Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,194
- 4,549
- Thread starter
-
- #101
Swadakta umesema kweli walichelewa sanNadhani chama alitakiwa apewe "senkyuu" msimu jana ulipomalizika lakini hawajachelewa kumpa mkono wa kwa heri tena kwenye dilisha dogo hili ili wapate mbadala wake wa kudumu, hiyo itatoa funzo zuri kwa wachezaji wengine kubaki kwenye nidhamu zao
Kapama namba yenyewe hapati kitambo Tu tumfatilie wanini sasa? Ameisaidia nini Simba tangu aje? Huwezi kuongelewa kama huna faida...Tupeni na za ndaani za kalpama mbona mnatupa za chama2
Wewe mpumbavu leta vyeti vyako nilete vya Kwangu mpuuzi weweSio apangwi ni hapangwi.
Aise uandishi huu unatia mashaka na elimu ya mtu.
Sio kweli Abby utakua umedanganywa..Subiri nikwambie kijana wakati Benchika anakuja Simba aliomba amsukilize Kila mchezaji mmoja mmoja shida yake na alisema kama kuna mchezaji anawadai mlipeni la sivyo hawezi pata namba kwenye kikosi, wachezaji wote walipewa binansi zao hizi sasa Simba hakuna mchezaji anayedaiwa
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Take easy ndio vijana wetu kila kukicha wanazungumzia Elimu huku wakilala na mitungi ya gesi na ndoo za maji ndani...Wewe mpumbavu leta vyeti vyako nilete vya Kwangu mpuuzi wewe
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Kaka nakuhakikishia hakuna mchezaji wa Simba anayedai bonansi yoyote mpaka sasa.walishalipwa zote.labda kama kuna madai ni nje ya bonansiSio kweli Abby utakua umedanganywa..
Wanajifanya wako Sawa Kila angle tukikagua nyuzi zao ni vituko TuTake easy ndio vijana wetu kila kukicha wanazungumzia Elimu huku wakilala na mitungi ya gesi na ndoo za maji ndani...
Hakika hakuna mkubwa katika timu huyo chama ana kamigomo ya chinichini Sana katika timu...Wakati yanga inaachana na Djuma Shabani na Bangala, makolo walikuwa wanashupaza shingo kwamba Yanga inaonea wachezaji wake wanaojielewa. Nadhani sasa mtaelewa umuhimu wa utulivu kambini
Miraji mara moja huwa nipo nae mtaani hapa na huwa tunashinda kijiweni ingawaje juzi baada ya barua kutoka tulilijadili Sana hili.vivyo hivyo pia huyo jamaa ni mwanasimba kindakindaki hizi taarifa lazima awe nazo.Mbona haumpi credit Miraji Maramoja na Chagamba wa channel ya YouTube inaitwa First Online TV?
Au wewe ni mmojawapo wa hao niliowataja?
Umemnukuu neno Hadi neno toka kwenye kipindi walichorusha jana. Huwezi kukataza umetoa huko sababu hakuna mfanano wa kila neno wa kiwango hiki.
Ni hatariMtoa sindikiza na kapicha mwamba akipangwa uongo.
View attachment 2850660
Pia usichokijua hata huyo miraji huwa anaambiwa hapa nitazidi kumwamini jamaa akiyenipa hizi informations kuwa yupo correct sanaMbona haumpi credit Miraji Maramoja na Chagamba wa channel ya YouTube inaitwa First Online TV?
Au wewe ni mmojawapo wa hao niliowataja?
Umemnukuu neno Hadi neno toka kwenye kipindi walichorusha jana. Huwezi kukataza umetoa huko sababu hakuna mfanano wa kila neno wa kiwango hiki.
Alitegemea abembelezwe sasa alipoambiwa ombi lake limekubaliwa ndiyo anaanza visa ili afukuzwe yeye. Yale yale ya Bangala na Juma ShaabanInaonekana kama Chama ndo aliomba kuvunjiwa mkataba basi yeye ndo atalipa
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili hizi mnazipatia dampo gani?Hakuna Simba bila Chama
Dawa yake wamsugulishe benchi tu hadi mkataba wake uisheViongozii wapo tayari ila chama ametega mtego wa kuvunjiwa mkataba apewe Pesa nyingi...hapo ndio kuna ugumu kwa viongozi
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Chama ajishushe kama anataka kucheza Simba aache migogoro na viongozi wa clubAlitegemea abembelezwe sasa alipoambiwa ombi lake limekubaliwa ndiyo anaanza visa ili afukuzwe yeye. Yale yale ya Bangala na Juma Shaaban
Ngojea tuone maamuzi ya kikao cha kamati ya nidhamuDawa yake wamsugulishe benchi tu hadi mkataba wake uishe