maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,408
- 6,094
- Thread starter
-
- #21
Maana yake majukumu rasmi ndio yanaanza...na deal zinayeyuka..ndio maana tunaanzisha thread kama hiziLife begins at 40
Kumbe mnatumind eeh! Tunawakazia ndio we kazi uanze juzi tu then crown hii hapa..mara kiwanja mbweni...mara unavaa ok aisee kazi nikufundishe mwenyewe ...haladu hilo bata unafkiri hatulitaki? Ukute hapo mke ananichanganya kichwa kwa makelele wakati nyie kuoa hamtakiAchane uchawi mkiwa kazin roho mbaya kujifanya ndo nyinyi ukudaaa kwa new employee yaani mnazingua kwanza gar yangu hua sitoi lift ukiwa40+ labda uwe dem.......
Kama ulisoma vizuri madogo pia majukumu wanayakwepa kistyle..hawoi na hawajengi..wao raba kali pisi kali crown nzuri na geto saafi room na sebule choo na jiko bhaas sasa we broo sasa majukumu yako hesabu...!Kumbuka kwa kila kijana mmoja wa huo umri unamuona ana enjoy maisha kuna wengine 100 wa umri huo huo wanaotaabika.
Swala la mafanikio ni swala mtambuka, halina formula maalum. Kuna watu wanasulubika ujanani yote na anakuja kutusua maisha uzeeni.
Kuwa kipimo cha mafanikio yako wewe mwenyewe. Jilinganishe ulipokuwa jana na ulipo leo. Ukisema kipimo cha maendeleo yako kiwe mafanikio ya wengine unaweza jinyonga maana kuna watu wanajua hasa kuonyesha jeuri ya pesa.
Mwisho na la muhimu zaidi, usithaminishe maisha ya mtu kwa kile anachokionyesha mitandaoni ama kwenye sehemu za starehe. Huko kuna maigizo tu.
Atakuwa kamuona diamond anavyokula maisha, anajua madogo wote wako hivyo, maisha ya sasa ivi ni nagumu kupita ya zamani, madogo wana madegree kichwani wanaishia kwenye kubeti na boda boda, asilimia kubwa ndio kazi zao hizoKumbuka kwa kila kijana mmoja wa huo umri unamuona ana enjoy maisha kuna wengine 100 wa umri huo huo wanaotaabika.
Swala la mafanikio ni swala mtambuka, halina formula maalum. Kuna watu wanasulubika ujanani yote na anakuja kutusua maisha uzeeni.
Kuwa kipimo cha mafanikio yako wewe mwenyewe. Jilinganishe ulipokuwa jana na ulipo leo. Ukisema kipimo cha maendeleo yako kiwe mafanikio ya wengine unaweza jinyonga maana kuna watu wanajua hasa kuonyesha jeuri ya pesa.
Mwisho na la muhimu zaidi, usithaminishe maisha ya mtu kwa kile anachokionyesha mitandaoni ama kwenye sehemu za starehe. Huko kuna maigizo tu.
Hiyo ninpoint muhimu sana mkuu sasa hv sisi tumecrame ubunifu ni zero mkuu...sema sasa sisi ma bro ndio hatukubali kabisa ukimkuta wa 50 ndio hoi kabisaBro mlikua kipindi ambacho competition ilikuwa ni ndogo hivyo ajira zilikuwa nyepesi kiasi na hivyo msingeweza kuwaza nje ya box wakati njia ya mafanikio ilikuwa guaranteed.
Kwa sasa mambo si rahisi kabsaaaa ndio maana wengi wanakuwa na plan B ili hata akikosa ajira ataweza survive. Kingine tupo kwenye digital age hivyo, opportunities zimeongezeka ila haimaanishi kila kitu ni sukari kama unavyosema maana hakuna kizazi depressed kama hiki
Wingi wa majukumu ni kipimo cha maendeleo pia.Kama ulisoma vizuri madogo pia majukumu wanayakwepa kistyle..hawoi na hawajengi..wao raba kali pisi kali crown nzuri na geto saafi room na sebule choo na jiko bhaas sasa we broo sasa majukumu yako hesabu...!
Una umri gani mkuu..napenda kwanza kujua hilo ila sijasema hilo..nimesema mishe nyingi sana ambazo sissi ma bro ni ngumu kufanya..wao wana side hustle kibao sisi side hustle ni za long range kufuga kuku..kigrocery mtaani kasaloon uchwara wao huo ujinga hawafanyiUongo mtupu, hakuna kitu kigumu kama kutengeneza pesa online, fursa zilizopo bongo ni zile zile tu za kawaida, biashara, kilimo, na uvuvi, fursa pekee yenye madogo wengi ni boda boda
Ingia Kkoo, makumbusho, mwenge hata mlimani city majank wa U40 wamejaaUongo mtupu, hakuna kitu kigumu kama kutengeneza pesa online, fursa zilizopo bongo ni zile zile tu za kawaida, biashara, kilimo, na uvuvi, fursa pekee yenye madogo wengi ni boda boda
Wanasema Gen Z...hawataki kazi ngumu wanataka kazi fupi fupi zenye faida kubwa sana..sasa hapo ndio wanapoweka utu wao rehani...!Wingi wa majukumu ni kipimo cha maendeleo pia.
Nini maana ya kuwa na pesa ikiwa huna cha maana unachofanyia zaidi ya starehe?
Kumiliki raba kali na gari ya maana imekuwa sehemu ya maigizo ya maisha ya vijana wa sasa. Kiuhalisia vijana wa siku hizi wapo radhi waweke rehani maisha yao ili tu waishi maisha wanayoyaigiza.
Maendeleo ya kweli hayahitaji maonyesho, hujionyesha wenyewe. Ukiona mtu kila hatua ya maisha yake anaifanyia matangazo huyo anaigiza maendeleo, hana maendeleo.
Najichanganya sehemu nyingi sana mkuu...!Usifananishe maisha yako na ya wengine kamwe.
Halafu huo utafiti umefanya wapi?
taja hizo mishe ambazo huwezi kufanya, ...kuuza unga,? kutapeli? kukaa uchi mitandaoni? nini? bro, asikudanganye mtu, biashara za kutoka ni zile zile za siku zote, uza nguo, viatu, chakula, fanya kazi za nguvu ujenzi, uvuvi n.kUna umri gani mkuu..napenda kwanza kujua hilo ila sijasema hilo..nimesema mishe nyingi sana ambazo sissi ma bro ni ngumu kufanya..wao wana side hustle kibao sisi side hustle ni za long range kufuga kuku..kigrocery mtaani kasaloon uchwara wao huo ujinga hawafanyi
So umesema sisi Ma bro Tuko Broke! Sasa hizi pisi nani anazibeba na nyie madogo mko broke too..!Vijana wapo broke Kuna vijana wachache Sana hapa bongo wenye hela hata hao mabro most of them wapo broke kiufupi bongo Tz watu wanapapatia Anasa tu ila viwanja Kama five star huwezi kuwakuta vijana hata mabro wanahesabika Sana.
Hiyo creativity sio option mkuu ila ni matokeo ya vitu viwiliHiyo ninpoint muhimu sana mkuu sasa hv sisi tumecrame ubunifu ni zero mkuu...sema sasa sisi ma bro ndio hatukubali kabisa ukimkuta wa 50 ndio hoi kabisa
Hapa sasa ndio umegusa mfupa kule kwingine ulikuwa unazungukaKama ulisoma vizuri madogo pia majukumu wanayakwepa kistyle..hawoi na hawajengi..wao raba kali pisi kali crown nzuri na geto saafi room na sebule choo na jiko bhaas sasa we broo sasa majukumu yako hesabu...!
So umesema sisi Ma bro Tuko Broke! Sasa hizi pisi nani anazibeba na nyie madogo mko broke too..!