Ukweli mchungu: Mayele bado ana miss kitu kimoja kikubwa sana!! Ndicho kinacho fanya Kibu Dennis aonekane bora kuliko Mayele

Makolo kumejaa mataahira,huyo Kibu mlinganishe na Ambundo
 
Hii nyundo nzito sana kwa wachungaji wa Ng'ombe, unastahiki kuwekewa ulinzi mkuu..!
 
huyo kibu kafunga hat trick mech ngapi kati ya hizo alizocheza
 
Kupata vichekesho Kama hivi Tuma meseji LIKUD kwenda 354409 kwa mitandao yote.
 
Weka Kibu hapo kwa Kola wa Azam .... Si tumeambiwa ana goli nane.
 
Kibu goli 8 kazitoa wapi mkuu?? Mbona unaleta uongo kwa watu welevu??
 
Unafanya mchezo na Mayele wewe! Shida kubwa anayoipitia Mayele ni kukamiwa na wapinzani wote hivyo hiyo njaa unayoisema si lelemama!
Hakuna Cha kukamiwa mkuu , straika ni straika tu.Straika bora na mwenye njaa atafunga ktk mazingira yyte yale. Hakuna mechi rahisi, hakuna beki watacheza laini laini wakati wanajua yuko pale kwa ajili ya kuwafunga.

Ligi Ni ngumu na msimu ujao itazidi kuwa ngumu hasa. Hivyo huwezi kuja na kigezo cha kukamiwa.

Huwezi kupata nafasi za wazi uko na kipa hufungi halafu useme umekamiwa. Ndiyo njaa inayozungumzwa hapa. Straika bora na wa maana anafunga ktk mazingira yyte yale.
 
Tukumbushane kidogo Simba 1:0 Mbeya kwanza
Yanga 4:0 Mbeya kwanza.
 
Unapitia maumivu makali yaliopitiliza, umeshindwa kustahmili, akili imekuruka kama nguo yako ya utotoni, huelewi unamzungumzia mayele au unamkingia kifua Kibu,umejibu hoja ambazo hujaulizw ,Kuna memba yyte alietaka kujua diagnosis y majeraha ya Kibu.Chagua moja shekh aidha usherehekee ubingwa au uwapongeze mambingwa.Full stop
 
Ulisema kweli
Kibudenga ana magoli 27 wakati mayele hajafunga tangu ligi ianze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…