Ukweli mchungu Ni kuwa Tundu Lisu Hawezi Kuwa Rais Wa Nchi Hii, Hana sifa za kiuongozi za kuwa Mkuu Wa nchi

Na ndiyo maana wakitoka CDM wanapewa uongozi huko jalalani.
Njoo Basi na wewe upewe Kama Ni Rahisi Rahisi tu, CCM Ni chama kikubwa kilicho kimbilio la watu wote waliokosa matumaini na kuonewa huko watokako, siyo Kama Huko kwenu mnakorushiana Hadi vipande vya matofali
 
Mimi?Nikijua nimepatwa na pepo la kuhamia CCM najiua halafu nakimbia nchi.
 
Mzungu hawezi kukuchekea kama hatopata faida kupitia wewe,hii nchi itakuwa mikononi mwa watu ambao hawafai endapo tu anae zungumzia atachukua nchi,watanzania sio wajinga wanaona vinavyo endelea/vilivyo tokea nchi za wenzetu kupitia hao hao wazungu.
 
Kuficha hilo neno Lisu kwenye post yako mtu anaweza kudhani unamzungumzia Magufuli. Kama magufuli ameweza kuwa rais wa nchi hii, hakuna mtu yoyote mwenye akili timamu atashindwa kuwa rais.
 
Lisu Hana huo uwezo wa kuwa Rais wa nchi hii, kwa kuwa Hana sifa za kiuongozi za kuwa Mkuu Wa nchi na Amiri Jeshi mkuu

Vipi kwa upande wako unaweza kuongoza hata nyumba 10,achilia mbali familia kama baba au mama,je watoto wanaenda shule na je hawaishi Chimbo na baba au mama hata habari huna,je msako wa panyaroad hauja nasa yeyote wa nyumba yako🥱
 
Mzungu hawezi kukuchekea kama hatopata faida kupitia wewe,hii nchi itakuwa mikononi mwa watu ambao hawafai endapo tu anae zungumzia atachukua nchi,watanzania sio wajinga wanaona vinavyo endelea/vilivyo tokea nchi za wenzetu kupitia hao hao wazungu.

Nchi hii ina nini wanachohitaji wazungu? Tungekuwa na cha maana hivyo tusingeona kusumbuana kwenye tozo za miamala. Au wazungu wanataka kuja kukusanya tozo kwenye line za simu?
 
Lisu Hana huo uwezo wa kuwa Rais wa nchi hii, kwa kuwa Hana sifa za kiuongozi za kuwa Mkuu Wa nchi na Amiri Jeshi mkuu

Hakuna mwanaccm mwizi anatamani Lisu awe rais, maana wanajua wote wataishia jela. Ndio maana tunataka muheshimu box la kura kisha mchukue majibu ya wananchi.
 
Hakuna anayeweza wapa kura maana hamna Sera Wala ajenda zenye kugusa maisha ya watanzania Wala kumkwamua mkulima aliyopo kule kijijini Kama ifanyavyo CCM katika kuwatumikia watanzania
 
Uko sahihi, ndio maana tunataka muheshimu tu box la kura uone kama nyie chama cha majizi mtaendelea kusalia madarakani.
 
Tundu ni akili kubwa sana katika watu waliowahi kuja hapa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…