Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Mtoa keshasema hiyo ni furaha ya muda mtu, maumivu yake mtayafeel huko mbeleni, Mo alijua shida yenu ushindi akajiingiza kwenye upangaji wa matokeo ili kuwanyamazisha, mjumbe wenu wa bodi akiyejiuzulu katuambia kilichokuwa kinafanyika
Nikadhani Yanga mlioko hapa ni wazuri wa kujenga hoja zaidi kuliko wale wa Instagram,kumbe ni wale wale tu.Yani unaamini katika hizo blah blah za “kupanga matokeo” ? Kwamba Mo alijiimgiza hadi CAF kupanga matokeo.Mkuu wewe ni zaidi ya wale kule Instagram,hebu leta hoja zenye mashiko hapa.