Ukweli mchungu: M/kiti CCM taifa wanachama wengi hawakupendi

Wabaya wakishupaza shingo hupigwa upofu na kuhisi kufanikiwa kwenye ubaya wao kumbe ndo kuangamia kwao
 
Hope ataskia otherwise tuandae maombi/dua ya kitaifa yakumkomboa Raid wetu
 

Watu waliodesa mpaka nukta utawajua tu…hizi quick fix zenu zitawatokea puani…
 
Sio Wana-CCM tu ndo hawampendi bali Wananchi wa kawaida ndo hawampendi kabisa
 
kitakacho mtofautisha na marais wengine wa jinsia yake ni ujasiri wa kufanya maamuzi magumu. akiogopa maneno ya kukosolewa atakuwa sawa tu na wamama wengine wanaowaogopa wenzao wambea, atapelekeshwa na wenye agenda zao za siri ktk chama chake, atafanya maamuzi ya kuwaridhisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…