Ukweli mchungu na sababu za kusimamishwa kwa Chama jr

Ukweli mchungu na sababu za kusimamishwa kwa Chama jr

Nadhani chama alitakiwa apewe "senkyuu" msimu jana ulipomalizika lakini hawajachelewa kumpa mkono wa kwa heri tena kwenye dilisha dogo hili ili wapate mbadala wake wa kudumu, hiyo itatoa funzo zuri kwa wachezaji wengine kubaki kwenye nidhamu zao
Swadakta umesema kweli walichelewa san

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Subiri nikwambie kijana wakati Benchika anakuja Simba aliomba amsukilize Kila mchezaji mmoja mmoja shida yake na alisema kama kuna mchezaji anawadai mlipeni la sivyo hawezi pata namba kwenye kikosi, wachezaji wote walipewa binansi zao hizi sasa Simba hakuna mchezaji anayedaiwa

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Sio kweli Abby utakua umedanganywa..
 
Mtoa sindikiza na kapicha mwamba akipangwa uongo.
FB_IMG_17032381028731955.jpg
 
Mbona haumpi credit Miraji Maramoja na Chagamba wa channel ya YouTube inaitwa First Online TV?
Au wewe ni mmojawapo wa hao niliowataja?

Umemnukuu neno hadi neno toka kwenye kipindi walichorusha jana. Huwezi kukataa umetoa huko sababu hakuna mfanano wa kila neno wa kiwango hiki.
 
Wakati yanga inaachana na Djuma Shabani na Bangala, makolo walikuwa wanashupaza shingo kwamba Yanga inaonea wachezaji wake wanaojielewa. Nadhani sasa mtaelewa umuhimu wa utulivu kambini
 
Wakati yanga inaachana na Djuma Shabani na Bangala, makolo walikuwa wanashupaza shingo kwamba Yanga inaonea wachezaji wake wanaojielewa. Nadhani sasa mtaelewa umuhimu wa utulivu kambini
Hakika hakuna mkubwa katika timu huyo chama ana kamigomo ya chinichini Sana katika timu...

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Mbona haumpi credit Miraji Maramoja na Chagamba wa channel ya YouTube inaitwa First Online TV?
Au wewe ni mmojawapo wa hao niliowataja?

Umemnukuu neno Hadi neno toka kwenye kipindi walichorusha jana. Huwezi kukataza umetoa huko sababu hakuna mfanano wa kila neno wa kiwango hiki.
Miraji mara moja huwa nipo nae mtaani hapa na huwa tunashinda kijiweni ingawaje juzi baada ya barua kutoka tulilijadili Sana hili.vivyo hivyo pia huyo jamaa ni mwanasimba kindakindaki hizi taarifa lazima awe nazo.

Wacha nikamuangalie huko YouTube nione ameongezea nini huko YOUTUBE nipate maarifa zaidi katika hili.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Mbona haumpi credit Miraji Maramoja na Chagamba wa channel ya YouTube inaitwa First Online TV?
Au wewe ni mmojawapo wa hao niliowataja?

Umemnukuu neno Hadi neno toka kwenye kipindi walichorusha jana. Huwezi kukataza umetoa huko sababu hakuna mfanano wa kila neno wa kiwango hiki.
Pia usichokijua hata huyo miraji huwa anaambiwa hapa nitazidi kumwamini jamaa akiyenipa hizi informations kuwa yupo correct sana

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom