Ukweli Mchungu: Sisi wa kuanzia 40, madogo wametukata sana kipato

Kumbuka kwa kila kijana mmoja wa huo umri unamuona ana enjoy maisha kuna wengine 100 wa umri huo huo wanaotaabika.

Swala la mafanikio ni swala mtambuka, halina formula maalum. Kuna watu wanasulubika ujanani yote na anakuja kutusua maisha uzeeni.

Kuwa kipimo cha mafanikio yako wewe mwenyewe. Jilinganishe ulipokuwa jana na ulipo leo. Ukisema kipimo cha maendeleo yako kiwe mafanikio ya wengine unaweza jinyonga maana kuna watu wanajua hasa kuonyesha jeuri ya pesa.

Mwisho na la muhimu zaidi, usithaminishe maisha ya mtu kwa kile anachokionyesha mitandaoni ama kwenye sehemu za starehe. Huko kuna maigizo tu.
 
Achane uchawi mkiwa kazin roho mbaya kujifanya ndo nyinyi ukudaaa kwa new employee yaani mnazingua kwanza gar yangu hua sitoi lift ukiwa40+ labda uwe dem.......
Kumbe mnatumind eeh! Tunawakazia ndio we kazi uanze juzi tu then crown hii hapa..mara kiwanja mbweni...mara unavaa ok aisee kazi nikufundishe mwenyewe ...haladu hilo bata unafkiri hatulitaki? Ukute hapo mke ananichanganya kichwa kwa makelele wakati nyie kuoa hamtaki

Aisee Hasira zote nakuachia huko kazini....

Inakuaje we mdogo..una crown mm nina 43 nakuomba lift?
 
Bro mlikua kipindi ambacho competition ilikuwa ni ndogo hivyo ajira zilikuwa nyepesi kiasi na hivyo msingeweza kuwaza nje ya box wakati njia ya mafanikio ilikuwa guaranteed.

Kwa sasa mambo si rahisi kabsaaaa ndio maana wengi wanakuwa na plan B ili hata akikosa ajira ataweza survive. Kingine tupo kwenye digital age hivyo, opportunities zimeongezeka ila haimaanishi kila kitu ni sukari kama unavyosema maana hakuna kizazi depressed kama hiki
 
Kumbuka kwa kila kijana mmoja wa huo umri unamuona ana enjoy maisha kuna wengine 100 wa umri huo huo wanaotaabika.

Swala la mafanikio ni swala mtambuka, halina formula maalum. Kuna watu wanasulubika ujanani yote na anakuja kutusua maisha uzeeni.

Kuwa kipimo cha mafanikio yako wewe mwenyewe. Jilinganishe ulipokuwa jana na ulipo leo. Ukisema kipimo cha maendeleo yako kiwe mafanikio ya wengine unaweza jinyonga maana kuna watu wanajua hasa kuonyesha jeuri ya pesa.

Mwisho na la muhimu zaidi, usithaminishe maisha ya mtu kwa kile anachokionyesha mitandaoni ama kwenye sehemu za starehe. Huko kuna maigizo tu.
Kama ulisoma vizuri madogo pia majukumu wanayakwepa kistyle..hawoi na hawajengi..wao raba kali pisi kali crown nzuri na geto saafi room na sebule choo na jiko bhaas sasa we broo sasa majukumu yako hesabu...!
 
Atakuwa kamuona diamond anavyokula maisha, anajua madogo wote wako hivyo, maisha ya sasa ivi ni nagumu kupita ya zamani, madogo wana madegree kichwani wanaishia kwenye kubeti na boda boda, asilimia kubwa ndio kazi zao hizo
 
Bro mlikua kipindi ambacho competition ilikuwa ni ndogo hivyo ajira zilikuwa nyepesi kiasi na hivyo msingeweza kuwaza nje ya box wakati njia ya mafanikio ilikuwa guaranteed.

Kwa sasa mambo si rahisi kabsaaaa ndio maana wengi wanakuwa na plan B ili hata akikosa ajira ataweza survive. Kingine tupo kwenye digital age hivyo, opportunities zimeongezeka ila haimaanishi kila kitu ni sukari kama unavyosema maana hakuna kizazi depressed kama hiki
Hiyo ninpoint muhimu sana mkuu sasa hv sisi tumecrame ubunifu ni zero mkuu...sema sasa sisi ma bro ndio hatukubali kabisa ukimkuta wa 50 ndio hoi kabisa
 
Kama ulisoma vizuri madogo pia majukumu wanayakwepa kistyle..hawoi na hawajengi..wao raba kali pisi kali crown nzuri na geto saafi room na sebule choo na jiko bhaas sasa we broo sasa majukumu yako hesabu...!
Wingi wa majukumu ni kipimo cha maendeleo pia.

Nini maana ya kuwa na pesa ikiwa huna cha maana unachofanyia zaidi ya starehe?

Kumiliki raba kali na gari ya maana imekuwa sehemu ya maigizo ya maisha ya vijana wa sasa. Kiuhalisia vijana wa siku hizi wapo radhi waweke rehani utu/maisha yao ili tu waishi maisha wanayoyaigiza.

Maendeleo ya kweli hayahitaji maonyesho, hujionyesha wenyewe. Ukiona mtu kila hatua ya maisha yake anaifanyia matangazo huyo anaigiza maendeleo, hana maendeleo.

By the way, hakuna generation yenye bahati kama generation yetu ya 80's. Sisi tumeishi pande zote mbili za maisha. Tumeishi maisha ya analog na sasa tunaishi maisha ya kidigitali. Kila jipya linalokuja leo sio geni kwetu maana tume transition na hayo maendeleo.

Kuna uwezekano baba yako kama yupo hai akashindwa kutumia smartphone lakini wewe hukuhitaji kufundishwa kutumia smartphone japo kuwa ulizaliwa kipindi cha simu za mkonga.

If anything, we are the best of all generations.
 
Uongo mtupu, hakuna kitu kigumu kama kutengeneza pesa online, fursa zilizopo bongo ni zile zile tu za kawaida, biashara, kilimo, na uvuvi, fursa pekee yenye madogo wengi ni boda boda
Una umri gani mkuu..napenda kwanza kujua hilo ila sijasema hilo..nimesema mishe nyingi sana ambazo sissi ma bro ni ngumu kufanya..wao wana side hustle kibao sisi side hustle ni za long range kufuga kuku..kigrocery mtaani kasaloon uchwara wao huo ujinga hawafanyi
 
Wingi wa majukumu ni kipimo cha maendeleo pia.

Nini maana ya kuwa na pesa ikiwa huna cha maana unachofanyia zaidi ya starehe?

Kumiliki raba kali na gari ya maana imekuwa sehemu ya maigizo ya maisha ya vijana wa sasa. Kiuhalisia vijana wa siku hizi wapo radhi waweke rehani maisha yao ili tu waishi maisha wanayoyaigiza.

Maendeleo ya kweli hayahitaji maonyesho, hujionyesha wenyewe. Ukiona mtu kila hatua ya maisha yake anaifanyia matangazo huyo anaigiza maendeleo, hana maendeleo.
Wanasema Gen Z...hawataki kazi ngumu wanataka kazi fupi fupi zenye faida kubwa sana..sasa hapo ndio wanapoweka utu wao rehani...!
 
Una umri gani mkuu..napenda kwanza kujua hilo ila sijasema hilo..nimesema mishe nyingi sana ambazo sissi ma bro ni ngumu kufanya..wao wana side hustle kibao sisi side hustle ni za long range kufuga kuku..kigrocery mtaani kasaloon uchwara wao huo ujinga hawafanyi
taja hizo mishe ambazo huwezi kufanya, ...kuuza unga,? kutapeli? kukaa uchi mitandaoni? nini? bro, asikudanganye mtu, biashara za kutoka ni zile zile za siku zote, uza nguo, viatu, chakula, fanya kazi za nguvu ujenzi, uvuvi n.k
 
Vijana wapo broke Kuna vijana wachache Sana hapa bongo wenye hela hata hao mabro most of them wapo broke kiufupi bongo Tz watu wanapapatia Anasa tu ila viwanja Kama five star huwezi kuwakuta vijana hata mabro wanahesabika Sana.
So umesema sisi Ma bro Tuko Broke! Sasa hizi pisi nani anazibeba na nyie madogo mko broke too..!
 
Hiyo ninpoint muhimu sana mkuu sasa hv sisi tumecrame ubunifu ni zero mkuu...sema sasa sisi ma bro ndio hatukubali kabisa ukimkuta wa 50 ndio hoi kabisa
Hiyo creativity sio option mkuu ila ni matokeo ya vitu viwili

1. Umuhimu wa shule kama njia ya mafanikio umeanza kupungua hivyo, watu wanaanza kuthamini zaidi uwezo wao binafsi, vipaji au skills zinazoweza waingizia pesa. Nyie ilikuwa sio lazma maana mlikua kwenye taifa la wakulima na wafanyakazi na sio wafanyabiasara "ujamaa"

2. Kizazi cha sasa kimeanza kuwa free minded na wazazi wanaanza kuruhusu watoto kujaribu zile passion zao na kuanzisha biashara zao binafsi tofauti na zamani ambapo watu waliokuwa nje ya utumishi wa umma walionekana kama failures..

Kizazi cha sasa kinaanza kuwa entrepreneurial kwa sababu hakina option nyingine. Kwa hiyo mkuu pambana kwa ulichobakiza ili watoto wasije kuaibika, life ni gumu huku nje
 
So umesema sisi Ma bro Tuko Broke! Sasa hizi pisi nani anazibeba na nyie madogo mko broke too..!

Unajua ukilitawa game inabidi kuwa mfulilizo sio leo broke leo Safi Kesho broke kesho safi

Kukaa kileleni Kama diamond hiyo vijana hawawezi kutesa siku mbili hiyo kawaida na hizo sio Bata wanakula ila zinaitwa Anasa
 
Back
Top Bottom