Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Ndio kesha sema kwani kwa Uelewa wako mdogo wengi ni kama wangapiUsiseme wanachama wengi hawampendi,
Sema wewe na wenzio ndio hamumpendi!!
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kesha sema kwani kwa Uelewa wako mdogo wengi ni kama wangapiUsiseme wanachama wengi hawampendi,
Sema wewe na wenzio ndio hamumpendi!!
Wabaya wakishupaza shingo hupigwa upofu na kuhisi kufanikiwa kwenye ubaya wao kumbe ndo kuangamia kwaoACT ni Ccm B wakinunuliwa ni mchongo ni hela za zito na washkaji zake wakina Makamba, watu wana mbinu za kutoboa kimaisha Huku mbowe anadidimia kama kweli mbowe anaonewa ni dhambi kubwa sana sijui kesho wanaenda kujibu nini kwa Mwenyezi Mungu sijui wana sali kitu gani
Hope ataskia otherwise tuandae maombi/dua ya kitaifa yakumkomboa Raid wetuNi meseji makini kwa rais wetu., Alianza vizuri lkn sasa imekuwa shida nami naamini huo sio moyo wa rais wetu ila kuna watu wako bize kumpotisha kiongozi wetu kwa maslahi yao.. Mama tafadhari rudi nyuma ulikoanzia zile siku mia moja., pale uliupiga mwingi..muda bado upo sana..
Wingi unaanzia mbili,Kama ni yeye na wenzake basi yuko sahihi ni wengi.Usiseme wanachama wengi hawampendi,
Sema wewe na wenzio ndio hamumpendi!!
Nakwambia huna akili,hapo umeona nchi za Ulaya tuu? Hata kama ni za Ulaya inflation ni ile ile tena Bora huku ambako sehemu kubwa ya uchumi ni informal..
Hiyo ni topic ,Rudi darasani kusoma economics ndio utaelewa,huenda neno inflation linakuchanganya..
Narudia tena kukueleza inflation sio tatizo kuubwa kwenye uchumi na in fact ni kitu kizuri isipokuwa tuu ina erode welfare ya watu maskini but kama unafanya Kazi pesa Unapata wala sio shida..
Uchumi wa Uturuki unakua kwa 9% lakini inflation ni 40% 😝😝.
Na wewe kadese maana kama fikra unazo za kuendea msalani tuu.Watu waliodesa mpaka nukta utawajua tu…hizi quick fix zenu zitawatokea puani…
Sio Wana-CCM tu ndo hawampendi bali Wananchi wa kawaida ndo hawampendi kabisaAsalaam Aleykum Mh. M/kiti,
Pole na majukumu mazito mnoo uliyo nayo, nami akuombea Dua ya ulinzi na heri katika uongozi wako na maisha yako kw a ujumla.
Ila Mheshimiwa ukae ukijua maisha yako hayalindwi na nao wachache wanaokuzunguka na kukupa ulinzi mkali et kulinda usalama wako, ulinzi wako unatoka kwa Allah na si kikundi cha watu wanafiki.
Mh. Wewe ni muislam nadhani unafahamu dua ya wanyonge Allah anavyoguswa nayo kuliko ya asiye haki.
Nikueleze ukweli CCM wenzako hawa wanachama ambao wengi ni RAIA hawana mapenzi na wewe isipokuwa ya kulazimishwa au kwakuwa wanamazoea na CCM watapata wapi bahasha.
Wengi wanakusema vibaya nje ya vikao vyenu, nje ya kamera mpaka wakiwa vyumbani mwao.
Mh. Haya mapambio ya watu maarufu na wanasiasa wenzako unayoyasikia SAA hivi ukiondoka ndo utakuwa uliwashibisha ili wake wajisaidie usoni kwako... M/kiti shtuka jifunze kwa mtangulizi wako.
Ushauri:
1. Kuwa mwepesi kukemea haraka dhulma zidi ya wananchi. Mfano madhila kwa wamachinga, mauaji yanayotokea mikononi kwa polisi, mfumuko wa bei nk.
2. Shauriana na DPP uondoe kesi inayotia aibu serikali yako aliyozushiwa Mboye usidhani ukimkazia Mboye ndo utatisha na kuogopewa. Si kweli kwasababu Allah alichokupa ni kikubwa ndo mana akakutunuku urais. Mtangulize yeye ili ukuepushe na wanafiki wanaokushauri mabaya.
Kumbuka kwa Tanzania hii hatutofautishwi na vyama eti kusema ukimkandamiza mpinzani wanachama wako watafurahia. Hii kesi hadi CCM wenzako hawaitaki.
3. Badilisha viongozi nyeti waliokuwa wakiendesha dhulma na kila aina ya maonevu hapo awali.
4. Wajibisha wateule wako wanaokwenda vibaya na matarajio yako.
5. Sikiliza wananchi sio kusema eti ufanye usifanye tutasema huko ni kujitia upofu maana sisi ndo wsnye nchi.
6. Jifunze kutoka kwa JK mentor wako alikuwa very positive kwenye kukosolewa hakuruhusu kutumia vyombo vyake kuzuia watu wasitoe maoni yao ama mitazamo yao na haikumzuia kufanya kazi yake.
Ni hayo mama Mh. M/kiti bado nafasi unayo kwa sababu urais wako wako ulilete tabasamu si Tanzania nzima Bali dunia nzima hivyo una msingi mzuri achana na nao wachache wanaokutisha ama kukudanganya wewe ni RAIA jembe unavyoweza kuaminika kwa kuitetea Tanzania na kusogeza mbele kweli kweli.
Hao ndo kabisa ila kwakua anawaamii wenzake nimeamua nimuweke waziSio Wana-CCM tu ndo hawampendi bali Wananchi wa kawaida ndo hawampendi kabisa