Ukweli mchungu na sababu za kusimamishwa kwa Chama jr

Ukweli mchungu na sababu za kusimamishwa kwa Chama jr

Simba wala hawana shida naye Sana ispokuwa mkataba wake ni wa Pesa ndefu so kuna kizungumtuti cha kumvunjia mkataba ndio maana alipotaka kuvunja mkataba wakashkuru gafla chama akabadili gia angani akaanza vituko

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Kwani,mchezaji asipopewa nafasi ya kucheza haimshushi kiwango? Si hata timu ikimhitaji inaangalia kwanza anavyofanya? Asipopewa nafasi ya kucheza si mwenyewe ataamua avunje! Au simbambili mlimuonyesha bila yeye hakuna timu!
 
Mkuu hii habari ni kweli hauna uongo ata punje

Upuuzi wa kumuona chama Kila kitu ndio unawaponza Simba waingie Sokoni watafute mchezaji zaidi ya chama

Umesahau saido aliondoka ,djuma Shaban na bangala mbona yanga ilisimama unajua kwanini?

Kwasababu yanga wamepata mbada wa wachezaji hao

Viongozii waache ulimbukeni wa kumtukuza mchezaji ipo siku wakiendeleza kumdekeza chama atamtia mtu kidole

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Tena huyo mtu ni MOO au Benchika.
 
Anatakiwa kulipa pesa hizo ni nani? Chama?
Chama ambaye awali alitaka kuvunja mkataba mwenyewe akajua viongozi watambembeleza...wakamtolea nje,kaona ngoma ishakuwa nzito anafanya vituko ili Simba imvunjie mkataba
Hapa chama amefanya Mchezo wa kitoto Kula nyama kwa jirani alafu kafuta mdomo kwa mkono

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Kwani,mchezaji asipopewa nafasi ya kucheza haimshushi kiwango? Si hata timu ikimhitaji inaangalia kwanza anavyofanya? Asipopewa nafasi ya kucheza si mwenyewe ataamua avunje! Au simbambili mlimuonyesha bila yeye hakuna timu!
Mchezaji kama apangwi anatakiwa awe na subra kama alivyofanya mudathir yahya abas na pale unapopangwa unaonyesha kwanini ulipangwa kwa kufanya vizuri kama alivyofanya mudathir siku zilizopita sio kukerwa kama anavyo Fanya chama mpuuzi Sana anataka kutukuzwa Tanzania alafu yeye mzambia

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Mwachieni Chama aende mwishowe ataharibu.
Mtu akikaa sehemu moja mda mrefu huchosha
Na team zetu zimejaa majungu hasa ukifanya vizuri.

Chama amewapa simba furaha mara nyingi lindeni heshima yake msiachane vibaya
 
Nikwambie kitu mkuu

Unakumbuaka Cristiano Ronaldo aliondokaje Manchester United? Wacha nikujuze

Ni hivi Ronaldo ndoto yake hapo awali kabla ajasajiliwa na Manchester United ilikuwa ni kucheza real Madrid.hivyo alicheza man u kwa miaka kazaa mpaka alipo utaarifu uongozi wa team kwa heshima kuwa naomba nijiunge na real Madrid,uongozi ukamruhusu na usichokijua zaidi Ronaldo yeye ndio ali ofer kujiunga pale madrid.

Ndio maana aliondoka kwa baraka zote na hakuanza vituko.

Je kwa chama amefanya hivyo?

Huyu asivunjiwe maktaba apigwe bench Tu....

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom