kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,216
- 21,914
- Thread starter
-
- #61
Sema neno mama ! Watatuvusha ?[emoji3578]
Dah,,Kidogo nimekuelewa japo ninasumu kwahali hii basitena tusubili huyujamaa ajiongezee muda yn yy nauraisi mwishowake iwenikifo tu
Basi basi basi nawew unazidi kuniongezea sumutuNdiyo maana Mimi niliamua kuachana na siasa, nikageukia kuhubiri injili ya YESU Kristo, siku moja nikamuone MUNGU, kuliko hii ya bongoLand iliyojaa unafiki na udhambiki.
Watu wakufa, wamepata vilema vya maisha, wamefungwa, harafu viongozi wanafanya mambo ya utopolo.
Swali zuriBoss hanuniwi.. Unataka akale wapi?
Uongozi ukiwa thabiti wataungwa mkonoTukopamoja.Lakini mwanaharakati hakatimaa kwajazba Kwanza viongoziwetu niwasaliti pili sisi watanzaa tunaaaili yaunafki hakuna sehemu yeyote uliopatikana ukombozi kwamtu mmoja tu Lisu alikua nautayali ispokua wananchi hatukuunga mkono nayaniliyaona kuanzialeo kwa mange kimambi
Uzuri ni kwamba wahanga wa ujinga huu wa ''demokrasia'' ya kuigiza ni sisi sote watanzania.Katiba inatubana mkuu ! Hawawezi kukubali
Wanapumbaza wananchi tu HawaSitaki kusikia tena hiki chama.
Kuanzia leo
1.sitakuwa na chama.
2.sipigi kura, mpaka ipatikane katiba mpya na tume huru.
Chadema mmenipa hasira isiyomithilika.
Shida ndo inaanzia hapaUzuri ni kwamba wahanga wa ujinga huu wa ''demokrasia'' ya kuigiza ni sisi sote watanzania.
Unamjua.Dj ww Dubai kunaraha zake mkuuHawa viongozi ndo wana shida !!!! Wameweka maslahi binafsi kuliko uzalendo
Ndo muwe mnaenda kupiga kura sasa...au ushirikishwaji gani unaozungumzia?twende mbele turudi nyuma, ili kuikabli vzr CCM kidemokrasia ni lazima nguvu ya wananchi ihusike...
chdema wao kama wao kuitoa madarakano CCM awawezi pasipo wananchi kushiriki....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umejua hujui!Halima Mdee is big time snitch
daaah kabisa mkuuHt bila mtutu,,, lakini walau harAkati zieleweke ! Sio hz siasa za maji taka
Sasa kama unafahamu hivyo unalaumu nini.Mkuu sio wote tuna caliber ya uongozi
Muwe mnamuelewa Pascal Mayalla !!!Wasalaam!
Moja kwa moja kwenye mada, Tanganyika baada ya kupata Uhuru, tulikuwa kwenye mfumo wa chama kimoja (TANU) , baadae ikazaliwa CCM, kadri siku zilivyokwenda mwaka 1992 tukaingia rasmi kwenye mfumo wa vyama vingi ,,, hapa vikazaliwa vyama kadhaa ikiwemo NCCR-MAGEUZI, TLP, CHADEMA nakadhalika!
Mwaka 1995 rasmi tukashiriki kwa Mara ya kwanza uchaguzi kwa mfumo wa vyama vingi ,,, kuanzia hapo mpaka Leo.,, Tumeshuhudia viongozi wengi wa vyama vya upinzani wakitokea huku na kule kunadi, kugombea vyeo mbali mbali kupitia vyama vyao !!!
Miaka hiyo tunaanza mfumo wa vyama vingi NCCR ndio ilikuwa tishio chini ya kiongozi wake Augustino Lyatonga Mrema , baadae CHADEMA kikachukua hatamu Kama chama chenye nguvu upande wa upinzani !
Twende kwenye hoja ya msingi, bado Tanzania Hatuna chama makini ambacho viongozi wake wapo tayari kukipigania kudai haki ! Tumeona sarakasi nyingi Sana za Hawa viongozi, kuanzia kwa kina Mrema (huyu Ni Kama ccm B tu wengi wanamjua), Lipumba , wakaja kina Dr Slaa na wengineo, Hawa wote Ni wachumia tumbo,,,,
Kidogo lissu anaonekana ana uchungu na nchi yake , nae haaminiki , Kuna namna flani anatumika na watu fulani kwa malengo fulani ,
Mbowe sijamgusa, huyu anawezekana ana chembe chembe za demokrasia na mabadiliko kuliko hao wengine lakini nae Ni mchumia tumbo(rejea kilichotokea back then 2015) , Sina ushahidi, inasemekana alipokea mkwanja mrefu kutoka kwa bwana mvi , akampa nafasi ya kupeperusha bendera ya chama ,,, !
Hii awamu iliyoisha (2015-2020) yalitokea mengi Sana kwa upande wa upinzani, Hama Hama zile , Mara watu kununuliwa n.k ,, Hawa ndio viongozi tunaotegemea wachukue nchi waongoze ? Wasioweza ustahimilivu ? Hapana Ni ngumu Sana !
Uchaguzi ulioisha juzi hapa October, kila mtu aliona wazi kilichotokea , sihitaji kuelezea, chadema wakaambulia mmbunge mmoja ,, baadae wakatakiwa kupeleka majina ya viti maalumu, taarifa ya chama ikasema haitopeleka majina, kina bulaya, mdee na wengineo naskia walifanya vikao vya siri chama dola then wakaunda majina yao wakapeleka kibabe ,,, Hawa Hawa kina mdee na bulaya tuliwaona wafia chama nao wamegeuka ? Ndio tuliotegemea viongozi wa demokrasia makini ? Hapana nakataa!
Kwa mtindo huu , Tanzania Ni wazi Hakuna chama kinachoweza kuja kuchukua dola kwa miaka ya hivi karibuni, tuhitaji watu walitayari/waliojizatiti! Tuendelee kupambana tu na chama tawala CCM ! Na niseme kuwa , licha ya kutaka mabadiliko, sisi wananchi wenyewe hatuka tayari kwa mabadiliko, itachukua miongo kadhaa ama karne kabisa ili tuwe tayari !
Wacha tuendelee kuzisoma tarakimu !!!
Wasalaam!