Hii ni hatari mkuu, niliwahi ona moja ina 600,000+, ilinunuliwa zero km, ikagonga hizo namba bongo, ilifika ikawa inakwenda 4km/l, muonekano sasa...ilikuwa coaster!Kuna tofauti kubwa kati ya K ya mdangaji na ya wife material View attachment 3435077
Hakuna tofauti.Kuna tofauti kubwa kati ya K ya mdangaji na ya wife material View attachment 3435077
Ila Malaya bhana ,😂😂😂Utakataa na kufyonza pengine hata kuniporomoshea matusi, ila huu ndio ukweli mchungu kwa baadhi ya wanawake walio ndani ya ndoa zao ambao hawataki kuusikia abadani.
Nina siku ya 4 leo tangu nimetoka vacation Dubai, haijalishi nimetumikaje au nani kanitumia nikiwa huko, ila kiukweli nimeridhika na haya maisha ninayoishi.
Najua wanawake wengi sana wanatamani maisha tunayoishi sisi.
Sijasema msiolewe, nyie kama mmechagua kuolewa ni ninyi.
Kila mtu abaki na amani ya moyo wake.
Ila kiufupi ni kuwa sisi tuna maisha mazuri na yenye furaha kuliko ninyi.
Nimejenga
Nina biashara huria
Nina usafiri wa kutembelea
Kwanini nisijisifu?
Muhimu tujali afya zetu tu.
Dada naomba namba yako tuwasiliane nami niwe mteja wako mtiifu 😋Utakataa na kufyonza pengine hata kuniporomoshea matusi, ila huu ndio ukweli mchungu kwa baadhi ya wanawake walio ndani ya ndoa zao ambao hawataki kuusikia abadani.
Nina siku ya 4 leo tangu nimetoka vacation Dubai, haijalishi nimetumikaje au nani kanitumia nikiwa huko, ila kiukweli nimeridhika na haya maisha ninayoishi.
Najua wanawake wengi sana wanatamani maisha tunayoishi sisi.
Sijasema msiolewe, nyie kama mmechagua kuolewa ni ninyi.
Kila mtu abaki na amani ya moyo wake.
Ila kiufupi ni kuwa sisi tuna maisha mazuri na yenye furaha kuliko ninyi.
Nimejenga
Nina biashara huria
Nina usafiri wa kutembelea
Kwanini nisijisifu?
Muhimu tujali afya zetu tu.
Vacation si kitu cha mpaka udange halafu ndo uje kujisifia kwa watu. Inaonesha ni kwa kiasi gani ulivyo limbukeni wa maisha. Wenzako wameolewa Vacation wanaenda Paris, London n.k ila hawajisifii.Utakataa na kufyonza pengine hata kuniporomoshea matusi, ila huu ndio ukweli mchungu kwa baadhi ya wanawake walio ndani ya ndoa zao ambao hawataki kuusikia abadani.
Nina siku ya 4 leo tangu nimetoka vacation Dubai, haijalishi nimetumikaje au nani kanitumia nikiwa huko, ila kiukweli nimeridhika na haya maisha ninayoishi.
Najua wanawake wengi sana wanatamani maisha tunayoishi sisi.
Sijasema msiolewe, nyie kama mmechagua kuolewa ni ninyi.
Kila mtu abaki na amani ya moyo wake.
Ila kiufupi ni kuwa sisi tuna maisha mazuri na yenye furaha kuliko ninyi.
Nimejenga
Nina biashara huria
Nina usafiri wa kutembelea
Kwanini nisijisifu?
Muhimu tujali afya zetu tu.
maisha ni kupanga na kuchagua... hongera kwa hilo.. watu wasikupangie chochote. Ila sio kwa ubaya na mm naomba na mm nichovye kidogoRudi kasome tena uzi wangu ndipo utajua gharama zipi.
Nitatumika mpaka nitakapokufa, kwani kuna tatizo?
Kiburi cha Uzima.Utakataa na kufyonza pengine hata kuniporomoshea matusi, ila huu ndio ukweli mchungu kwa baadhi ya wanawake walio ndani ya ndoa zao ambao hawataki kuusikia abadani.
Nina siku ya 4 leo tangu nimetoka vacation Dubai, haijalishi nimetumikaje au nani kanitumia nikiwa huko, ila kiukweli nimeridhika na haya maisha ninayoishi.
Najua wanawake wengi sana wanatamani maisha tunayoishi sisi.
Sijasema msiolewe, nyie kama mmechagua kuolewa ni ninyi.
Kila mtu abaki na amani ya moyo wake.
Ila kiufupi ni kuwa sisi tuna maisha mazuri na yenye furaha kuliko ninyi.
Nimejenga
Nina biashara huria
Nina usafiri wa kutembelea
Kwanini nisijisifu?
Muhimu tujali afya zetu tu.
Hao wanaoolewa hawataki kutumika kwani wana kosa? Waache wafanye wanavyopenda, kwao ni vizuri.Rudi kasome tena uzi wangu ndipo utajua gharama zipi.
Nitatumika mpaka nitakapokufa, kwani kuna tatizo?
🤣umekuwa muwazi bila kona kona.
Hakuna wakukubishia labda mdangaji mwenzio asie furahia maisha kama wewe.
Kama ulivosema haijalishi unatumikaje mradi unaishi vizuri.
Kama hujafikisha 40s Danga sana binti maisha ndo haya haya...
Pm yako leo haitapumua....
😁😁😁Haszu unatuona sisi wajinga sio?
Aaghh 😁😁🤣🤣.. Bujibuji Simba Nyamaume mkuu acha hizo basiiHii biashara ni nzuri sana hasa ukiifanya kwa malengo
Maosha❎️Vacation si kitu cha mpaka udange halafu ndo uje kujisifia kwa watu. Inaonesha ni kwa kiasi gani ulivyo limbukeni wa maisha. Wenzako wameolewa Vacation wanaenda Paris, London n.k ila hawajisifii.
Usitake kutafuta justification ya mambo yako kwa watu, hayo ni maisha yako na hakuna wa kukupangia. Kila mtu ana aina yake ya maisha huna haja ya kumlingishia mtu.
Punguza ulimbukeni ufurahie maosha yako.