Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
USA is a free country. Ushaambiwa madawa ya kulevya ni mabaya, halafu halafu mtu anatumia wamfanyeje Sasa! Ukitumia utashika njia yako na asiye tumia njia yake. Ndio maana ya kuwa FIRST WORLD. Hakuna kubembelezana!Hivi hawa U.S.A wameshindwa kabisa kufanya watu wake wasitumie madawa ya kulevya ?
Wakajifunze Singapore Lee Kuan Yew alisema nini ukidakwa na madawa ya kulevya Singapore