Ukweli Mchungu: Sisi wa kuanzia 40, madogo wametukata sana kipato

Mimi sasa nimeajiriwa ila nina platform zangu za social media nilianz kitambo way back 2010 saivi zote zinaingiza hela pambana mkuu
 
Kila kizazi kinapata unafuu na ahueni kuliko kilichopita. Mambo ni mengi sana yana hitaji makala ndefi.
Moja kuu ni elimu.
Kwa ufupi;
Kizazi cha 90+ wengi wana elimu nyuma ya hapo wengi walikosa elimu na hawakuipa kipaumbele hata kama mazingira yaliruhusu.
Utandawazi. Global world ndio kila kitu! Hata USA matajiri ni vijana. Angalia ukuaji wa sekta mpya kama AI unafikiri wanao run ubunifu ni kizazi kipi?
Ukuaji wa China na assian tigers kama korea. Hawa wamerahisisha kila kitu kiwe rahisi. Enzi zetu sisi huwezi maliza shule ujiajili boda boda. Sasa hivi kijana wa miaka 16 ni boda anaingiza hela. Hii yote imesababishwa na maendeleo ya China kuunda vitu na vinafikika kwa kila mtu.
Vijana wanakuwa favored zaidi.
Ukuaji wa teknolojia ; Sasa hivi unaweza tengeza studio kwa vitu rahisi kabisa ukawa producer ukaunda mziki ukauuza bila kuhitaji redio transmiter.
Maendeleo kama you tube, tiktok, facebook nk.
Mitandao ya kijamiii. Hii ndio fursa kuu ya maendelea kwa vijana wa kisasa.
Ukuaji wa miundo mbinu ya nchi. Nchi imekuwa connected. Siku hizi Njombe unakula machungwa ya Tanga mwaka mzima zamani haikuwa hivyo. Mikoa ilijifunga na vijana walidumaa.
Kwa hoo ni hski yao kipsta maendeleo hasa mwenye kuziona fursa wengine wansishia kubeti na kulaumu wazee.
 
Noma sana. Unakuta barmaid ana iphone macho matatu na kapanga geto kali., kwa mshahara gani anaolipwa
 
Tusaidiane ka kweli in 5 years itakua kama wanawake walivyotuacha huku tunawaangalia na vicoba vyao tulivyokua tunavizarau.

Mie hapa tu[emoji846]
 
Kwahiyo Mkuu unataka kusema madogo wengi kusimama wenyewe ni ngumu?
Currently kibongo hapa kusismama mwenye ukiasi cha kupata pesa mpaka za kushinda kidibwi ni ngumu, Japo wapo wachache wanao pambana na ukwel ni kwamba mtu alie na uwezo wa kufikiri,. kudhubutu na imani hawez kuwa mtu wa kushinda kidibwi hato pata muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…