Ukweli mchungu: M/kiti CCM taifa wanachama wengi hawakupendi

Hapendwi tena??
Si tulikubaliana tunampenda,,eti Pep
Naomba hizi taarifa zipuuzwe.

Zimetoka kwa watu wenye nia ovu.

Tunampenda mwenyekiti wetu, anaupiga mwingi huku akiifungua nchi.

Vitu vinazidi kushuka bei kwa kasi. Pesa zimetujaa mifukoni.

Umeme unawaka hadi kwenye mbuga za wanyama.

Hatimaye Tanzania inaheshimika sasa nchi za nje huko.

Na magaidi wote tumewafunga, japo yanazungumzika haya.

Kusameheana kupo, hata kama watu wamefanya ugaidi
 
Mitano tena kwake
 
Wewe ndio mpuuzi na mpotoshaji,layman afu unajifanya kunyanyua Domo unaropoka ujinga ..

Unapozungumzia mfumuko wa bei unazungumzia Nchi kama hizi hapa chini,Tzn tuko level hiyo?👇

View attachment 2102671

View attachment 2102672

View attachment 2102673

View attachment 2102674

View attachment 2102675

View attachment 2102676

View attachment 2102677

View attachment 2102678

View attachment 2102679

View attachment 2102680

View attachment 2102681

View attachment 2102682

Unajilinganisha na Muingereza wewe MAGAZIJUTO…

Tupe uhusiano wa kukua kwa uchumi na inflantion kwa nchi yako yenye viwanda viwili vyakutengeneza juisi
 
Asalaam Aleykum Mh. M/kiti,

Pole na majukumu mazito mnoo uliyo nayo, nami akuombea Dua ya ulinzi na heri katika uongozi wako na maisha yako kw a ujumla.

Ila Mheshimiwa ukae ukijua maisha yako hayalindwi na nao wachache wanaokuzunguka na kukupa ulinzi mkali et kulinda usalama wako, ulinzi wako unatoka kwa Allah na si kikundi cha watu wanafiki.

Mh. Wewe ni muislam nadhani unafahamu dua ya wanyonge Allah anavyoguswa nayo kuliko ya asiye haki.

Nikueleze ukweli CCM wenzako hawa wanachama ambao wengi ni RAIA hawana mapenzi na wewe isipokuwa ya kulazimishwa au kwakuwa wanamazoea na CCM watapata wapi bahasha.

Wengi wanakusema vibaya nje ya vikao vyenu, nje ya kamera mpaka wakiwa vyumbani mwao.

Mh. Haya mapambio ya watu maarufu na wanasiasa wenzako unayoyasikia SAA hivi ukiondoka ndo utakuwa uliwashibisha ili wake wajisaidie usoni kwako... M/kiti shtuka jifunze kwa mtangulizi wako.

Ushauri:
1. Kuwa mwepesi kukemea haraka dhulma zidi ya wananchi. Mfano madhila kwa wamachinga, mauaji yanayotokea mikononi kwa polisi, mfumuko wa bei nk.

2. Shauriana na DPP uondoe kesi inayotia aibu serikali yako aliyozushiwa Mboye usidhani ukimkazia Mboye ndo utatisha na kuogopewa. Si kweli kwasababu Allah alichokupa ni kikubwa ndo mana akakutunuku urais. Mtangulize yeye ili ukuepushe na wanafiki wanaokushauri mabaya.

Kumbuka kwa Tanzania hii hatutofautishwi na vyama eti kusema ukimkandamiza mpinzani wanachama wako watafurahia. Hii kesi hadi CCM wenzako hawaitaki.

3. Badilisha viongozi nyeti waliokuwa wakiendesha dhulma na kila aina ya maonevu hapo awali.

4. Wajibisha wateule wako wanaokwenda vibaya na matarajio yako.

5. Sikiliza wananchi sio kusema eti ufanye usifanye tutasema huko ni kujitia upofu maana sisi ndo wsnye nchi.

6. Jifunze kutoka kwa JK mentor wako alikuwa very positive kwenye kukosolewa hakuruhusu kutumia vyombo vyake kuzuia watu wasitoe maoni yao ama mitazamo yao na haikumzuia kufanya kazi yake.

Ni hayo mama Mh. M/kiti bado nafasi unayo kwa sababu urais wako wako ulilete tabasamu si Tanzania nzima Bali dunia nzima hivyo una msingi mzuri achana na nao wachache wanaokutisha ama kukudanganya wewe ni RAIA jembe unavyoweza kuaminika kwa kuitetea Tanzania na kusogeza mbele kweli kweli.
Umetumwa umuombee msahaha Mbowe kwa stahili hii. Tutaona na kusikia mengi mwaka huu. Mara ohhh aachiwe, mara ohhh ana mawakili wazuri tu kesi iendelee. Kelele kibao na total confusion ndani ya Chadema. Komaa tu Mama yetu hadi gaidi ajulikane kwa hukumu halali ya mahakama.
 
Njaa iyo
 
Asalaam Aleykum Mh. M/kiti,

Pole na majukumu mazito mnoo uliyo nayo, nami akuombea Dua ya ulinzi na heri katika uongozi wako na maisha yako kw a ujumla.

Ila Mheshimiwa ukae ukijua maisha yako hayalindwi na nao wachache wanaokuzunguka na kukupa ulinzi mkali et kulinda usalama wako, ulinzi wako unatoka kwa Allah na si kikundi cha watu wanafiki.

Mh. Wewe ni muislam nadhani unafahamu dua ya wanyonge Allah anavyoguswa nayo kuliko ya asiye haki.

Nikueleze ukweli CCM wenzako hawa wanachama ambao wengi ni RAIA hawana mapenzi na wewe isipokuwa ya kulazimishwa au kwakuwa wanamazoea na CCM watapata wapi bahasha.

Wengi wanakusema vibaya nje ya vikao vyenu, nje ya kamera mpaka wakiwa vyumbani mwao.

Mh. Haya mapambio ya watu maarufu na wanasiasa wenzako unayoyasikia SAA hivi ukiondoka ndo utakuwa uliwashibisha ili wake wajisaidie usoni kwako... M/kiti shtuka jifunze kwa mtangulizi wako.

Ushauri:
1. Kuwa mwepesi kukemea haraka dhulma zidi ya wananchi. Mfano madhila kwa wamachinga, mauaji yanayotokea mikononi kwa polisi, mfumuko wa bei nk.

2. Shauriana na DPP uondoe kesi inayotia aibu serikali yako aliyozushiwa Mboye usidhani ukimkazia Mboye ndo utatisha na kuogopewa. Si kweli kwasababu Allah alichokupa ni kikubwa ndo mana akakutunuku urais. Mtangulize yeye ili ukuepushe na wanafiki wanaokushauri mabaya.

Kumbuka kwa Tanzania hii hatutofautishwi na vyama eti kusema ukimkandamiza mpinzani wanachama wako watafurahia. Hii kesi hadi CCM wenzako hawaitaki.

3. Badilisha viongozi nyeti waliokuwa wakiendesha dhulma na kila aina ya maonevu hapo awali.

4. Wajibisha wateule wako wanaokwenda vibaya na matarajio yako.

5. Sikiliza wananchi sio kusema eti ufanye usifanye tutasema huko ni kujitia upofu maana sisi ndo wsnye nchi.

6. Jifunze kutoka kwa JK mentor wako alikuwa very positive kwenye kukosolewa hakuruhusu kutumia vyombo vyake kuzuia watu wasitoe maoni yao ama mitazamo yao na haikumzuia kufanya kazi yake.

Ni hayo mama Mh. M/kiti bado nafasi unayo kwa sababu urais wako wako ulilete tabasamu si Tanzania nzima Bali dunia nzima hivyo una msingi mzuri achana na nao wachache wanaokutisha ama kukudanganya wewe ni RAIA jembe unavyoweza kuaminika kwa kuitetea Tanzania na kusogeza mbele kweli kweli.
Huu utafiti wako ni mzuri sana nimeupenda, ila badilisha ni mwenyekiti wa ccm wa kijiji chenu na sio taifa,huna uwezo huo.
 
Ulitaka kusema kuhusu mbowe tuu hakuna lingine
Nyumbu hovyo kabisa.
 
Naheshimu mawazo yako ingawa sikubaliani nayo
 
Unajilinganisha na Muingereza wewe MAGAZIJUTO…

Tupe uhusiano wa kukua kwa uchumi na inflantion kwa nchi yako yenye viwanda viwili vyakutengeneza juisi
Nakwambia huna akili,hapo umeona nchi za Ulaya tuu? Hata kama ni za Ulaya inflation ni ile ile tena Bora huku ambako sehemu kubwa ya uchumi ni informal..

Hiyo ni topic ,Rudi darasani kusoma economics ndio utaelewa,huenda neno inflation linakuchanganya..

Narudia tena kukueleza inflation sio tatizo kuubwa kwenye uchumi na in fact ni kitu kizuri isipokuwa tuu ina erode welfare ya watu maskini but kama unafanya Kazi pesa Unapata wala sio shida..

Uchumi wa Uturuki unakua kwa 9% lakini inflation ni 40% 😝😝.
 
Back
Top Bottom