Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,194
- 4,549
- Thread starter
-
- #41
Naam nausubiri khaswaTena uloshiba kwa herufi kubwaaaa
Anatakiwa kulipa pesa hizo ni nani? Chama?
Ninamtafakari Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai😂
Kwani,mchezaji asipopewa nafasi ya kucheza haimshushi kiwango? Si hata timu ikimhitaji inaangalia kwanza anavyofanya? Asipopewa nafasi ya kucheza si mwenyewe ataamua avunje! Au simbambili mlimuonyesha bila yeye hakuna timu!Simba wala hawana shida naye Sana ispokuwa mkataba wake ni wa Pesa ndefu so kuna kizungumtuti cha kumvunjia mkataba ndio maana alipotaka kuvunja mkataba wakashkuru gafla chama akabadili gia angani akaanza vituko
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Inaonekana kama Chama ndo aliomba kuvunjiwa mkataba basi yeye ndo atalipaAnatakiwa kulipa pesa hizo ni nani? Chama?
Tena huyo mtu ni MOO au Benchika.Mkuu hii habari ni kweli hauna uongo ata punje
Upuuzi wa kumuona chama Kila kitu ndio unawaponza Simba waingie Sokoni watafute mchezaji zaidi ya chama
Umesahau saido aliondoka ,djuma Shaban na bangala mbona yanga ilisimama unajua kwanini?
Kwasababu yanga wamepata mbada wa wachezaji hao
Viongozii waache ulimbukeni wa kumtukuza mchezaji ipo siku wakiendeleza kumdekeza chama atamtia mtu kidole
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Akina mama Wana msemo wao "Ukimpenda akajua haachi kujizuzua"Hii ni kwasababu mashabiki na baadhi ya viongozi kumpenda Sana mchezaji kupita maelezo yaani huwaambii kitu hata kama mchezaji atafanya vibaya
Mwisho wa ubaya aibu ngojea tuone maamuzi ya kikao cha kamati ya nidhamu
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Hapa wateteaji ni Try again na MO kwa mbaali mangunguTena huyo mtu ni MOO au Benchika.
Chama ambaye awali alitaka kuvunja mkataba mwenyewe akajua viongozi watambembeleza...wakamtolea nje,kaona ngoma ishakuwa nzito anafanya vituko ili Simba imvunjie mkatabaAnatakiwa kulipa pesa hizo ni nani? Chama?
Ah karibu dodoma sasaNinamtafakari Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai[emoji23]
Nyie ndio mashabiki maluelue msiotakiwa ungejua kama chama hata baadhi ya wachezaji wanzake haelewani nao usingesema hayaChama mtu muhimu sana kwenye ushindi wetu ni bora mangungu atupishe
Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
Asante Abby na ubarikiwe kwa mwaliko.
Mchezaji kama apangwi anatakiwa awe na subra kama alivyofanya mudathir yahya abas na pale unapopangwa unaonyesha kwanini ulipangwa kwa kufanya vizuri kama alivyofanya mudathir siku zilizopita sio kukerwa kama anavyo Fanya chama mpuuzi Sana anataka kutukuzwa Tanzania alafu yeye mzambiaKwani,mchezaji asipopewa nafasi ya kucheza haimshushi kiwango? Si hata timu ikimhitaji inaangalia kwanza anavyofanya? Asipopewa nafasi ya kucheza si mwenyewe ataamua avunje! Au simbambili mlimuonyesha bila yeye hakuna timu!
Chovya chovya humaliza huyu la asaliAkina mama Wana msemo wao "Ukimpenda akajua haachi kujizuzua"
insha'Allah awamu itakuwa kweliAsante Abby na ubarikiwe kwa mwaliko.
Tuombe uzima next month nitakuwepo tena Dom
Amina
Nikwambie kitu mkuuMwachieni Chama aende mwishowe ataharibu.
Mtu akikaa sehemu moja mda mrefu huchosha
Na team zetu zimejaa majungu hasa ukifanya vizuri.
Chama amewapa simba furaha mara nyingi lindeni heshima yake msiachane vibaya