Ukweli Mchungu: Wadangaji tuna Maisha mazuri kuliko Wanawake walio Ndoani

duh! sina usemi ila kila kitu kina mwanzo na mwisho,uzuri na ubaya wake.
 
uwekezaji katika K sio
 
Life is about wisdom and life satification are you satisfied with that life or its materials things
 
Kwa hiyo hicho kikojoleo kitakua hadi kimeota Sigda au sio mdangaji promax?
 
Huwa nashangaa kweli kwanini wanawake wanataka kuolewa wakati kuwa mdangaji kuna mipunga ya kutosha; ndoani kwanza utanyanyaswa tu. Unaolewa unakuwa mtumwa.
 
Ewaaa! Someone finally said the truth
 
Wataalam kama nyue mnahitajika sana humu, kufanya rejea na mapitio yote ili kuhakiki ukweli wa mtu husika.😅

Kumbe mtu mwenyewe anapitia msongo wa mawazo, hata hilo bandiko lake linaonyesha hivyo.
Sikuizi Mimi mgumu sana kujipinda kuandika au kutoa ushauri kwa mtu bila kurejelea nyuzi za nyuma,. Maana utakuta mtu Leo anasema anatafuta mke kesho anasema yeye single mama anatafuta mume yaani full tafrani,.

Imagine ni 25 January tu alitoka kutueleza hayo..

Mental health..
 
Ipo siku nita kuchapa jd
 
Eeeh kuna shida mahali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…