Ukweli mchungu: Simba mwendo ameumaliza Kwa wydadi

Uchawi hautaisha Afrika. Kwa sababu roho mbaya ni kozi yake mwisho.
 
Mashabiki maandazi huwa wanajiandikia tu bila kufuatilia. Msimu ule Kaizer Chief alivyotoka kumtoa mnyama akaja kujipigia kamoja hao Wydad hapo hapo kwao na kule south ikawa 0-0 na Kaizer kutinga final.
Kaizer ile unajua vizuri ilivyokuwa yamoto?
 
Kaizer ile unajua vizuri ilivyokuwa yamoto?
Una uhakika ilikuwa ya Moto? Kwenye ligi Yao ilimaliza ya 8. Ni Kaizer ambayo ilimtoa Simba Kwa agg ya 4-3.Kwenye final walipigwa kirahisi sana na Al ahly 3-0. Huo Moto wao unaosema uliuona wapi?
 
Nawewe usituchoshe na roho mbaya yako! Hata sisi tunaelewa tumeshatolewa, sasa unataka nini?
Ndio tumetolewa furahi sasa.
Jibu zuri kabisa.Tumetoka ndiyo,ila at least tumeonesha ka upinzani kidogo kwa timu kubwa.

Lakini wakae wakijua kuwa simba hatakuwa amesimama kule Morocco ohooooo
 
Haiwezekan mkuu
 
Tunaojua mpira tumekuelewa.
 
wenzako waliomba ban jf kisa ubishan huu huu wa simba so sishangai kwa maandishi yako.
umekaa kishabiki zaid kuliko kiuhalisia na hilo ndilo tatzo lako.
See you nextweek
 
Sifa inakua kumfunga wydad
 
MAPUNGUFU ALIONAYO CHAMA YTAIGHARIMU SIMBA. HAWEZI KUJUA WAPI NITOE PASS KWA HARAKA TIMING MBOVU SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…