Ukweli mchungu: Mwanamke ama Mwanaume kama huna hela wewe ama Wazazi wako utaoa/kuolewa na maskini mwenzako

Mapenzi uFalla sana...

Ndege wanaofanana huruka pamoja.
 
Ni kweli kabisa usemayo,tuoe wale tunaolingana nao kipato,kuzalalauliana kunapungua katika familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…