Uchira 1 JF-Expert Member Joined Oct 9, 2017 Posts 5,994 Reaction score 8,696 Apr 23, 2023 #61 Labani og said: Nakubaliana mkuu.....ila inabidi shughuli nzito ifanyike Click to expand... Nakwambia mkuu mpira unadundaa. Watu wa kamari huwa wanajua zaid nikisema hiviii. Unaona yanga alichokifanyaaa? Unaona masandawana walochokifanyaaa. KItaalamu huwa mech ngumu hatumaliz maneno maama maneno huwa yanabak na huwa yanatuhukumu Chochote kinaweza tokea. Pyramid alikuwa kapigwa kwake na kaja chomoa dakika ya 90 tena kwa penati na pyramid walikuwa wamepewa nafasi kubwa ya usindi
Labani og said: Nakubaliana mkuu.....ila inabidi shughuli nzito ifanyike Click to expand... Nakwambia mkuu mpira unadundaa. Watu wa kamari huwa wanajua zaid nikisema hiviii. Unaona yanga alichokifanyaaa? Unaona masandawana walochokifanyaaa. KItaalamu huwa mech ngumu hatumaliz maneno maama maneno huwa yanabak na huwa yanatuhukumu Chochote kinaweza tokea. Pyramid alikuwa kapigwa kwake na kaja chomoa dakika ya 90 tena kwa penati na pyramid walikuwa wamepewa nafasi kubwa ya usindi
Waterbender JF-Expert Member Joined Oct 2, 2018 Posts 7,573 Reaction score 10,063 Apr 23, 2023 #62 Labani og said: Kabisa mkuu ... that y alifeli Morocco....Kwa kuwa na mpira wa slow Click to expand... anazingua sana
Labani og said: Kabisa mkuu ... that y alifeli Morocco....Kwa kuwa na mpira wa slow Click to expand... anazingua sana
A Alexbayingana Member Joined Jan 31, 2023 Posts 9 Reaction score 4 Apr 23, 2023 #63 Mimi nahs tuskatishane tamaa tuwape moyo na hili tufanye kwa timu zote zinapochexa nje kwani mpira una matokeo 3 kumbuka Hilo kushinda sare na kufungwa, kwahiyo yote yanawexekana tusubiri dakika 90 ndo tuongee,yangu ni hayo
Mimi nahs tuskatishane tamaa tuwape moyo na hili tufanye kwa timu zote zinapochexa nje kwani mpira una matokeo 3 kumbuka Hilo kushinda sare na kufungwa, kwahiyo yote yanawexekana tusubiri dakika 90 ndo tuongee,yangu ni hayo
Smart AJ JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 5,564 Reaction score 5,884 Apr 23, 2023 #64 Labani og said: Nadhani umeona kandanda la wananchi Click to expand... Mpo kombe gani?