Ukweli Mchungu kwa Wanasimba: Televisheni ya Yanga kuwa na Thamani kubwa kuliko Klabu ya Simba ni upumbavu

Kawaulize wauza magazeti ya michezo watakupa jibu kati ya Yanga vs Simba ,nani akiwa kwenye kiwango kizuri anayauza......watakupa jibu.......KwaTz Yanga ni brand kubwa zaidi ya Simba
Umesema akiwa katika kiwango kizuri! .... Asipokuwa kwa miaka minne?
 
Umesema akiwa katika kiwango kizuri! .... Asipokuwa kwa miaka minne?

Unajipa tabu mkuu, na kutoka Nje ya MADA,

Mwambieni Mo , aseme faida anayopata kwa Simba.

Nani anamsimamia Mo hapo msimbazi kwa sasa?
 
[emoji106][emoji106][emoji106]
 
Kigwangala aloshawahi kuuliza hizo 20b ziko account gani na benki ipi? Hakupewa majibu
 
Ewaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…