Ukweli Mchungu: Simba na Yanga havitakaa vimiliki viwanja vyao vya kuchezea mechi zao za ligi

Ukweli Mchungu: Simba na Yanga havitakaa vimiliki viwanja vyao vya kuchezea mechi zao za ligi

Azam walipitisha nyasi bei sawa na bure, Mo aliulizwa hizi nyasi za nn? Nakumbuka alijiitetea sana hadi mawakili wake walihusika. Cha ajabu serikali ikamstafisha na kulazimisha azinunue tena. Hv unafikiri alikuwa gajui gharama za bandarrini hadi akaagiza? Ubishi wake wa kununua zile nyasi ziikampelekea atekwe. Akaambiwa utalalia hizi nyasi hadi ziishe. Serikali umeiongezea kazi. Mo anawashukuru sana wana Simba kwa kipiga kelele japo nyasi aliziniunua na saizi zipo(MAEG) Mo Arena exercise ground
Hii hadithi ipo na episodes ngapi!?
 
Ndio hivyo! Mechi za Simba na Yanga wakicheza na vilabu vingine ni wao wenyewe wanapanga viingilio..
Lakini ikifika Derby ni TFF ndio wanapanga viingilio,

Angalia mapato ambayo Simba na Yanga wanaingiza kupitia Mkapa Stadium!

Leo hii uwaruhusu Yanga na Simba wamiliki viwanja vyao halafu???

Ule uwanja uwe wa fiesta au?

Ndio maana utaona Wataruhusiwa kuwa na viwanja vya mazoezi tu!!

Lakini kwa mechi mtasahau!
Mzee unadhani kujenga kiwanja cha mpira ni kama kununua pipi ya kijiti dukani. Waulize Arsenal iliwachukua miaka mingapi mpaka kuwa na kiwanja chao.

Fanya research kwanza wewe mbumbumbu kisha ulete UTOPOLO wako humu.

MO and GSM ni wafanyabiashara
They do investments huku wakiangalia profitability.
 
Wao kila siku wanapata hasara kwa kauli zao.
 
Back
Top Bottom