Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaizer ile unajua vizuri ilivyokuwa yamoto?Mashabiki maandazi huwa wanajiandikia tu bila kufuatilia. Msimu ule Kaizer Chief alivyotoka kumtoa mnyama akaja kujipigia kamoja hao Wydad hapo hapo kwao na kule south ikawa 0-0 na Kaizer kutinga final.
Una uhakika ilikuwa ya Moto? Kwenye ligi Yao ilimaliza ya 8. Ni Kaizer ambayo ilimtoa Simba Kwa agg ya 4-3.Kwenye final walipigwa kirahisi sana na Al ahly 3-0. Huo Moto wao unaosema uliuona wapi?Kaizer ile unajua vizuri ilivyokuwa yamoto?
Jibu zuri kabisa.Tumetoka ndiyo,ila at least tumeonesha ka upinzani kidogo kwa timu kubwa.Nawewe usituchoshe na roho mbaya yako! Hata sisi tunaelewa tumeshatolewa, sasa unataka nini?
Ndio tumetolewa furahi sasa.
Kabisa kabisa mkuuSimba Ni Simba
Amelinda Heshma Home Ila Itafanya Inachoweza
Haiwezekan mkuuSimba haitongia makundi
Simba haitongia robo fainali
Simba atapigwa na raja nje ndani[emoji3581]
Simba atapigwa na Wydad nje ndani
Simba haitongia nusu finali ......loading......
Ikitokea Simba SC ameingia nusu finali, sijui mtajificha wapi.
View attachment 2597003
Tunaojua mpira tumekuelewa.Kama ulifuatilia mechi ya Jana Kwa macho ya kiuchambuzi basi utakuwa umeelewa approach waliokuja nayo wydadi Casablanca.......waliokuja na approach ya kuisoma gemu ya wapinzani na sio kushambulia sana that's y hawakutaka kufa goal nyingi
Mistakes za kina Chama mtazijutia
Walishajua kuwa wydadi Casablanca wapo vipi na ni gemu ya nyumbani so ilitakiwa kuhakikisha wanashinda at least goal 3.....na sio kushinda ball possession. MAKOLO mmeumaliza mwendo
𝗠𝗢𝗥𝗢𝗖𝗖𝗢 [emoji1173]
Makolo Wameshinda lakini wenye furaha hapa uwanjani ni mashabiki wa Waydad Casablanca [emoji23].Hapa Nawakumbusha tu hakuna points 3...
NB:Unacheza na mwarabu halafu unashinda bao 1 [emoji16]na Fitina umefanya..[emoji119]karibuni Casablanca
View attachment 2596899
Simba Haina Hayo Mambo Ila Inajimudu Sana Eneo La KandandaKwa figisu mlizowafanyia .....mmekwishaaa
Sawa.Haiwezekan mkuu
Sifa inakua kumfunga wydadKama ulifuatilia mechi ya Jana Kwa macho ya kiuchambuzi basi utakuwa umeelewa approach waliokuja nayo wydadi Casablanca.......waliokuja na approach ya kuisoma gemu ya wapinzani na sio kushambulia sana that's y hawakutaka kufa goal nyingi
Mistakes za kina Chama mtazijutia
Walishajua kuwa wydadi Casablanca wapo vipi na ni gemu ya nyumbani so ilitakiwa kuhakikisha wanashinda at least goal 3.....na sio kushinda ball possession. MAKOLO mmeumaliza mwendo
𝗠𝗢𝗥𝗢𝗖𝗖𝗢 [emoji1173]
Makolo Wameshinda lakini wenye furaha hapa uwanjani ni mashabiki wa Waydad Casablanca [emoji23].Hapa Nawakumbusha tu hakuna points 3...
NB:Unacheza na mwarabu halafu unashinda bao 1 [emoji16]na Fitina umefanya..[emoji119]karibuni Casablanca
View attachment 2596899
MAPUNGUFU ALIONAYO CHAMA YTAIGHARIMU SIMBA. HAWEZI KUJUA WAPI NITOE PASS KWA HARAKA TIMING MBOVU SANAKama ulifuatilia mechi ya Jana Kwa macho ya kiuchambuzi basi utakuwa umeelewa approach waliokuja nayo wydadi Casablanca.......waliokuja na approach ya kuisoma gemu ya wapinzani na sio kushambulia sana that's y hawakutaka kufa goal nyingi