kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,216
- 21,914
- Thread starter
-
- #41
Katiba inatubana mkuu ! Hawawezi kukubaliHawawezi kuruhusu kwa sababu wanajua ndiyo mauti yao. Nachoweza kukuambia ni kuwa ukisubiri eti kuna siku wataruhusu basi siku hiyo haitatokea. Haki haitolewi bali hudaiwa.
Wanahitaji kujipanga sanaSi Halima Sauti ya Zege ndio alikuwa anasifiwa sana humu.
Chadema ni kigeugeu sana. Wangechukua nchi sijui ingekuwaje.
Hata kusoma siwezi kumaliza hiyo habari. Itoshe kusema kuwa kuanzia leo tarehe 24.11.2020 nimejiondoa kabisa katika ufuasi, ushabiki, uanachama na ukereketwa wa chama chochote cha siasa. Pamoja na mauza uza na vitimbwi vilivyojitokeza katika uchaguzi mkuu uliomalizika juzi na kuonekana kukatisha tamaa wananchi kwa kudharau maamzi yao nilitarajia vyama pinzani vingejipanga kuja na mkakati mpya kabisa wenye kuleta haki,na heshima yetu lakini kwa walichokifanya kina Halima ni dhahiri Tz tunacho chama kimoja tu. Sitashughulika tena wala kufuatilia jambo lolote lile linalohusu siasa.
Siasa tunawaachieni mwendelee na siasa zenu.
Sisi twajikita kujenga uchumi wa familia zetu na pia kuwajibika kuchangia maendeleo ya nchi kupitia shughuli tunazofanya. Tanzania utashi na uaminifu wa kisiasa kwa tunaowaamini bado sana.
Twangoja kizazi kingine kipya na si kwa kizazi hiki kinachoangalia mapato binafsi.
Upo sahihi ! Lkn viongozi Hawa vigeugeu ndo walitakiwa wawe wanaeleweka ili waungwe mkono na wananchitwende mbele turudi nyuma, ili kuikabli vzr CCM kidemokrasia ni lazima nguvu ya wananchi ihusike...
chdema wao kama wao kuitoa madarakano CCM awawezi pasipo wananchi kushiriki....
Mkuu umechelewa Sana ,mm tangia 2015 sihusiki na chama chochote na Sina ufuasi wowote uleHata kusoma siwezi kumaliza hiyo habari. Itoshe kusema kuwa kuanzia leo tarehe 24.11.2020 nimejiondoa kabisa katika ufuasi, ushabiki, uanachama na ukereketwa wa chama chochote cha siasa. Pamoja na mauza uza na vitimbwi vilivyojitokeza katika uchaguzi mkuu uliomalizika juzi na kuonekana kukatisha tamaa wananchi kwa kudharau maamzi yao nilitarajia vyama pinzani vingejipanga kuja na mkakati mpya kabisa wenye kuleta haki,na heshima yetu lakini kwa walichokifanya kina Halima ni dhahiri Tz tunacho chama kimoja tu. Sitashughulika tena wala kufuatilia jambo lolote lile linalohusu siasa.
Siasa tunawaachieni mwendelee na siasa zenu.
Sisi twajikita kujenga uchumi wa familia zetu na pia kuwajibika kuchangia maendeleo ya nchi kupitia shughuli tunazofanya. Tanzania utashi na uaminifu wa kisiasa kwa tunaowaamini bado sana.
Twangoja kizazi kingine kipya na si kwa kizazi hiki kinachoangalia mapato binafsi.
Kidogo nimekuelewa japo ninasumu kwahali hii basitena tusubili huyujamaa ajiongezee muda yn yy nauraisi mwishowake iwenikifo tuHaya ni mawazo ya kipumbavu sana. Ni mawazo ya kipumbavu kwa sababu wewe unadhani chama ni ''dude'' litakalotumika kukupigania wewe/kuwapigania watanzania wakati wewe/watanzania wamekaa miguu juu na wanaangalia kama movie! Upumbavu wa kiwango cha juu. Wanaopambana na dola ovu kama hii ya Magufuli ni wewe/watanzania wote wapenda maendeleo na haki. Sehemu zote zilizopata mabadiliko ni wananchi walijitokeza kwa wingi kupigania haki zao. Unajua historia ya kupagania ubanguzi wa rangi Afrika Kusini? Kama wewe/watanzania wataendelea kukaa kinyonge na kutegemea kuwa kuna siku litatokea dude linaloitwa ''chama'' kuwapigania haki zao basi utaishia kujiharishia kwa tabu za maisha. Hili ni kwa watanzania wote bila kujali wanatoka chama gani.
Ukweli mchunguDuuuh kauli ya kufungia mwaka
Mkuu sio wote tuna caliber ya uongoziTulitegemea watu kama nyie ndio mngeunda vyama vya upinzani vyenye nguvu ila na nyie mnalalamika tu sasa mnataka nani awaundie hivyo vyama?
Anatetea ugali wakeMwananjaa tu.....
Hatari Sana mkuuMtu kamnyima mwenzake pesa za wazungu huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HawaaminikiNdiyo maana Mimi niliamua kuachana na siasa, nikageukia kuhubiri injili ya YESU Kristo, siku moja nikamuone MUNGU, kuliko hii ya bongoLand iliyojaa unafiki na udhambiki.
Watu wakufa, wamepata vilema vya maisha, wamefungwa, harafu viongozi wanafanya mambo ya utopolo.
Halima Mdee is big time snitch
Kauli ya kukata tamaa mkuu ! Kikubwa tujipange haswa...labda chama unachotaka kiishinde CCM kije na jeshi lake!
👍👍Anatetea ugali wake
AnywaysKwani mpaka usubiri uongozwe na mtu kudai haki hako? Yaani uone haki yako inaminywa na wewe ukae kusubiri mtu awe ''front line'' wako? Unatania au unasema kweli?
Kelele miiingi kumbe wachumia tumboTonge mdomoni kwanza, uzalendo baadaye! Very Pathetic!!
Hatari SanaNa kukimbilia Ulaya,dj yeye atakimbilia Dubai.
Tukopamoja.Lakini mwanaharakati hakatimaa kwajazba Kwanza viongoziwetu niwasaliti pili sisi watanzaa tunaaaili yaunafki hakuna sehemu yeyote uliopatikana ukombozi kwamtu mmoja tu Lisu alikua nautayali ispokua wananchi hatukuunga mkono nayaniliyaona kuanzialeo kwa mange kimambiHata kusoma siwezi kumaliza hiyo habari. Itoshe kusema kuwa kuanzia leo tarehe 24.11.2020 nimejiondoa kabisa katika ufuasi, ushabiki, uanachama na ukereketwa wa chama chochote cha siasa. Pamoja na mauza uza na vitimbwi vilivyojitokeza katika uchaguzi mkuu uliomalizika juzi na kuonekana kukatisha tamaa wananchi kwa kudharau maamzi yao nilitarajia vyama pinzani vingejipanga kuja na mkakati mpya kabisa wenye kuleta haki,na heshima yetu lakini kwa walichokifanya kina Halima ni dhahiri Tz tunacho chama kimoja tu. Sitashughulika tena wala kufuatilia jambo lolote lile linalohusu siasa.
Siasa tunawaachieni mwendelee na siasa zenu.
Sisi twajikita kujenga uchumi wa familia zetu na pia kuwajibika kuchangia maendeleo ya nchi kupitia shughuli tunazofanya. Tanzania utashi na uaminifu wa kisiasa kwa tunaowaamini bado sana.
Twangoja kizazi kingine kipya na si kwa kizazi hiki kinachoangalia mapato binafsi.
Hawa viongozi ndo wana shida !!!! Wameweka maslahi binafsi kuliko uzalendoDaaah.nikweli kabisa lakini wananchi tukotayari kwamabadiliko wanaotuangusha niviongozi.wetu kwani njaa.Wameipeleka kichwani baada yakuiyacha mahalapake