Ukweli mchungu: Ukifuatilia sana mambo ya dini, utabaini kuwa "Dini ni kwa ajili ya watoto"

Mungu alie niumba Mimi na wewe. Na alie uumba ulimwengu wote.

Kwani uwepo wa kitu lazima uthibitishwe.

Nikikwambia uthibitishe kuhusu uwepo wa Oxygen unaweza?
Hujajibu umejuaje yupo.

Kama kitu huwezi kuthibitisha kipo, unajuaje kipo?
 
Zaburi 14
1 Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema.

2 Toka mbinguni Bwana aliwachungulia wanadamu, Aone kama yuko mtu mwenye akili, Amtafutaye Mungu.
Mtoa mada hajapinga uwepo wa Mungu.
 
Kwanza, Kua na adabu
Mimi sii maskini wala sikuzaliwa maskini.
Mungu ninaemuabudu hana hayo mambo. Mimi nadhani una tatizo la kisaikolojia, ukipata msaada mapema hatutakupoteza
 
Unaweza kumwelezea Mungu nje na vitabu vya dini?...au specifically nje ya biblia...bila ya hizo dini za kikoloni isingekuwa na Mungu...ninachoamini Mungu yupo ila sio huyu wa kwenye vitabu vya dini
 
Kwanza, Kua na adabu
Mimi sii maskini wala sikuzaliwa maskini.
Mungu ninaemuabudu hana hayo mambo. Mimi nadhani una tatizo la kisaikolojia, ukipata msaada mapema hatutakupoteza
Yeyote anayeamini Kuna shetani ,moto na maisha ya mbingu huyo ndiye ana matatizo ya kisaikolojia.
 
Kwanza, Kua na adabu
Mimi sii maskini wala sikuzaliwa maskini.
Mungu ninaemuabudu hana hayo mambo. Mimi nadhani una tatizo la kisaikolojia, ukipata msaada mapema hatutakupoteza
Ndio maana hata MUNGU wenu wa kwenye Biblia anawaambia kuwa mnaangamia kwa kukosa maarifa
 
Unaweza kumwelezea Mungu nje na vitabu vya dini?...au specifically nje ya biblia...bila ya hizo dini za kikoloni isingekuwa na Mungu...ninachoamini Mungu yupo ila sio huyu wa kwenye vitabu vya dini
Yesu atakuokoa sio muda mrefu utakua mtumishi wa Bwana Yesu.
 
Juma na swaleh hawampendi wile na Charles wakati wanafanana rangi ya ngozi mpaka nywele doh salale.
 
Yesu Kristo anakupenda sana sio muda mrefu atakuokoa nawe utakua huru ukiijua kweli.
Ataniokoaje mtu ambaye anadeka kwa baba ake Mbinguni,hataki kutoka kwao ajitafute kama wanaume wengine.mtu alikosa mpka pesa ya kutolea mahari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…