Ukweli mchungu: Tundu Lissu kuto- surrender, kumuweka precedent ya wengine kukomaa mpaka mwisho

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Huu ndio ukweli mchungu na ksma Mbowe nae angekomaa, huenda hata Lissu yasingemkuta

Kwa kifupi, kitendo cha kukomaa mpaka hapa kesi ilipofika, ni ushindi mkubwa kwa Lissu maana walichotaka kitokee hakijtokea( kuwapigia magoti).

Naamini kuanzia sasa watakuwa makini katika Ku-deal na wanasiasa aina ya Lissu na wengineo
 
Lissu ni kiboko ya nguruwe
 
Back
Top Bottom