Ukweli Mchungu: Marekani ni nchi ya dunia ya tatu

Hivi hawa U.S.A wameshindwa kabisa kufanya watu wake wasitumie madawa ya kulevya ?

Wakajifunze Singapore Lee Kuan Yew alisema nini ukidakwa na madawa ya kulevya Singapore
USA is a free country. Ushaambiwa madawa ya kulevya ni mabaya, halafu halafu mtu anatumia wamfanyeje Sasa! Ukitumia utashika njia yako na asiye tumia njia yake. Ndio maana ya kuwa FIRST WORLD. Hakuna kubembelezana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…