Ukweli mchungu, Tanzania bado Hatuna chama pinzani thabiti na imara kinachoweza kupambana na dola!

Ukweli mchungu, Tanzania bado Hatuna chama pinzani thabiti na imara kinachoweza kupambana na dola!

twende mbele turudi nyuma, ili kuikabli vzr CCM kidemokrasia ni lazima nguvu ya wananchi ihusike...
chdema wao kama wao kuitoa madarakano CCM awawezi pasipo wananchi kushiriki....
 
Hata kusoma siwezi kumaliza hiyo habari. Itoshe kusema kuwa kuanzia leo tarehe 24.11.2020 nimejiondoa kabisa katika ufuasi, ushabiki, uanachama na ukereketwa wa chama chochote cha siasa.

Pamoja na mauza uza na vitimbwi vilivyojitokeza katika uchaguzi mkuu uliomalizika juzi na kuonekana kukatisha tamaa wananchi kwa kudharau maamzi yao nilitarajia vyama pinzani vingejipanga kuja na mkakati mpya kabisa wenye kuleta haki,na heshima yetu lakini kwa walichokifanya kina Halima ni dhahiri Tz tunacho chama kimoja tu. Sitashughulika tena wala kufuatilia jambo lolote lile linalohusu siasa.
Siasa tunawaachieni mwendelee na siasa zenu.

Sisi twajikita kujenga uchumi wa familia zetu na pia kuwajibika kuchangia maendeleo ya nchi kupitia shughuli tunazofanya. Tanzania utashi na uaminifu wa kisiasa kwa tunaowaamini bado sana.

Twangoja kizazi kingine kipya na si kwa kizazi hiki kinachoangalia mapato binafsi.
 
Ndiyo maana Mimi niliamua kuachana na siasa, nikageukia kuhubiri injili ya YESU Kristo, siku moja nikamuone MUNGU, kuliko hii ya bongoLand iliyojaa unafiki na udhambiki.

Watu wakufa, wamepata vilema vya maisha, wamefungwa, harafu viongozi wanafanya mambo ya utopolo.
 
Haya ni mawazo ya kipumbavu sana. Ni mawazo ya kipumbavu kwa sababu wewe unadhani chama ni ''dude'' litakalotumika kukupigania wewe/kuwapigania watanzania wakati wewe/watanzania wamekaa miguu juu na wanaangalia kama movie! Upumbavu wa kiwango cha juu. Wanaopambana na dola ovu kama hii ya Magufuli ni wewe/watanzania wote wapenda maendeleo na haki. Sehemu zote zilizopata mabadiliko ni wananchi walijitokeza kwa wingi kupigania haki zao. Unajua historia ya kupagania ubanguzi wa rangi Afrika Kusini? Kama wewe/watanzania wataendelea kukaa kinyonge na kutegemea kuwa kuna siku litatokea dude linaloitwa ''chama'' kuwapigania haki zao basi utaishia kujiharishia kwa tabu za maisha. Hili ni kwa watanzania wote bila kujali wanatoka chama gani.
Mkuu acha mihemko! Twende kwa hoja!
Yes naelewa chama Ni watu, watu ndio sisi !!
Ukisoma andiko langu utagundua kwamba nasema Hawa Frontline wetu wana shida/ wachumia tumbo ! Wao wanatakiwa wawe thabiti ili waungwe mkono na wananchi ! Sasa kwa hizi "sihasa" zao Nani awaunge mkono ? Kwa upuuzi huu CCM wataendelea kutawala mpaka kieleweke
 
Mkuu acha mihemko! Twende kwa hoja!
Yes naelewa chama Ni watu, watu ndio sisi !!
Ukisoma andiko langu utagundua kwamba nasema Hawa Frontline wetu wana shida/ wachumia tumbo ! Wao wanatakiwa wawe thabiti ili waungwe mkono na wananchi ! Sasa kwa hizi "sihasa" zao Nani awaunge mkono ? Kwa upuuzi huu CCM wataendelea kutawala mpaka kieleweke
Kwani mpaka usubiri uongozwe na mtu kudai haki hako? Yaani uone haki yako inaminywa na wewe ukae kusubiri mtu awe ''front line'' wako? Unatania au unasema kweli?
 
Back
Top Bottom