Ukweli mchungu: Simba mwendo ameumaliza Kwa wydadi

Ukweli mchungu: Simba mwendo ameumaliza Kwa wydadi

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Kama ulifuatilia mechi ya Jana Kwa macho ya kiuchambuzi basi utakuwa umeelewa approach waliokuja nayo wydadi Casablanca.......waliokuja na approach ya kuisoma gemu ya wapinzani na sio kushambulia sana that's y hawakutaka kufa goal nyingi

Mistakes za kina Chama mtazijutia

Walishajua kuwa wydadi Casablanca wapo vipi na ni gemu ya nyumbani so ilitakiwa kuhakikisha wanashinda at least goal 3.....na sio kushinda ball possession. MAKOLO mmeumaliza mwendo

𝗠𝗢𝗥𝗢𝗖𝗖𝗢 [emoji1173]

Makolo Wameshinda lakini wenye furaha hapa uwanjani ni mashabiki wa Waydad Casablanca [emoji23].Hapa Nawakumbusha tu hakuna points 3...

NB:Unacheza na mwarabu halafu unashinda bao 1 [emoji16]na Fitina umefanya..[emoji119]karibuni Casablanca
JamiiForums-814945485_720x569.jpg
 
Mashabiki maandazi huwa wanajiandikia tu bila kufuatilia. Msimu ule Kaizer Chief alivyotoka kumtoa mnyama akaja kujipigia kamoja hao Wydad hapo hapo kwao na kule south ikawa 0-0 na Kaizer kutinga final.
Achana na historia mkuu
 
Mkuu Sasa unataka tuwe tunasifia kwenye udhaifu
Simba haitongia makundi
Simba haitongia robo fainali
Simba atapigwa na raja nje ndani[emoji3581]
Simba atapigwa na Wydad nje ndani
Simba haitongia nusu finali ......loading......

Ikitokea Simba SC ameingia nusu finali, sijui mtajificha wapi.

20230416_214946.jpg
 
Back
Top Bottom