Si Halima Sauti ya Zege ndio alikuwa anasifiwa sana humu.Halima Mdee is big time snitch
Pengine wajaribu hio approachWaruhusu wagombea binafsi wasio na chama hata kimoja halafu uone
jinsi watu walivyochoka vyama vyote vilivyopo madarakani
Ilimradi tu siku imekwenda ,,, tunahitaji ukombozi wa kifikra kwanzaKweli kabisa
Kama ambavyo hatuna chama tawala, hatuna rais, hatuna bunge, hatuna mahakama, hatuna Usalama wa taifa n.k
Nchi hii imevurugika kabisa!
Ht bila mtutu,,, lakini walau harAkati zieleweke ! Sio hz siasa za maji takaUpinzani wa kweli mtutu wa bunduki tu
Hakika mkuu ! Ni ukweli usiosemwaHuo uchungu wa Lisu kwa nchi yake (kama unavyodai) pia ni wa kufikirika tu.
Jiandae kuwa disappointed!
Duuuh kauli ya kufungia mwakaMkuu.....
Kwani haujasikia kwamba, kuna chama kimekeketwa bila ganzi...[emoji1787][emoji23][emoji12]
Kwa haya makando kando Ni ngumu Sana kushika hatamuChadema chini ya Mbowe msakatonge ndo chama makini kabisa kuwai kutokea Tanzania.
Anajiita mwanaharakatiHana pa kwenda zaidi ya hapo.....
Mwananjaa tu.....Anajiita mwanaharakati
Mkuu acha mihemko! Twende kwa hoja!Haya ni mawazo ya kipumbavu sana. Ni mawazo ya kipumbavu kwa sababu wewe unadhani chama ni ''dude'' litakalotumika kukupigania wewe/kuwapigania watanzania wakati wewe/watanzania wamekaa miguu juu na wanaangalia kama movie! Upumbavu wa kiwango cha juu. Wanaopambana na dola ovu kama hii ya Magufuli ni wewe/watanzania wote wapenda maendeleo na haki. Sehemu zote zilizopata mabadiliko ni wananchi walijitokeza kwa wingi kupigania haki zao. Unajua historia ya kupagania ubanguzi wa rangi Afrika Kusini? Kama wewe/watanzania wataendelea kukaa kinyonge na kutegemea kuwa kuna siku litatokea dude linaloitwa ''chama'' kuwapigania haki zao basi utaishia kujiharishia kwa tabu za maisha. Hili ni kwa watanzania wote bila kujali wanatoka chama gani.
Wataiuza nchiNa wqtu humu walitaka tuikabidhi nchi Chadema
Kwani mpaka usubiri uongozwe na mtu kudai haki hako? Yaani uone haki yako inaminywa na wewe ukae kusubiri mtu awe ''front line'' wako? Unatania au unasema kweli?Mkuu acha mihemko! Twende kwa hoja!
Yes naelewa chama Ni watu, watu ndio sisi !!
Ukisoma andiko langu utagundua kwamba nasema Hawa Frontline wetu wana shida/ wachumia tumbo ! Wao wanatakiwa wawe thabiti ili waungwe mkono na wananchi ! Sasa kwa hizi "sihasa" zao Nani awaunge mkono ? Kwa upuuzi huu CCM wataendelea kutawala mpaka kieleweke
Na kukimbilia Ulaya,dj yeye atakimbilia Dubai.Wataiuza nchi