Ukweli Mchungu: Sisi wa kuanzia 40, madogo wametukata sana kipato

👏🏾👏🏾👏🏾
Mkuu umeongea. Vijana hustling sio mchezo ndio maana vijana wanajiua sana siku hizi na wengine wanaingia kwenye mambo ya ajabu ili Tu waishi good life

Na ubaya hao wanaowapa ushauri sijui kwa nini msilime, mfuge, mfanye biashara etc, wao wana mitaji ila hata uthubutu wa kuanzisha kibanda cha M pesa hawana. Wanasubiria kuiba ili wajenge nyumba za kupangisha ambazo ni safe businesses
 
Vijana wapo broke Kuna vijana wachache Sana hapa bongo wenye hela hata hao mabro most of them wapo broke kiufupi bongo Tz watu wanapapatia Anasa tu ila viwanja Kama five star huwezi kuwakuta vijana hata mabro wanahesabika Sana.
Mkuu angalia tu matajiri wakubwa nchi hii ni race zingine. Kiuhalisia watu weusi wa nchi hii tuna malengo ya kuishi standard life isiyokuwa na hekaheka za umaskini BHASI.

Ila hizo levels za kuishi ile high life ni wachache wanazo kama wachagga
 
Bro.. kitu ambacho hujakigundua ni kwamba VIJANA wengi wanafake Maisha..

Hizo Hennessey sijui JD etc unazoziona huko ktk sehemu za starehe wengi ni wanafake maisha.. kesho yake anaamka hana hata nauli.

Nimeona baadhi ya rafiki zangu wanaofake maisha.. swala la gari pia wanaazima. Inafikia kipindi wanaazima mpk geto akagonge dem.

Ingawa hela zinatafutwa na makundi yote kipimo cha utajiri au kujipata kwa mtu mie naweka ktk matabaka matatu

Financially (Assets) , Educational wise (Rare skills, creativity) and socially (Family).
 
Mkuu angalia tu matajiri wakubwa nchi hii ni race zingine. Kiuhalisia watu weusi wa nchi hii tuna malengo ya kuishi standard life isiyokuwa na hekaheka za umaskini BHASI.

Ila hizo levels za kuishi ile high life ni wachache wanazo kama wachagga
kweli, mwafrika akishanunua kagari na kujenga nyumba kamaliza, anashinda bar kujinywea bia na nyamachoma
 
Nimecheka sana mkuu..ila umeongea ukweli japokua unauma ...mm madogo nishawachana ada itakuwepo...ila akijiskia shule ndio basi aje na option yake...ndio atapata suport zaidi ya hapo nisimuone kwangu..period wacha niitwe mkoloni
 
Na wanajenga aisee...kuna mmoja alikua tu department ya procurement ya wizara flani aisee yule dogo kama hana nyumba kumi na tano au kumi na sita sijui
 
wadogo zetu wa kike wengi wapo vizuri
Usikae ukajilinganisha na mdogo wako/wadogo zako wa kike utapotea sana, kumbuka yeye ana matundu matatu ambayo akiamua kujirupua yanamlipa vizuri sana, sasa wewe kaa jilinganishe nao hao wadogo zako wa kike wakati wao wapo Tinder na Badoo Hi5 wanapiga mishe zao za Siri
 
Lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa wanafanya vizuri kiuchumi kuliko wakubwa wao kiumri hasa wa kike.
Nao walikuwa na idadi hiyohiyo ya matundu ila walikuwa wanalewa na kutumiwa na kuja kesho kurudia yaleyale.
 
Ukiacha na digital age. Mabro wengi wa umri huo walinyimwa Elimu hata Ile ya kata tu yaani ukaandilijia ulikuwa mkumbwa wengi wao ni darasa la Saba au form failure kitu ambacho Kwa maisha Sasa ni muhimu sana yaani kama wewe ni bro wa miaka hio na ni la Saba hujaweza kuwekeza kimali au kwenye kipaji aah hapo jua limesha zama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…