Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 5,994
- 8,696
Nakwambia mkuu mpira unadundaa. Watu wa kamari huwa wanajua zaid nikisema hiviii. Unaona yanga alichokifanyaaa?Nakubaliana mkuu.....ila inabidi shughuli nzito ifanyike
Unaona masandawana walochokifanyaaa.
KItaalamu huwa mech ngumu hatumaliz maneno maama maneno huwa yanabak na huwa yanatuhukumu
Chochote kinaweza tokea.
Pyramid alikuwa kapigwa kwake na kaja chomoa dakika ya 90 tena kwa penati na pyramid walikuwa wamepewa nafasi kubwa ya usindi