UKWELI MCHUNGU Tanzania hatuna viongozi

Mfumo ni nani
Anayetengeneza huo mfumo ni nani
Umetengenezwa na CCM, sisi tunafanya kazi kwa maono ya Rais na siyo dira ya taifa, kesho akija Rais mwingine anakuja na yake badala ya kuwa na mwendelezo wa yale ya mtangulizi, pia viongozi hawawajibiki kwa wananchi isipokuwa wananchi ndiyo wanawajibika kwa viongozi, wewe DC hata akiuza stand ya halmashauri utamfanya nini kama Rais hajaamua? rejea Sabaya alijitwika Afisa wa TRA wa kaskazini. Tuna katiba ya kijinga sn
 
Naunga mkono ,tuna majizi na matapeli tu
 
Subiria kutukanwa... na akina mwijaku na kitenge.
Your browser is not able to display this video.
 
SERA! Aitwae KIONGOZI ni pamoja na kuwauzia WENYE NCHI zile sera za kujikwamua katika MASUALA yanayoikabili nchi yao na kuwavusha wazishinde changamito za maisha ya leo na huko baadae nuru ya NEEMA iwawakie CHINI ya UTAWALA WA SHERIA walopitisha WANANCHI hao. KATIBA YA WANANCHI inayohakikisha pamoja na mengineyo UTAWALA BORA na sio usultani, uchifu-koko au UFALME wenye chimbuko la ukwasi wakifisadi na ulevi wa kutawala. KIONGOZI huyo azinadi SERA zake na zikubalike na wengi kwenye sanduku la chaguzi huru na za haki chini ya KATIBA tajwa. Awe na UKOMAVU pendekezwa, MCHA MUNGU na NDOA kamilifu pia n .....
 
Ukiitazama Nchi hii ilivyo Rais ndiye kila kitu.
Rais ndiye CCM anaamua CCM iende vipi ni utashi wake. Leo akisema tuwe na katiba bora CCM hawana nguvu ya kubisha. Kwa mantiki hii mifumo yote nchi hii ni Rais akitaka sekta flani ifanye hivi inafanya. Hivyo kama tuna mifumo mibovu moja kwa moja Rais ndiye mbovu
 
Viongozi wapo, ila mfumo ndo corrupt and rotten.

Mfumo ukirekebika, wale wale wataonyesha maajabu,

Tubadili mfumo.
Uko sahihi.. nadhani pia inabidi katika katiba kuwe na Sheria inayowawajibisha viongozi ipasavyo hata kwa blunder walizofanya kipindi Cha nyuma . Hapa ndio transparency itakuwa in play
 
Tatizo kubwa tulilonalo kumkabidhi mtu mmoja kila kitu yeye awe msemaji wa mwisho, katiba ifanyiwe marekebisho ndio tutapata viongozi wawajibikaji
 
Mfumo wa hovyo sn haufai
 
Inabidi wewe ndiyo utuongoze
 
Sasa tuna muImba taarab, badala ya kutatua matatizo yeye anshusha vijembe vya uswahilini
 
Hivi P.W.Botha aliposema sema "mwafrika hawezi kujitawala";hamku muelewa Sawa sawa naona.Tanzania Kuna watawala sio viongozi na mbaya zaidi kama taifa tumetoa nafasi ya wajinga kuwa viongozi na werevu kuwa wafuasi.

Tanzania kwa sasa inahitaji kiongozi kama emperor Meiji wa Japan.
 
Viongozi wapo, ila mfumo ndo corrupt and rotten.

Mfumo ukirekebika, wale wale wataonyesha maajabu,

Tubadili mfumo.
Mkuu huwezi tumia watu walewale walio tengeneza tatizo fulani kuja kutatua tatizo lile lile huu,utakuwa ni uwendawazimu au ukichangaa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…