcho chote kama hii biashara ni nzuri kama wanavyoaminisha?

Guys mpira ni hela na Mo alitake risk kuweka hela yake Simba na leo thaman inaongezeka kwasababu watu waliamua kuinvest huko

Unaweza kuwa na kiwanja Posta ukawa kila siku unakithaminisha na kusema hiki ni hela na ukakaa miaka 100 ukisema hvyo huku ukiwa hujaishika hyo hela ila siku ukiamua sasa kujenga ghorofa ma kuifanyia kitu ile ardhi hapo ndio utaona hela inapoingia hapo kwako na miaka kumi baadae utakuja kuthaminisha kile kiwanja na jengo lake ambayo ni hela imeongezeka zaidi.

Wanachama wa hizi team zetu hawawez hata kurise 1bln kwa mwaka kupitia hyo michango yao kwa maana hawajatengenzwa kuwa wateja wa hzo team na mtu kuchangia membership fees haoni kama ni wajibu wake, ni rahisi sana kusema team ina wanachama milion 3 so kwa fees ya elf 10 jumla ni 3bln ila sasa ukija kwenye uhalisia unakusanya kati ya 100m-300m.

Inawezekana tunampinga Mo kwasababu ya mapenzi yetu kwa team zetu hzi pinzani ila sio kwasababu ya mapenzi yetu na Mpira, Soka linataka hela kwenye uwekezaji ili upate pesa.
 
Gsm hamiliki yanga, Yanga haijafikia hatua ya kumilikiwa. Huwezi kukinganisha roles za Gsm na Mo kwenye klabu zao. Tatizo nyie mashabiki wa Simba hamjui chochote kwenye mambo ya umiliki na hisa. Mnadhani Mo ni mdhamini.
Hivi umenisoma kwa vituo mzee?!
 
Mtoa keshasema hiyo ni furaha ya muda mtu, maumivu yake mtayafeel huko mbeleni, Mo alijua shida yenu ushindi akajiingiza kwenye upangaji wa matokeo ili kuwanyamazisha, mjumbe wenu wa bodi akiyejiuzulu katuambia kilichokuwa kinafanyika
Alisema hayo baada ya kutoka kwenye uongozi?? Maana yake alikuwa sehemu ya maslahi yake alipoona hana maslahi ndiyo kaongea hahahaaaa
 
Lets get back miaka minne ilyopita before Mo kuanza huu mchakato....

Hivi ni kwel Simba ilikua na hii thamani tunayoisema leo ki uhalisia ni NO

Utasema team hii ina mashabiki plus brand name yake ni thaman kubwa ina maana hakuna wachumi wazuri ambao wangeshindwa kuweka hela kipind hcho chote kama hii biashara ni nzuri kama wanavyoaminisha?

Guys mpira ni hela na Mo alitake risk kuweka hela yake Simba na leo thaman inaongezeka kwasababu watu waliamua kuinvest huko

Unaweza kuwa na kiwanja Posta ukawa kila siku unakithaminisha na kusema hiki ni hela na ukakaa miaka 100 ukisema hvyo huku ukiwa hujaishika hyo hela ila siku ukiamua sasa kujenga ghorofa ma kuifanyia kitu ile ardhi hapo ndio utaona hela inapoingia hapo kwako na miaka kumi baadae utakuja kuthaminisha kile kiwanja na jengo lake ambayo ni hela imeongezeka zaidi.

Wanachama wa hizi team zetu hawawez hata kurise 1bln kwa mwaka kupitia hyo michango yao kwa maana hawajatengenzwa kuwa wateja wa hzo team na mtu kuchangia membership fees haoni kama ni wajibu wake, ni rahisi sana kusema team ina wanachama milion 3 so kwa fees ya elf 10 jumla ni 3bln ila sasa ukija kwenye uhalisia unakusanya kati ya 100m-300m.

Inawezekana tunampinga Mo kwasababu ya mapenzi yetu kwa team zetu hzi pinzani ila sio kwasababu ya mapenzi yetu na Mpira, Soka linataka hela kwenye uwekezaji ili upate pesa.
Mkuu watu wengi ni wanafiki sana
 
Hoja yako ingekuwa na mantiki kama hiyo 38 Billion ingekuwa ni mauzo ya hisa za club but blaza, hizo ni za mauzo ya haki ya maudhui tu!!

And guess what... kama Yanga akitaka mpunga wa mara moja, anaweza kwenda benki na kuchukua hata 30 Billion kama 10 years loan itakayokuwa financed na hizo hizo pesa unazosema zinatoka kidogo dogo!

Ni namna tu ya kucheza na financial management!

Azam alitaka kuweka ngapi kisha akawagomea?!

Kama kweli aliwagomea, ulishawahi kujiuliza kwamba inawezekana aliwagomea kwa sababu alikuwa hajaingiza mpunga wake Simba, na kwahiyo alikuwa na hofu angeonekana hana chake kwenye huo mpunga wa Azam?

Hivi una habari kwamba hatimae Mo ni officially mmiliki wa 49% ya Simba?

Hivi una habari hivi sasa Azam akiingiza mzigo Simba unaweza kufanya thamani ya Simba ikaongezeka?

Hivi una habari thamani ya Simba (Market Value) ikiongezeka kutokana na mpunga wa Azam, maana yake na thamani ya 49% ya hisa za Mwamedi nayo inaongezeka?

Guys...

Kusoma neno "crocodile" ukutani, hamjui, kwani picha ya mamba hamuioni?

Ukiulizwa "what's that?" Achana na neno crocodile,we jibu tu "that's mamba"... simple like that!!!

Nyie subirini muone Fatma nae ananunua angalau 1% ya hisa, na Da' Babara nae ananunua at least 1% kutoka kwenye 51% ya Wanachama...

Baada ya hapo, the end game unakuta Mwamedi anamiliki 49% + At least 1% of Fatma, + 1% of Babara= At least 51% na hatimae anakuwa majority shareholder by using his proxies!

In short, mmepigwa, na mtaendelea kupigwa kwa ujanja ujanja tu wa Mwamedi!!
great thinker
 
Mkuu, hizo hisa 51% ziko reserved kwa ajili ya WANACHAMA WA SIMBA.

Je, kuna ubaya kama Barbara na Fatema Dewji (endapo ni wanachama wa Simba) watanunua hisa hizo kama ilivyo kwa WANACHAMA WENGINE ?
HAKUNA ubaya wowote!! Na huko kutokuwa na ubaya wowote ndipo ilipo hofu yangu hapo!!!

Unajua public companies by share votes zina-matter sana, unless pawe na fixed condition!!! Ninaposema fixed condition I mean, chukulia wewe na familia yako mnaunda kampuni, na kufungua benki account.

Signatory Instruction inasema, ili kutoa pesa kwenye akaunti, we need "two signature" and one MUST be Mwanamaji's signature!!! Sasa hiyo Mwanamaji ni MUST be one of the signature, na kinyume cha hapo mpunga hutoki, hiyo ni fixed/mandatory condition!!

Sasa basi, tukirudi kwa akina Fatma!! Wana haki ya kununua kama mwanachama mwingine yeyote yule!

The question is: Kunapokuwa na serious decision making inayohitaji kupiga kura kwavile wanahisa wameshindwa kukubaliana ; je akina Fatma watapiga kura in favor of Simba SC or in favor of Mwamedi?!

Tena basi, msikute hata zile Mo Foundation, mara Mo kufanya nini kwavile ni taasisi; huenda na zenyewe zikanunua hisa za wanachama!! Akina Azim Dewji LAZIMA watanunua hisa za wanachama!!!

Hao wote, uwezekano mkubwa ni wao kupiga kura in favor of Mwamedi kwa sababu kilichowaleta hapo is STRICTLY business na wala sio mapenzi ya msoka!!! Ingekuwa ni soka, hizo billions angewekeza kwenye African Lyons aliyoiuza lakini kwavile alijua AL hakuna biashara, akaamua awekeze ilipo biashara... Simba SC!!
 
Hoja yako ingekuwa na mantiki kama hiyo 38 Billion ingekuwa ni mauzo ya hisa za club but blaza, hizo ni za mauzo ya haki ya maudhui tu!!

And guess what... kama Yanga akitaka mpunga wa mara moja, anaweza kwenda benki na kuchukua hata 30 Billion kama 10 years loan itakayokuwa financed na hizo hizo pesa unazosema zinatoka kidogo dogo!

Ni namna tu ya kucheza na financial management!

Azam alitaka kuweka ngapi kisha akawagomea?!

Kama kweli aliwagomea, ulishawahi kujiuliza kwamba inawezekana aliwagomea kwa sababu alikuwa hajaingiza mpunga wake Simba, na kwahiyo alikuwa na hofu angeonekana hana chake kwenye huo mpunga wa Azam?

Hivi una habari kwamba hatimae Mo ni officially mmiliki wa 49% ya Simba?

Hivi una habari hivi sasa Azam akiingiza mzigo Simba unaweza kufanya thamani ya Simba ikaongezeka?

Hivi una habari thamani ya Simba (Market Value) ikiongezeka kutokana na mpunga wa Azam, maana yake na thamani ya 49% ya hisa za Mwamedi nayo inaongezeka?

Guys...

Kusoma neno "crocodile" ukutani, hamjui, kwani picha ya mamba hamuioni?

Ukiulizwa "what's that?" Achana na neno crocodile,we jibu tu "that's mamba"... simple like that!!!

Nyie subirini muone Fatma nae ananunua angalau 1% ya hisa, na Da' Babara nae ananunua at least 1% kutoka kwenye 51% ya Wanachama...

Baada ya hapo, the end game unakuta Mwamedi anamiliki 49% + At least 1% of Fatma, + 1% of Babara= At least 51% na hatimae anakuwa majority shareholder by using his proxies!

In short, mmepigwa, na mtaendelea kupigwa kwa ujanja ujanja tu wa Mwamedi!!
Wabongo kwa kuhamisha magoli, tunajua roho inawauma kweli kweli,.
 
Lets get back miaka minne ilyopita before Mo kuanza huu mchakato....

Hivi ni kwel Simba ilikua na hii thamani tunayoisema leo ki uhalisia ni NO
Man,

Both Yanga na Simba zina hizo thamani since back in 2000's ni kwavile tu kulikuwa na ujanja ujanja; na kwavile wakati huo soka letu tulikuwa hatujali-commercialize!!!

Alichofanya Mwamedi, of course na ndicho kinafanywa na akina GSM, ni kuziba mianya iliyokuwa inawanufaisha wengi bila klabu kunufaika, na hatimae kufungua mianya itakayowanufaisha wachache (wao) na clubs!!!

Unajua unapoitaja Yanga au Simba, hao kila mmoja ana monopoly ya angalau wateja watarajiwa (mashabiki) 10 Million. Thamani kubwa kwenye club ni mashabiki na wala sio makombe!!

Chukua vikombe kila mwaka, lakini kama huna mashabiki, no one will come to invest!! Hivi unaipa vipi deal la matangazo timu ambayo wakati inacheza, mashabiki wa soka wanaamua bora wakaangalie ndondo?!
 
Sawa.
TV ya Yanga inathamani kupita mali zote za Simba.

Anzisheni na Redio Yanga. Ndio malengo yenu.
Simba malengo yake ni kuchukua ubingwa wa ligi, wa FA na ikiwezekana hata wa Africa.

Nyie Yanga endeleeni Kuanzisha TV Kubwa kubwa na Redio.

Na kumbeba Hersi kwenye Machela.
Umepaniki??
 
Hoja yako ingekuwa na mantiki kama hiyo 38 Billion ingekuwa ni mauzo ya hisa za club but blaza, hizo ni za mauzo ya haki ya maudhui tu!!

And guess what... kama Yanga akitaka mpunga wa mara moja, anaweza kwenda benki na kuchukua hata 30 Billion kama 10 years loan itakayokuwa financed na hizo hizo pesa unazosema zinatoka kidogo dogo!

Ni namna tu ya kucheza na financial management!

Azam alitaka kuweka ngapi kisha akawagomea?!

Kama kweli aliwagomea, ulishawahi kujiuliza kwamba inawezekana aliwagomea kwa sababu alikuwa hajaingiza mpunga wake Simba, na kwahiyo alikuwa na hofu angeonekana hana chake kwenye huo mpunga wa Azam?

Hivi una habari kwamba hatimae Mo ni officially mmiliki wa 49% ya Simba?

Hivi una habari hivi sasa Azam akiingiza mzigo Simba unaweza kufanya thamani ya Simba ikaongezeka?

Hivi una habari thamani ya Simba (Market Value) ikiongezeka kutokana na mpunga wa Azam, maana yake na thamani ya 49% ya hisa za Mwamedi nayo inaongezeka?

Guys...

Kusoma neno "crocodile" ukutani, hamjui, kwani picha ya mamba hamuioni?

Ukiulizwa "what's that?" Achana na neno crocodile,we jibu tu "that's mamba"... simple like that!!!

Nyie subirini muone Fatma nae ananunua angalau 1% ya hisa, na Da' Babara nae ananunua at least 1% kutoka kwenye 51% ya Wanachama...

Baada ya hapo, the end game unakuta Mwamedi anamiliki 49% + At least 1% of Fatma, + 1% of Babara= At least 51% na hatimae anakuwa majority shareholder by using his proxies!

In short, mmepigwa, na mtaendelea kupigwa kwa ujanja ujanja tu wa Mwamedi!!
Sorry mkuu miye ni fans wa simba niko huku vijijini Rukwa unaposema tumepigwa unamaana ipi? Kwamba kuna faida miye nitaipata hata kama mo atainunua simba kwa trilioni 10? Niombe unifungue ubongo kama kuna faida yoyote nitaipata zaidi ya furaha ya ubingwa mara 4? Namaanisha kama kuna percent nitapata ya fedha endapo mo atainunua kwa trilioni 10.
 
Man,

Both Yanga na Simba zina hizo thamani since back in 2000's ni kwavile tu kulikuwa na ujanja ujanja; na kwavile wakati huo soka letu tulikuwa hatujali-commercialize!!!

Alichofanya Mwamedi, of course na ndicho kinafanywa na akina GSM, ni kuziba mianya iliyokuwa inawanufaisha wengi bila klabu kunufaika, na hatimae kufungua mianya itakayowanufaisha wachache (wao) na clubs!!!

Unajua unapoitaja Yanga au Simba, hao kila mmoja ana monopoly ya angalau wateja watarajiwa (mashabiki) 10 Million. Thamani kubwa kwenye club ni mashabiki na wala sio makombe!!

Chukua vikombe kila mwaka, lakini kama huna mashabiki, no one will come to invest!! Hivi unaipa vipi deal la matangazo timu ambayo wakati inacheza, mashabiki wa soka wanaamua bora wakaangalie ndondo?!
Mie wala sijakataa kusema zina thamani zinazo sana
Shida yangu ni moja tu hyo thamani ukiweka kwenye uhalisia ipo wapi? Wapi ambako utatengeneza hela kupitia hyo thaman hapo sasa ndio wanapokuja wawekezaji so hawa watu waliweka hela lets say Mo aliweka hela ndio maana leo hii tunaweza kusema kwamba thamani ya Simba ni zaidi ya 20bln ya Mo...

Kwenye hawa mashabiki 10m mie naomba niwaite wapenzi tu wa hzi team maana hakuna wanachochangia directly kwenye hzo team zao zaid ya kushangilia na kushabikia

Hakuna mifumo rasmi ya kuwatambua na kuchangia hao mashabiki kias kwamba ukitaka kuja kuwabadlisha kuwa wateja (hela) haiwezekani then tunabakia kusema kwamba kuna mashabiki wengi ila hakuna hela tunayoipata

Kuna gharama za kuwa wa kwanza always leo hii Yanga aakiingia kwenye mabadliko hatakua na vitu vingi vya kumzuia kuliko ilivyokua Simba na mchakato wake kwasababu ya platform iliyowekwa
 
HAKUNA ubaya wowote!! Na huko kutokuwa na ubaya wowote ndipo ilipo hofu yangu hapo!!!

Unajua public companies by share votes zina-matter sana, unless pawe na fixed condition!!! Ninaposema fixed condition I mean, chukulia wewe na familia yako mnaunda kampuni, na kufungua benki account.

Signatory Instruction inasema, ili kutoa pesa kwenye akaunti, we need "two signature" and one MUST be Mwanamaji's signature!!! Sasa hiyo Mwanamaji ni MUST be one of the signature, na kinyume cha hapo mpunga hutoki, hiyo ni fixed/mandatory condition!!

Sasa basi, tukirudi kwa akina Fatma!! Wana haki ya kununua kama mwanachama mwingine yeyote yule!

The question is: Kunapokuwa na serious decision making inayohitaji kupiga kura kwavile wanahisa wameshindwa kukubaliana ; je akina Fatma watapiga kura in favor of Simba SC or in favor of Mwamedi?!

Tena basi, msikute hata zile Mo Foundation, mara Mo kufanya nini kwavile ni taasisi; huenda na zenyewe zikanunua hisa za wanachama!! Akina Azim Dewji LAZIMA watanunua hisa za wanachama!!!

Hao wote, uwezekano mkubwa ni wao kupiga kura in favor of Mwamedi kwa sababu kilichowaleta hapo is STRICTLY business na wala sio mapenzi ya msoka!!! Ingekuwa ni soka, hizo billions angewekeza kwenye African Lyons aliyoiuza lakini kwavile alijua AL hakuna biashara, akaamua awekeze ilipo biashara... Simba SC!!
Watu wote duniani lazima tutakua tunakubaliana kwamba wawekezaji katika mpira huja for business reasons. Mo kuwa shabiki wa Simba haimzuii kuwekeza pale Simba kwa malengo ya kibiashara. Mtu yoyote anawekeza sehemu ambayo itampa faida. Kwaiyo suala la AL tuliache maana sio Mo tu, hata mimi nawewe hatuwezi kwenda kuwekeza huko kama hakuna faida.

Mimi naamini kwenye mambo ya maamuzi baina ya wanahisa, linakua ni jambo la ushawishi. Ushawishi huo unaweza kuwa wa hoja, undugu, rushwa, kufaana n.k lakini bado tu ni ushawishi.

Mimi Mwanamaji naweza nisiwe na nasaba na Mohamed, lakini nikapiga kura ya kum favor Mohamed. Je, hili utalidhibiti kwa kuwazuia wanafamilia wa Mo kumiliki hizo 51% pekee ?

Je, vigezo vya kugawa hizo 51% vitakua ni "mwanaSimba anayeruhusiwa kununua hisa anatakiwa kuwa MPINGA DEWJI (Anti-DEWJI)" ?

Kama ni hivyo, huko kwenye timu kutakua na utulivu, amani na masikilizano kweli ?

Visipokuwepo, timu itafanya vizuri kweli pasipo na utengamano ?

Najaribu tu kujiuliza hilo unalolihofia linawezaje kuwa settled.
 
Sorry mkuu miye ni fans wa simba niko huku vijijini Rukwa unaposema tumepigwa unamaana ipi? Kwamba kuna faida miye nitaipata hata kama mo atainunua simba kwa trilioni 10? Niombe unifungue ubongo kama kuna faida yoyote nitaipata zaidi ya furaha ya ubingwa mara 4? Namaanisha kama kuna percent nitapata ya fedha endapo mo atainunua kwa trilioni 10.
Wakati ukisubiri majibu, naomba unitafutie Shamba la kukodi au kununua huko nataka nilime mahindi mwaka huu.
Wako, MwanaSimba mwenzio wa huku vijiji vya ndanindani wilayani Chunya.
 
"Nitajenga viwanja nane kwa ajili ya match"alisikika mwekezaji mmoja. hata Madrid wenyewe hawana viwanja nane
 
Mtoa keshasema hiyo ni furaha ya muda mtu, maumivu yake mtayafeel huko mbeleni, Mo alijua shida yenu ushindi akajiingiza kwenye upangaji wa matokeo ili kuwanyamazisha, mjumbe wenu wa bodi akiyejiuzulu katuambia kilichokuwa kinafanyika
Akiendelea kupanga matokeo (kama usemavyo) na timu ikawa:-
1. Inashinda makombe.
2. Inacheza soka safi.
3. Maslahi ya wachezaji na makocha yanalipwa kwa muda stahiki.

Nakuhakikishia kwamba TUTAKAA KIMYA MILELE.
 
Back
Top Bottom