Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Usiseme wanachama wengi hawampendi,
Sema wewe na wenzio ndio hamumpendi!!
Kama yeye na hao wenzake wako wengi unataka asemeje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiseme wanachama wengi hawampendi,
Sema wewe na wenzio ndio hamumpendi!!
Punguza kidomodo chako kwani yeye kawaambia anawependa!!?Asalaam Aleykum Mh. M/kiti,
Pole na majukumu mazito mnoo uliyo nayo, nami akuombea Dua ya ulinzi na heri katika uongozi wako na maisha yako kw a ujumla.
Ila Mheshimiwa ukae ukijua maisha yako hayalindwi na nao wachache wanaokuzunguka na kukupa ulinzi mkali et kulinda usalama wako, ulinzi wako unatoka kwa Allah na si kikundi cha watu wanafiki.
Mh. Wewe ni muislam nadhani unafahamu dua ya wanyonge Allah anavyoguswa nayo kuliko ya asiye haki.
Nikueleze ukweli CCM wenzako hawa wanachama ambao wengi ni RAIA hawana mapenzi na wewe isipokuwa ya kulazimishwa au kwakuwa wanamazoea na CCM watapata wapi bahasha.
Wengi wanakusema vibaya nje ya vikao vyenu, nje ya kamera mpaka wakiwa vyumbani mwao.
Mh. Haya mapambio ya watu maarufu na wanasiasa wenzako unayoyasikia SAA hivi ukiondoka ndo utakuwa uliwashibisha ili wake wajisaidie usoni kwako... M/kiti shtuka jifunze kwa mtangulizi wako.
Ushauri:
1. Kuwa mwepesi kukemea haraka dhulma zidi ya wananchi. Mfano madhila kwa wamachinga, mauaji yanayotokea mikononi kwa polisi, mfumuko wa bei nk.
2. Shauriana na DPP uondoe kesi inayotia aibu serikali yako aliyozushiwa Mboye usidhani ukimkazia Mboye ndo utatisha na kuogopewa. Si kweli kwasababu Allah alichokupa ni kikubwa ndo mana akakutunuku urais. Mtangulize yeye ili ukuepushe na wanafiki wanaokushauri mabaya.
Kumbuka kwa Tanzania hii hatutofautishwi na vyama eti kusema ukimkandamiza mpinzani wanachama wako watafurahia. Hii kesi hadi CCM wenzako hawaitaki.
3. Badilisha viongozi nyeti waliokuwa wakiendesha dhulma na kila aina ya maonevu hapo awali.
4. Wajibisha wateule wako wanaokwenda vibaya na matarajio yako.
5. Sikiliza wananchi sio kusema eti ufanye usifanye tutasema huko ni kujitia upofu maana sisi ndo wsnye nchi.
6. Jifunze kutoka kwa JK mentor wako alikuwa very positive kwenye kukosolewa hakuruhusu kutumia vyombo vyake kuzuia watu wasitoe maoni yao ama mitazamo yao na haikumzuia kufanya kazi yake.
Ni hayo mama Mh. M/kiti bado nafasi unayo kwa sababu urais wako wako ulilete tabasamu si Tanzania nzima Bali dunia nzima hivyo una msingi mzuri achana na nao wachache wanaokutisha ama kukudanganya wewe ni RAIA jembe unavyoweza kuaminika kwa kuitetea Tanzania na kusogeza mbele kweli kweli.
Mbelea imepanda bei vibaya mnooHapendwi kweli. Kwa sisi wakulima tunamchukia kweli kweli
'kula rushwa'..... hawa vijana wakishahitimu shule, wanasahau kila kitu.Hivi Kiswahili ulijifunzia wapi muheshimiwa?Unaelewa maana ya kuzunguka mbuyu?
Tumia neno 'baadhi'.Hapendwi kweli. Kwa sisi wakulima tunamchukia kweli kweli
Mfumuko wa bei unaujua au unajua kutamka tuu hilo neno?
Bei ya vitu kupanda ni sign pia ya uchumi kukua, uchumi haukui bei zikiwa stagnant Wewe kenge..
Kama kungekuwa na mfumuko wa bei mkubwa unaoathiri uchumi Takwimu za Mapato ya serikali kuongezeka zisingekuwepo .
Wengi wenu NYie ni ma layman you no nothing kwenye uchumi.
View attachment 2102432
View attachment 2102434
View attachment 2102435
View attachment 2102436
View attachment 2102437
View attachment 2102438
View attachment 2102439
View attachment 2102440
View attachment 2102441
Wewe ndio mpuuzi na mpotoshaji,layman afu unajifanya kunyanyua Domo unaropoka ujinga ..Acha kupotosha jamii wewe…
Mama sio mkali.Ni mzito kwenye kukemea mabaya
Wakulima ni zaidi ya mkulima mmoja. Kwahiyo ipo mahala sahihi kabisa bila kuweka hiyo baadhi yakoTumia neno 'baadhi'.
Uzi umetuliaAsalaam Aleykum Mh. M/kiti,
Pole na majukumu mazito mnoo uliyo nayo, nami akuombea Dua ya ulinzi na heri katika uongozi wako na maisha yako kw a ujumla.
Ila Mheshimiwa ukae ukijua maisha yako hayalindwi na nao wachache wanaokuzunguka na kukupa ulinzi mkali et kulinda usalama wako, ulinzi wako unatoka kwa Allah na si kikundi cha watu wanafiki.
Mh. Wewe ni muislam nadhani unafahamu dua ya wanyonge Allah anavyoguswa nayo kuliko ya asiye haki.
Nikueleze ukweli CCM wenzako hawa wanachama ambao wengi ni RAIA hawana mapenzi na wewe isipokuwa ya kulazimishwa au kwakuwa wanamazoea na CCM watapata wapi bahasha.
Wengi wanakusema vibaya nje ya vikao vyenu, nje ya kamera mpaka wakiwa vyumbani mwao.
Mh. Haya mapambio ya watu maarufu na wanasiasa wenzako unayoyasikia SAA hivi ukiondoka ndo utakuwa uliwashibisha ili wake wajisaidie usoni kwako... M/kiti shtuka jifunze kwa mtangulizi wako.
Ushauri:
1. Kuwa mwepesi kukemea haraka dhulma zidi ya wananchi. Mfano madhila kwa wamachinga, mauaji yanayotokea mikononi kwa polisi, mfumuko wa bei nk.
2. Shauriana na DPP uondoe kesi inayotia aibu serikali yako aliyozushiwa Mboye usidhani ukimkazia Mboye ndo utatisha na kuogopewa. Si kweli kwasababu Allah alichokupa ni kikubwa ndo mana akakutunuku urais. Mtangulize yeye ili ukuepushe na wanafiki wanaokushauri mabaya.
Kumbuka kwa Tanzania hii hatutofautishwi na vyama eti kusema ukimkandamiza mpinzani wanachama wako watafurahia. Hii kesi hadi CCM wenzako hawaitaki.
3. Badilisha viongozi nyeti waliokuwa wakiendesha dhulma na kila aina ya maonevu hapo awali.
4. Wajibisha wateule wako wanaokwenda vibaya na matarajio yako.
5. Sikiliza wananchi sio kusema eti ufanye usifanye tutasema huko ni kujitia upofu maana sisi ndo wsnye nchi.
6. Jifunze kutoka kwa JK mentor wako alikuwa very positive kwenye kukosolewa hakuruhusu kutumia vyombo vyake kuzuia watu wasitoe maoni yao ama mitazamo yao na haikumzuia kufanya kazi yake.
Ni hayo mama Mh. M/kiti bado nafasi unayo kwa sababu urais wako wako ulilete tabasamu si Tanzania nzima Bali dunia nzima hivyo una msingi mzuri achana na nao wachache wanaokutisha ama kukudanganya wewe ni RAIA jembe unavyoweza kuaminika kwa kuitetea Tanzania na kusogeza mbele kweli kweli.
Bora umemwambia mapema,tunamchukia saaana ila tunamchekea kwa nje maana Kuna kitu tunahitajiAsalaam Aleykum Mh. M/kiti,

Ni wengi lakini sio wote.Wakulima ni zaidi ya mkulima mmoja. Kwahiyo ipo mahala sahihi kabisa bila kuweka hiyo baadhi yako
Apendwe alichaguliwa nani?Asalaam Aleykum Mh. M/kiti,

Na mimi hamna mahali nimesema wakulima wote. Wakulima wawe 2 ,100 au 1000 wote wanaitwa wakulima sio 'baadhi ya wakulima'.Ni wengi lakini sio wote.
Ok madam...nimekuelewa....be blessed.Na mimi hamna mahali nimesema wakulima wote. Wakulima wawe 2 ,100 au 1000 wote wanaitwa wakulima sio 'baadhi ya wakulima'.
Sasa nikae kimya ili nivimbe mdomo ??Punguza kidomodo chako kwani yeye kawaambia anawependa!!?View attachment 2102590