mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,400
- 3,853
Wakati wakati wa kupitisha bajeti, tenda au mikataba utajua tu. Posho ikijulika ni kiasi gani watu hijiandaa kupiga makofi, kikubwa ni posho. Bajeti iliyoandaliwa miezi itawekwa kwenye projector na ndani ya masaa machache imepita.Yapo lakini majizi
Sasa kukiwa na wapinzani mambo ni tofauti na kuhoji na kuidadavua ni kwingi.
Sasa walishawapiga wapinzani kila kitu ni rahisi tu kwao.
Viongozi wanaopenda mtelezo