Ukweli Mchungu sana: Ndugu yenu akiwa kwenye " naturally life threatening situation" msimuombe Mungu amuepushe na kifo bali mapenzi yake yatimie

SEHEMU YA TATU:

Kafara za S.A. ni tofauti na kafara za bongo. Mauaji ya kichawi S.A. ni tofauti na bongo.

Bongo ukitaka kuua mtu kichawi mganga anamkodi jini kisha anamtuma jini kuja kukuua but South Africa ukitaka kuua mtu kichawi jini anamuelekeza mtu kwenda kumuua victim.

Kwanini ipo hivyo? Majini wana toka katika madaraja, koo na mbari( races) mbalimbali.

Kila koo au mbari ya kijini ina taratibu zake na teknolojia yake.

Koo nyingi za majini wanaoishi katika ukanda huu wa Afrika Mashariki(na nchi nyingi za dunia ya tatu)ni majini ambao wakipewa kandarasi ya kufanya kazi ya wanadamu hupendelea kufanya kazi hiyo wao wenyewe.

Ilhali koo za majini wanaoishi katika nchi zilizo endelea kiuchumi na kiteknolojia ( Afrika kusini ikiwa moja wapo) wanapopewa kazi ya watu wao huwaelekeza watu namna ya kufanya ila kazi yote itakayo hitaji physical interaction kwenye ' mradi husika' itatakiwa kufanywa na binadamu..

Ni kama tu Mungu alivyomtoa kafara 'mtoto wake' Yesu, hakushusha upanga kutoka mbinguni bali aliwatumia wana wa Israel.

Mfano wake huwa hivi: ukienda kwa mganga lets say unataka kumuua " X" . Huyu mganga yeye ana majini wa uganga,majini wa uganga hawana uwezo wa kumuua X,atakacho kifanya atakwambia subiri niongee na " wazee" ( majini wake) Majini wa mganga huyu hawana maarifa ya kumuua X ila wanawajua majini wenzao ambao wanaweza kumuua X kwa hiyo watakacho kifanya watamwambia " kiti" wao watamuelekeza nini cha kufanya itakapo fika usiku kwa njia ya ndoto nyevu " lucid dreams"
Hao majini wataenda ujinini kwao kuwa consult majini wauaji wenye uwezo wa kumuua X. Majini wauaji baada ya kupokea" kazi" ya kumuua X watamwambia huyu jini wa uganga asubiri wapeleke faili la X kwa jini mtaalamu wa falakhi. Kumbuka hawa majini wana jua kuua tu lakini hawawezi kumuua mtu bila kumjua vizuri. Kujua nguvu yake na udhaifu wake ili wajue wanamshambulia kwa kutumia silaha ipi, shambulio lielekezwe kwenye sehemu ipi ya mwili wa mhusika, mara ngapi, siku gani na saa ngapi na mtu mwenye sifa zipi afanye shambulio.

So majini wa falakhi( majini wa utambuzi) wakishapokea faili la X watalifanyia intelligence analysis kubaini mambo yafuatayo:

1. Nyota ya x ni Gani?
2. Ina asili ipi? Majini,motoni, ardhini au angani?

3. Nyota yake binafsi ina nguvu au haina nguvu( ipo active au in active) na kama ina nguvu kitu gani kifanyike ili kuua nguvu ya nyota ya mhusika? ( majini hawawezi kumshambulia mtu bila kwanza kuharibu nyota yake katika muda ambao wanafanya shambulio. Na hii ni moja kati ya sababu muhimu kwanini hawa majini wauaji watahitaji kupata intelligence report kutoka kwa jini mtaalamu wa falakhi kabla ya " kupeleka majeshi Uganda ".

4. Je mtu huyo ana kinga? Ina nguvu?( kama ina nguvu inakuwa attacked kwanza kabla ya shambulio)

5. Ili shambulio liweze kuwa na matokeo chanya, je ni saa na siku gani nzuri ya ya kufanya shambulio.

6. Ni mtu mwenye sifa zipi ndo anatakiwa kufanya hilo shambulio ?

7. Shambulio lifanyikie nchi kavu, majini au angani ?

8. Silaha za kiroho na/au kimwili zinazo hitajika Nakadhalika..

Majini wauaji wakishapokea hiyo intelligence report kutoka kwa jini wa falakhi watampatia jini wa uganga. Pamoja na mambo mengine hiyo report itakuwa na mahitajj ya malipo ya kazi yao( majini wauaji + jini wa falakhi)

Malipo huwa ya aina mbili. Kwanza ni malipo kabla ya kazi na pili malipo baada ya kazi ( ndio maana kwenye Vilinge vya bongo kwenye " sherehe" ya kumtupia mtu jini wa kumuua, huwa kunakuwaga na mnyama hai kama zawadi ya jini, mnyama huyu huwekwa kilingeni. Jini akisha pewa vitu vyake vya awali ataenda ' kumkausha' mhusika na akifanikiwa basi atarudi atakausha damu ya huyo mnyama. Kilingeni wakiona mnyama wa kilingeni amekauka basi wanashangilia coz wana jua kazi tayari imekamilika. Kukauka kwa mnyama wa kilingeni ndio ishara kwamba mhusika amekwenda na maji.

jini wa uganga akishapewa intelligence report kutoka kwa majini wauaji atampa report hiyo kiti wake usiku kwa njia ya ndoto nyevu. Mganga ( kwa Tanzania) hupewa report ya majina ya vifaa vya kazi na siku ya kazi na kwa South Afrika ( hupewa report yote ikiwemo na silaha itakayo tumika , sifa za mmuaji n.k)

Mganga akisha pokea taarifa atatoa maelekezo kwa mteja ( Ndo hiyo unaambiwa leta kondoa mwekundu etc)

JINSI INAVYO KUWA:

( KWA TANZANIA NA NCHI AMBAZO HAZIJAENDELEA KITEKNOLOJIA)

Intelligence report kwa mfano itasema huyu jamaa kwa sababu za kinyota basi anatakiwa kuuwawa akiwa kwenye maji mfano baharini,ziwani, mtoni n.k ( Hapa maana yake ni kwamba huyu jamaa hawezi kuuwawa kijini sehemu yoyote ile isipokuwa majini)

Majini wauaji waliopewa kazi na jini wa uganga kama wao sio majini wenye asili ya majini basi wata ingia mkataba na majini wanaoishi majini wafanye kazi kwa niaba yao.

Majini wa majini watapokea hiyo kazi lakini kumbuka hawa majini wa majini wana weza tu kuua mtu akiwa ndani ya maji lakini hawana uwezo wa kumfanya mhusika aingie ndani ya maji eidha kwa kumlazimisha au kumu attract.

Watakacho kifanya watazungumza na majini wa nchi kavu ambao wana uwezo wa kumpeleka X mpaka majini.

Ili kufanikisha jambo hilo, majini wa majini watafanya jambo lifuatalo.. ni jambo gani hilo? Itaendelea
 
Bongo ukitaka kuua mtu kichawi mganga anamkodi jini kisha anamtuma jini kuja kukuua but South Africa ukitaka kuua mtu kichawi jini anatuma mtu kwenda kumuua victim.

Kwanini ipo hivyo? Majini wana toka katika madaraja, koo na mbari( races) mbalimbali.

Kila koo au mbari ya kijini ina taratibu zake na teknolojia yake.

Koo nyingi za majini wanaoishi katika ukanda huu wa Afrika Mashariki ni majini ambao wakipewa kandarasi ya kufanya kozi ya wanadamu hupendelea kufanya kazi hiyo was wenyewe.

Ilhali koo za majini wanaoishi katika nchi zilizo endelea kiuchumi na kiteknolojia ( Afrika kusini ikiwa moja wapo) wanapopewa kazi ya watu wao huwaelekeza watu namna ya kufanya ila kazi yote itakayo hitaji physical interaction kwenye ' mradi husika' itatakiwa kufanywa na binadamu..

Ni kama tu Mungu alivyomtoa kafara 'mtoto wake' Yesu, hakushusha upanga kutoka mbinguni bali aliwatumia wana wa Israel.

Mfano wake huwa hivi: ukienda kwa mganga lets say unataka kumuua " X" . Huyu mganga yeye ana majini wa upanga,majini wa uganga hawana uwezo wa kumuua X,atakacho kifanya atakwambia subiri niongee na " wazee" ( majini wake) Majini wa mganga huyu hawana maarifa ya kumuua X ila wanawajua majini wenzao ambao wanaweza kumuua X kwa hiyo watakacho kifanya watamwambia " kiti" wao watamuelekeza nini cha kufanya itakapo fika usiku kwa njia ya ndoto nyevu " lucid dreams"
Hao majini wataenda ujinini kwao kuwa consult majini wauaji wenye uwezo wa kumuua X. Majini wauaji baada ya kupokea" kazi" ya kumuua X watamwambia huyu jini wa uganga asubiri wapeleke faili la X kwa jini mtaalamu wa falakhi. Kumbuka hawa majini wana jua kuua tu lakini hawawezi kumuua mtu bila kumjua vizuri. Kujua nguvu yake na udhaifu wake ili wajue wanamshambulia kwa kutumia silaha yenu, shambulio lielekezwe kwenye sehemu ipi ya mwili wa mhusika, mara ngapi, siku gani na saa ngapi na mtu mwenye sifa zipi afanye shambulio.

So majini wa falakhi( majini wa utambuzi) wakishapokea faili la X watalifanyia intelligence analysis kubaini mambo yafuatayo:

1. Nyota ya x ni Gani?
2. Ina asili ipi? Majini,moto, ardhi au anga?

3. Nyota yake binafsi ina nguvu au haina nguvu( ipo active au in active) na kama ina nguvu kitu gani kifanyike ili kuua nguvu ya nyota ya mhusika? ( majini hawawezi kumshambulia mtu bila kwanza kuharibu nyota yake katika muda ambao wanafanya shambulio. Na hii ni moja kati ya sababu muhimu kwanini hawa majini wauaji watahitaji kupata intelligence report kutoka kwa jini mtaalamu wa falakhi kabla ya " kupeleka majeshi Uganda ".

4. Je mtu huyo ana kinga? Ina nguvu?( kama ina nguvu inakuwa attacked kwanza kabla ya shambulio)

5. Ili shambulio liweze kuwa na matokeo chanya, je ni saa na siku gani nzuri ya ya kufanya shambulio.

6. Ni mtu mwenye sifa zipi ndo anatakiwa kufanya hilo shambulio ?

7. Shambulio lifanyikie ndio kavu, majini au angani ?

8. Silaha za kiroho na/au kimwili zinazo hitajika Nakadhalika..

Majini wauaji wakishapokea hiyo intelligence report kutoka kwa jini wa falakhi watampatia jini wa uganga. Pamoja na mambo mengine hiyo report itakuwa na mahitajj ya malipo ya kazi yao( majini wauaji + jini wa falakhi)

Malipo huwa ya aina mwili. Kwanza ni malipo kabla ya kazi na pili malipo baada ya kazi ( ndio maana kwenye Vilinge vya bongo kwenye la kumtupia mtu jini wa kumuua, huwa inakuwaga na mnyama hai kama zawadi ya jini, mnyama huyu huwekwa kilingeni. Jini akisha pewa vitu yake cha abaki ataenda ' kumkausha' mhusika na akifanikiwa basi atarudi atakausha damu ya huyo mnyama. Kilingeni wakiona mnyama wa kilingeni imekauka basi wanashangilia coz wana jua kazi tayari imekamilika. Kukauka kwa mnyama wa kilingeni ndio ishara kwamba mhusika amekwenda na maji.

jini wa uganga akishapewa intelligence report kutoka kwa majini wauaji atampa report hiyo kiti wake usiku kwa njia ya ndoto nyevu. Mganga ( kwa Tanzania) hupewa report ya majina ya vifaa vya kazi na siku ya kazi na kwa South Afrika ( hupewa report yote ikiwemo na silaha itakayo tumika , sifa za mmuaji n.k)

Mganga akisha pokea taarifa atatoa maelekezo kwa mteja ( Ndo hiyo unaambiwa leta kondoa mwekundu etc)

JINSI INAVYO KUWA:

( KWA TANZANIA NA NCHI AMBAZO HAZIJAENDELEA KITEKNOLOJIA)

Intelligence report kwa mfano itasema huyu jamaa kwa sababu za kinyota basi anatakiwa kuuwawa akiwa kwenye maji mfano baharini,ziwani, mtoni n.k ( Hapa maana yake ni kwamba huyu jamaa hawezi kuuwawa kijini sehemu yoyote ile isipokuwa majini)

Majini wauaji waliopewa kazi na jini wa uganga kama wao sio majini wenye asili ya majini basi wata ingia mkataba na majini wanaoishi majini wafanye kazi kwa niaba yao.

Majini wa majini watapokea hiyo kazi lakini kumbuka hawa majini wa majini wana weza tu kuua mtu akiwa ndani ya maji lakini hawana uwezo wa kumfanya mhusika aingie ndani ya maji eidha kwa kumlazimisha au kumu attract.

Watakacho kifanya watazungumza na majini wa nchi kavu ambao wana uwezo wa kumpeleka X mpaka majini.

Ili kufanikisha jambo hili, majini wa majini watafanya jambo hili... ni jambo gani hilo? Itaendelea
Kalpana

GODZILLA
 
SEHEMU YA TATU:

Kafara za S.A. ni tofauti na kafara za bongo. Mauaji ya kichawi S.A. ni tofauti na bongo.

Bongo ukitaka kuua mtu kichawi mganga anamkodi jini kisha anamtuma jini kuja kukuua but South Africa ukitaka kuua mtu kichawi jini anamuelekeza mtu kwenda kumuua victim.

Kwanini ipo hivyo? Majini wana toka katika madaraja, koo na mbari( races) mbalimbali.

Kila koo au mbari ya kijini ina taratibu zake na teknolojia yake.

Koo nyingi za majini wanaoishi katika ukanda huu wa Afrika Mashariki(na nchi nyingi za dunia ya tatu)ni majini ambao wakipewa kandarasi ya kufanya kazi ya wanadamu hupendelea kufanya kazi hiyo wao wenyewe.

Ilhali koo za majini wanaoishi katika nchi zilizo endelea kiuchumi na kiteknolojia ( Afrika kusini ikiwa moja wapo) wanapopewa kazi ya watu wao huwaelekeza watu namna ya kufanya ila kazi yote itakayo hitaji physical interaction kwenye ' mradi husika' itatakiwa kufanywa na binadamu..

Ni kama tu Mungu alivyomtoa kafara 'mtoto wake' Yesu, hakushusha upanga kutoka mbinguni bali aliwatumia wana wa Israel.

Mfano wake huwa hivi: ukienda kwa mganga lets say unataka kumuua " X" . Huyu mganga yeye ana majini wa uganga,majini wa uganga hawana uwezo wa kumuua X,atakacho kifanya atakwambia subiri niongee na " wazee" ( majini wake) Majini wa mganga huyu hawana maarifa ya kumuua X ila wanawajua majini wenzao ambao wanaweza kumuua X kwa hiyo watakacho kifanya watamwambia " kiti" wao watamuelekeza nini cha kufanya itakapo fika usiku kwa njia ya ndoto nyevu " lucid dreams"
Hao majini wataenda ujinini kwao kuwa consult majini wauaji wenye uwezo wa kumuua X. Majini wauaji baada ya kupokea" kazi" ya kumuua X watamwambia huyu jini wa uganga asubiri wapeleke faili la X kwa jini mtaalamu wa falakhi. Kumbuka hawa majini wana jua kuua tu lakini hawawezi kumuua mtu bila kumjua vizuri. Kujua nguvu yake na udhaifu wake ili wajue wanamshambulia kwa kutumia silaha ipi, shambulio lielekezwe kwenye sehemu ipi ya mwili wa mhusika, mara ngapi, siku gani na saa ngapi na mtu mwenye sifa zipi afanye shambulio.

So majini wa falakhi( majini wa utambuzi) wakishapokea faili la X watalifanyia intelligence analysis kubaini mambo yafuatayo:

1. Nyota ya x ni Gani?
2. Ina asili ipi? Majini,motoni, ardhini au angani?

3. Nyota yake binafsi ina nguvu au haina nguvu( ipo active au in active) na kama ina nguvu kitu gani kifanyike ili kuua nguvu ya nyota ya mhusika? ( majini hawawezi kumshambulia mtu bila kwanza kuharibu nyota yake katika muda ambao wanafanya shambulio. Na hii ni moja kati ya sababu muhimu kwanini hawa majini wauaji watahitaji kupata intelligence report kutoka kwa jini mtaalamu wa falakhi kabla ya " kupeleka majeshi Uganda ".

4. Je mtu huyo ana kinga? Ina nguvu?( kama ina nguvu inakuwa attacked kwanza kabla ya shambulio)

5. Ili shambulio liweze kuwa na matokeo chanya, je ni saa na siku gani nzuri ya ya kufanya shambulio.

6. Ni mtu mwenye sifa zipi ndo anatakiwa kufanya hilo shambulio ?

7. Shambulio lifanyikie nchi kavu, majini au angani ?

8. Silaha za kiroho na/au kimwili zinazo hitajika Nakadhalika..

Majini wauaji wakishapokea hiyo intelligence report kutoka kwa jini wa falakhi watampatia jini wa uganga. Pamoja na mambo mengine hiyo report itakuwa na mahitajj ya malipo ya kazi yao( majini wauaji + jini wa falakhi)

Malipo huwa ya aina mbili. Kwanza ni malipo kabla ya kazi na pili malipo baada ya kazi ( ndio maana kwenye Vilinge vya bongo kwenye " sherehe" ya kumtupia mtu jini wa kumuua, huwa kunakuwaga na mnyama hai kama zawadi ya jini, mnyama huyu huwekwa kilingeni. Jini akisha pewa vitu vyake vya awali ataenda ' kumkausha' mhusika na akifanikiwa basi atarudi atakausha damu ya huyo mnyama. Kilingeni wakiona mnyama wa kilingeni amekauka basi wanashangilia coz wana jua kazi tayari imekamilika. Kukauka kwa mnyama wa kilingeni ndio ishara kwamba mhusika amekwenda na maji.

jini wa uganga akishapewa intelligence report kutoka kwa majini wauaji atampa report hiyo kiti wake usiku kwa njia ya ndoto nyevu. Mganga ( kwa Tanzania) hupewa report ya majina ya vifaa vya kazi na siku ya kazi na kwa South Afrika ( hupewa report yote ikiwemo na silaha itakayo tumika , sifa za mmuaji n.k)

Mganga akisha pokea taarifa atatoa maelekezo kwa mteja ( Ndo hiyo unaambiwa leta kondoa mwekundu etc)

JINSI INAVYO KUWA:

( KWA TANZANIA NA NCHI AMBAZO HAZIJAENDELEA KITEKNOLOJIA)

Intelligence report kwa mfano itasema huyu jamaa kwa sababu za kinyota basi anatakiwa kuuwawa akiwa kwenye maji mfano baharini,ziwani, mtoni n.k ( Hapa maana yake ni kwamba huyu jamaa hawezi kuuwawa kijini sehemu yoyote ile isipokuwa majini)

Majini wauaji waliopewa kazi na jini wa uganga kama wao sio majini wenye asili ya majini basi wata ingia mkataba na majini wanaoishi majini wafanye kazi kwa niaba yao.

Majini wa majini watapokea hiyo kazi lakini kumbuka hawa majini wa majini wana weza tu kuua mtu akiwa ndani ya maji lakini hawana uwezo wa kumfanya mhusika aingie ndani ya maji eidha kwa kumlazimisha au kumu attract.

Watakacho kifanya watazungumza na majini wa nchi kavu ambao wana uwezo wa kumpeleka X mpaka majini.

Ili kufanikisha jambo hilo, majini wa majini watafanya jambo lifuatalo.. ni jambo gani hilo? Itaendelea
Hii ulishaileta hapa jukwaani
 
Huyu alishawahi kuleta uzi wa dizaini hii, maswali yalipokua mengi akasusa mpaka kesho.

Sijui kama huu uzi utafika mbali, LIKUD ni moja member ambao huwa hawamalizi story zao, wanasusa hata kwa kitu kidogo tu.

Wakianza kumchallenge jamaa anakula kona na harudi.
 
Nakuja kuendelea kaka just stay tuned
 
SEHEMU YA NNE
Majini wauaji wa majini wata communicate na jini wa utambuzi ili awasaidie kujua jini yupi anaweza kuwasaidia kum-lure bwana x hadi majini( lets say baharini . Tu assume bwana X anaishi Dar es salaam)

Moja kati ya majini ambao wana uwezo wa kumpeleka mwanadamu sehemu yoyote ile wakati wowote ule ni jini wa mapenzi, jini wa askhi na jini wa hela.

Jini wa utambuzi ( jini wa falakh) ata scan nafsi ya bwana X ili kuchakata taarifa zake bwana X katika mahusiano na pesa.

Mfano kwenye mahusiano, jini wa utambuzi atachakata kutafuta iwapo kuna taarifa inayo onyesha kwamba bwana X kuna mwanamke anampenda kupita maelezo na ametumia muda lets say na pesa nyingi ili ampate but in vain. Mwanamke ambae,bwana x yupo tayari kufanya chochote ili ampate.

Jini wa utambuzi akisha pata taarifa hizo ata zirejesha kwa jini muuaji wa majini. Taarifa ya jini wa utambuzi itakuwa na maelekezo kwamba jini mwenye uwezo wa kumleta bwana X hadi majini ni jini wa askhi au jini wa mapenzi.

Jini huyo wa mapenzi atatakiwa kutumwa kumuingia mwanamke huyo kipenzi cha bwana X ( tumuite bi cheupe) na kumtumia bi cheupe kumvuta bwana X hadi ndani ya maji.

So jini muuaji wa majini ata communicate na jini wa askhi atamuomba amsaidie kumvuta majini bwana X kupitia bi cheupe...

Jini wa askhi akimuingia bi cheupe atamuwekea bi cheupe taswira ya bwana X. Bi cheupe atamuita bwana X wakutane lakini kama ilivyo nature ya mwanamke, hatomwambia njoo tusex bali atamwambia wakutane coco beach.

Bi cheupe atampigia simu bwana X na kumwambia ana hamu ya mihogo au kuogelea lakini hana company ya kwenda nae, bwana X atamwambia " hiyo imeisha hiyo mi nipo".

Watakutana coco beach watakula misosi na/au pombe kama ni walevi kisha wata ingia baharini kuogelea, wakiingia baharini kuogelea jini muuaji wa majini atafanya kazi yake, atamzamisha bwana X kwenye maji na huo utakuwa ndio mwisho wa bwana X.

Hii ni tofauti na South Africa. South Africa huwa inafanyika kama ifuatavyo:

Itaendelea
 
SEHEMU YA TANO

South Africa na katika nchi zilizo endelea, kazi kubwa ya jini katika jambo hili ni ku process spiritual intelligence report kuhusu bwana X.

Report hiyo itakuwa na taarifa kama:

1. Nyota ya x ni ipi?

2. Siku gani nzuri kinyota ( katika kufanikisha azma ya kumuua bwana X)

3. Saa nzuri kinyota.

4. Silaha inayo takiwa kutumika( kinyota)

5. Sifa za kiroho za muuaji.

6. SEHEMU kwenye mwili wa bwana X ambazo ndio zinatakiwa kushambuliwa nakadhalika.

7. Majina ya miungu wanao takiwa kuombwa kabla ya tukio kufanyika ( kabla ya tukio bwana X atalaaniwa kwanza kilingeni )

Ili ilimtokea hata RAPPER 50 cents kwenye wimbo wake "Many Men" anasema baada ya tukio la yeye kupigwa Risasi tisa alikuwa akisumbuliwa na ndoto mbaya adui zake wakiendelea kumuwinda wammalize jambo lililo fanya aende kwa mganga kujua what is going on na mganga alimwambia " kuna mtu alimlaani/ Ali mcurse katika ulimwengu wa roho kabla ya shambulio...

Na kweli Kenneth " Supreme " McGriff ambae ndio alio order hit ya 50 is a practising voodoo.

Sasa basi kaka mkubwa wa huyu jirani yangu alijiunga kwenye makanisa ya wachungaji wa kichawi.

Itaendelea
 
SEHEMU YA MWISHO

Miezi minne baada ya kuingia S.A. jamaa maisha yalimnyookea, akaanza kuwa anatuma pesa kila wiki.

Fast forward:
1. Mwaka 2002 baba mzazi wa jamaa alikufa kwenye ajali ila report ya mwili wake ilionyesha alikuwa na majeraha ya Risasi kichwani.

2. Mwaka 2003 alimuita S.A. dada ake wa kwanza ambae alikuwa mpishi kitaaluma ili akafanye kazi ya upishi but mwezi mmoja baadae akauwawq kwa Risasi katika mazingira ya kutatanisha( ilisemwa ni a stray bullet from armed robbers)

3. Mwaka 2005 aliwaita S.A. dada zake wawili mapacha wakafanye kazi. Mama yao aligoma wasiende she was so much afraid with S.A. but jamaa aliwahakikishia kuwa they would be okay.

Kweli walienda trip ya kwanza wakarudi kusalimia baada ya miezi Sita wakiwa wamepiga hela ndefu tu,baada ya kama wiki 2 wakarejea tena S.A. wakakaa miezi Sita tena wakaja wakiwa vizuri zaidi na kununua viwanja. This time around wakarejea S.A. na mdogo wa kike anae wafuata ambae alikuwa anasita kwenda S.A.. anasema alikuwa anaota ndoto dada yao mkubwa anawaambia( hii safari nj yenu wote wote tutamfuata baba)

Safari hii hawakuweza kutoboa, wote waliuwawa kwa Risasi.

Miaka miwili baadae jamaa akarejea tena bongo na story za huyu rafiki yangu aende S.A. kupiga kazi plus mama mtu aende kuwaona wakwe zake ( jamaa kaoa mzulu)

Dogo aligoma kwenda na nyumbanj akahama.

Mama mtu akarejea kwao kijijini.

Walihofia kutolewa kafara.

Fast forward: nimekutana na rafiki yangu last week kanipa story yote anasema jamaa kafa toka mwaka 2019 wakati wa corona alipigwa mkwasa pia. Mke wa jamaa aliokoka baada ya hapo kwa sababu jamaa alikuwa anamtokea kwenye ndoto anamwambia nenda kamwambie mama angu ukweli wote na uniombee msamaha.

KUMBE HIYO MWAKA 97 MIUNGU ALIKUWA ANATAKA KUMTOA JAMAA KWENYE MAISHA YA FAMILIA YAO KWA SABABU ALIJUA JAMAA ATAKUJA KULETA MADHARA GANI KWENYE FAMILIA.

# KAZI YA MENGI HAINA MAKOSA.

# SIKU ZOTE OMBA MAPENZI YA MUNGU YATIMA NA SIO VINGINEVYO
 
SEHEMU YA TATU:

Kafara za S.A. ni tofauti na kafara za bongo. Mauaji ya kichawi S.A. ni tofauti na bongo.

Bongo ukitaka kuua mtu kichawi mganga anamkodi jini kisha anamtuma jini kuja kukuua but South Africa ukitaka kuua mtu kichawi jini anamuelekeza mtu kwenda kumuua victim.

Kwanini ipo hivyo? Majini wana toka katika madaraja, koo na mbari( races) mbalimbali.

Kila koo au mbari ya kijini ina taratibu zake na teknolojia yake.

Koo nyingi za majini wanaoishi katika ukanda huu wa Afrika Mashariki(na nchi nyingi za dunia ya tatu)ni majini ambao wakipewa kandarasi ya kufanya kazi ya wanadamu hupendelea kufanya kazi hiyo wao wenyewe.

Ilhali koo za majini wanaoishi katika nchi zilizo endelea kiuchumi na kiteknolojia ( Afrika kusini ikiwa moja wapo) wanapopewa kazi ya watu wao huwaelekeza watu namna ya kufanya ila kazi yote itakayo hitaji physical interaction kwenye ' mradi husika' itatakiwa kufanywa na binadamu..

Ni kama tu Mungu alivyomtoa kafara 'mtoto wake' Yesu, hakushusha upanga kutoka mbinguni bali aliwatumia wana wa Israel.

Mfano wake huwa hivi: ukienda kwa mganga lets say unataka kumuua " X" . Huyu mganga yeye ana majini wa uganga,majini wa uganga hawana uwezo wa kumuua X,atakacho kifanya atakwambia subiri niongee na " wazee" ( majini wake) Majini wa mganga huyu hawana maarifa ya kumuua X ila wanawajua majini wenzao ambao wanaweza kumuua X kwa hiyo watakacho kifanya watamwambia " kiti" wao watamuelekeza nini cha kufanya itakapo fika usiku kwa njia ya ndoto nyevu " lucid dreams"
Hao majini wataenda ujinini kwao kuwa consult majini wauaji wenye uwezo wa kumuua X. Majini wauaji baada ya kupokea" kazi" ya kumuua X watamwambia huyu jini wa uganga asubiri wapeleke faili la X kwa jini mtaalamu wa falakhi. Kumbuka hawa majini wana jua kuua tu lakini hawawezi kumuua mtu bila kumjua vizuri. Kujua nguvu yake na udhaifu wake ili wajue wanamshambulia kwa kutumia silaha ipi, shambulio lielekezwe kwenye sehemu ipi ya mwili wa mhusika, mara ngapi, siku gani na saa ngapi na mtu mwenye sifa zipi afanye shambulio.

So majini wa falakhi( majini wa utambuzi) wakishapokea faili la X watalifanyia intelligence analysis kubaini mambo yafuatayo:

1. Nyota ya x ni Gani?
2. Ina asili ipi? Majini,motoni, ardhini au angani?

3. Nyota yake binafsi ina nguvu au haina nguvu( ipo active au in active) na kama ina nguvu kitu gani kifanyike ili kuua nguvu ya nyota ya mhusika? ( majini hawawezi kumshambulia mtu bila kwanza kuharibu nyota yake katika muda ambao wanafanya shambulio. Na hii ni moja kati ya sababu muhimu kwanini hawa majini wauaji watahitaji kupata intelligence report kutoka kwa jini mtaalamu wa falakhi kabla ya " kupeleka majeshi Uganda ".

4. Je mtu huyo ana kinga? Ina nguvu?( kama ina nguvu inakuwa attacked kwanza kabla ya shambulio)

5. Ili shambulio liweze kuwa na matokeo chanya, je ni saa na siku gani nzuri ya ya kufanya shambulio.

6. Ni mtu mwenye sifa zipi ndo anatakiwa kufanya hilo shambulio ?

7. Shambulio lifanyikie nchi kavu, majini au angani ?

8. Silaha za kiroho na/au kimwili zinazo hitajika Nakadhalika..

Majini wauaji wakishapokea hiyo intelligence report kutoka kwa jini wa falakhi watampatia jini wa uganga. Pamoja na mambo mengine hiyo report itakuwa na mahitajj ya malipo ya kazi yao( majini wauaji + jini wa falakhi)

Malipo huwa ya aina mbili. Kwanza ni malipo kabla ya kazi na pili malipo baada ya kazi ( ndio maana kwenye Vilinge vya bongo kwenye " sherehe" ya kumtupia mtu jini wa kumuua, huwa kunakuwaga na mnyama hai kama zawadi ya jini, mnyama huyu huwekwa kilingeni. Jini akisha pewa vitu vyake vya awali ataenda ' kumkausha' mhusika na akifanikiwa basi atarudi atakausha damu ya huyo mnyama. Kilingeni wakiona mnyama wa kilingeni amekauka basi wanashangilia coz wana jua kazi tayari imekamilika. Kukauka kwa mnyama wa kilingeni ndio ishara kwamba mhusika amekwenda na maji.

jini wa uganga akishapewa intelligence report kutoka kwa majini wauaji atampa report hiyo kiti wake usiku kwa njia ya ndoto nyevu. Mganga ( kwa Tanzania) hupewa report ya majina ya vifaa vya kazi na siku ya kazi na kwa South Afrika ( hupewa report yote ikiwemo na silaha itakayo tumika , sifa za mmuaji n.k)

Mganga akisha pokea taarifa atatoa maelekezo kwa mteja ( Ndo hiyo unaambiwa leta kondoa mwekundu etc)

JINSI INAVYO KUWA:

( KWA TANZANIA NA NCHI AMBAZO HAZIJAENDELEA KITEKNOLOJIA)

Intelligence report kwa mfano itasema huyu jamaa kwa sababu za kinyota basi anatakiwa kuuwawa akiwa kwenye maji mfano baharini,ziwani, mtoni n.k ( Hapa maana yake ni kwamba huyu jamaa hawezi kuuwawa kijini sehemu yoyote ile isipokuwa majini)

Majini wauaji waliopewa kazi na jini wa uganga kama wao sio majini wenye asili ya majini basi wata ingia mkataba na majini wanaoishi majini wafanye kazi kwa niaba yao.

Majini wa majini watapokea hiyo kazi lakini kumbuka hawa majini wa majini wana weza tu kuua mtu akiwa ndani ya maji lakini hawana uwezo wa kumfanya mhusika aingie ndani ya maji eidha kwa kumlazimisha au kumu attract.

Watakacho kifanya watazungumza na majini wa nchi kavu ambao wana uwezo wa kumpeleka X mpaka majini.

Ili kufanikisha jambo hilo, majini wa majini watafanya jambo lifuatalo.. ni jambo gani hilo? Itaendelea
Duh
 
SEHEMU YA MWISHO

Miezi minne baada ya kuingia S.A. jamaa maisha yalimnyookea, akaanza kuwa anatuma pesa kila wiki.

Fast forward:
1. Mwaka 2002 baba mzazi wa jamaa alikufa kwenye ajali ila report ya mwili wake ilionyesha alikuwa na majeraha ya Risasi kichwani.

2. Mwaka 2003 alimuita S.A. dada ake wa kwanza ambae alikuwa mpishi kitaaluma ili akafanye kazi ya upishi but mwezi mmoja baadae akauwawq kwa Risasi katika mazingira ya kutatanisha( ilisemwa ni a stray bullet from armed robbers)

3. Mwaka 2005 aliwaita S.A. dada zake wawili mapacha wakafanye kazi. Mama yao aligoma wasiende she was so much afraid with S.A. but jamaa aliwahakikishia kuwa they would be okay.

Kweli walienda trip ya kwanza wakarudi kusalimia baada ya miezi Sita wakiwa wamepiga hela ndefu tu,baada ya kama wiki 2 wakarejea tena S.A. wakakaa miezi Sita tena wakaja wakiwa vizuri zaidi na kununua viwanja. This time around wakarejea S.A. na mdogo wa kike anae wafuata ambae alikuwa anasita kwenda S.A.. anasema alikuwa anaota ndoto dada yao mkubwa anawaambia( hii safari nj yenu wote wote tutamfuata baba)

Safari hii hawakuweza kutoboa, wote waliuwawa kwa Risasi.

Miaka miwili baadae jamaa akarejea tena bongo na story za huyu rafiki yangu aende S.A. kupiga kazi plus mama mtu aende kuwaona wakwe zake ( jamaa kaoa mzulu)

Dogo aligoma kwenda na nyumbanj akahama.

Mama mtu akarejea kwao kijijini.

Walihofia kutolewa kafara.

Fast forward: nimekutana na rafiki yangu last week kanipa story yote anasema jamaa kafa toka mwaka 2019 wakati wa corona alipigwa mkwasa pia. Mke wa jamaa aliokoka baada ya hapo kwa sababu jamaa alikuwa anamtokea kwenye ndoto anamwambia nenda kamwambie mama angu ukweli wote na uniombee msamaha.

KUMBE HIYO MWAKA 97 MIUNGU ALIKUWA ANATAKA KUMTOA JAMAA KWENYE MAISHA YA FAMILIA YAO KWA SABABU ALIJUA JAMAA ATAKUJA KULETA MADHARA GANI KWENYE FAMILIA.

# KAZI YA MENGI HAINA MAKOSA.

# SIKU ZOTE OMBA MAPENZI YA MUNGU YATIMA NA SIO VINGINEVYO
Aisee kuna ukweli hapa
 
Back
Top Bottom