UKWELI MCHUNGU: Wakatoliki wenzangu Papa Francis ni mjumbe wa shetani ndani ya kanisa

Yaa nilimaanisha aliens, naona hiyo holographic imagery itakuwa ni advanced technology hadi kufanya tukio hilo kushuhudiwa dunia nzima na kuleta panic.

Kuna hawa wanaojiita 'agenda 2030' wana advocate sana maswala ya digital ID nk, huenda ni katika kuwafanya binadamu kuwa mateka wa mfumo ambao utakuwa na masharti ya ku advance satanic agenda ili uweze kupata manufaa ndani ya mfumo, vinginevyo unakuwa sanctioned na kuishia kuwa kama mfu........which is equivalent to the number of the beast ambayo ukiikataa hutaruhusiwa kuuza wala kununua.
 
Hii biblia tuliyo nayo na yenyewe siyo original, imeandikwa kutokana na mkusanyiko wa maandiko mengine ndo maana kuna mahali unakuta zimetajwa rejea, mfano, Je, haya hayakuandikwa kwenye kitabu fulani?

Kuna clip moja niliona jamaa anadai kwenye kitabu cha Enoch ambacho maandiko yake yamesheheni kwenye moja ya sura za biblia kuna mahali wameandika wazungu ni uzao wa demons. Sasa akawa anahoji, je, katika hali ya kawaida wazungu wanaweza kuruhusu huo mstari uingizwe kwenye biblia tuliyo nayo leo?​
 
Aisee hata mimi roho inakuwa nzito sana kuipokea ile sala tena katikati ya consecration yaani mageuzi linatajwa jina la anayeitetea dhambi, haya ni matusi makubwa mbele ya ekaristi TAKATIFU ba altare tukufu ya sakramenti
"Ekaristi TAKATIFU ya altare tukufu ya sakramenti." 👈All this jargon has nothing to do with God.Mmepotoshwa sana ndugu zetu,very sad.Come back to ground level,toeni matango pori yote,which I admit is difficult,but you have to do it anyway.Anzeni kujifunza Biblia upya as a matter of urgency,hatuna muda was kupoteza,Jesus Christ is soon coming back.

Ndugu zetu tunawaambia ukweli kwa kuwa tunawapenda,ingawa najua inauma.Why are we keen to tell you all this,first because Jesus Christ has commissioned us to to do this.But also because we want you to inherit the Kingdom of God.

Ndugu zetu Kanisa Katoliki is a total mess,heresy is everywhere.Labda ni hekima mjiulize,kama kweli Mungu yupo Dhehebu Katoliki,haya yametoka wapi.The truth is that Mungu hayupo hapo,angekuwepo nguvu za kuzimu zisingelishinda.Yanatokea kwa kuwa Mungu hayupo.

Finally, msidhani kwamba ni tatizo la Pope Francis tu,no,the Devil is in the Vatican.
 

Eeeh
 
Una shida kubwa sana aisee, Nilidhani tunajifunza ila bado unang'ang'aniwa itikadi... Ninaifahamu bibliq kuliko unavyodhani ndugu na haya yakiwa ni masindano ya kuorodhesha vifungu vya biblia hatutaelewana kwa kuwa akili yako inaamini wakatoliki wote ni lazima wachomwe moto, yaani wakatoliki wao ni motoni moja kwa moja haijalishi watafanya nini ili mradi tu wamekuwa wakatoliki hawawezi kuukwepa moto. Haya ni mawazo ya kibinafsi Sana na hujui unachokifikia, laiti Kama Mungu angekuwa anawaza kama wewe hakika hakina mwanadamu angepona. Unasema naegemea kwenye mapokeo, kwani biblia siyo mapokeo? Zile si kumbukumbu zilizoandikwa na manabii na mitume? Au mapokeo yakoje ndugu?

Kama humuwazii jirani yako yaliyo mema hakika sahau kuhusu ufalme wa mbinguni, chuki na itikadi binafsi zimewatawala sana nyie wafuasi mashahidi wa yehiva na wasabato. Mna matatizo makubwa sana yani sio kidogo
 
Una shida sana aisee! Unaita ekaristi takatifu ni jargon una uelewa mdogo saaana yani, assignment tafuta kwanza ekaristi takatifu imebeba ninu na ina maana gani ukielewa njoo niendelee kukupa nondo na tutafija huko huko kwenye vifungu vya biblia unavyotaka. Ila kaka hutoraka kujua maana ya ekaristi takatifu naomba niishie hapa sitajibu komenti yako yoyote
 
Mkuu nimesema kila unalofanya lazima lipate kibali cha Biblia.Nakupa 1000 years unipe maandiko yanayohalalisha Ekaristi. Please go ahead.
 
Mkuu nimesema kila unalofanya lazima lipate kibali cha Biblia.Nakupa 1000 years unipe maandiko yanayohalalisha Ekaristi. Please go ahead.
Ndiyo maana nikasema elimu yako ni ndogo sana, jitahidi ufahamu ekaristi ni nini na imebeba nini ndo uje niendelee kukufundisha taratibu... La sivyo sina cha kukusaidia zaidi
 
Ndiyo maana nikasema elimu yako ni ndogo sana, jitahidi ufahamu ekaristi ni nini na imebeba nini ndo uje niendelee kukufundisha taratibu... La sivyo sina cha kukusaidia zaidi
Unazungumzia elimu gani,mapokeo?Siyahitaji mkuu,kaa nayo.
 
Umeikuta, ukarithishwa, ukaingia mzima mzima, ni dinj yao, wewe haikuhusu, ujinga wako kiimani na waliokurithisha ndio lawama.
Rudi kwenye kutambika mizimu. Full stop.
 
Maria anaabudiwa, na mnaomba kupitia Maria.
Hapa hakuna haja ya malumbano, inawezekana hiyo ndiyo hoja uliyowajengea waumini wenzako, sasa ukaona ikikanushwa utakosa hoja. Kila mtu afuate utaratibu wake, hakuna haja ya kuchungulia kwa jirani wanafanya nini, hiyo itakuwa sio imani bali umbea. Imani ni kushika unachosadiki, sio kupinga wanachosadiki wengine, Kuna watu mnaombewa na wachungaji, hakuna anayehoji kuwa mnawaabudu. Kuna watu mnatembea na maji na mafuta ya upako, hakuna anayewashutumu kuwa mnaabudu sanamu! Lakini ninyi kutwa kucha ni kuangalia RC wanafanya nini ili mpate neno la kuhubiri!
 
Unazungumzia elimu gani,mapokeo?Siyahitaji mkuu,kaa nayo.
Hata ya msingi, sekondari, chuo kikuu nk ni mapokeo. Kama hutaki elimu, baki na ujinga
Education is the transmission of knowledge, skills, and character traits. - Wikipedia
 
Wakatoriki ndio walionitambulisha katika Ukristo.
Bila wao ningekuwa Mwislamu.

Ndio walionitambulisha kwa Yesu Kristo Mungu Mkuu na Mwokozi wetu.

Tito (Tit) 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;

Nawaheshimu sana Wakatoriki wamenileta kwa Kristo Yesu. Sina cha kuwalipa.

Na sina cha kuwakosoa.
Sisi wote tumetenda dhambi na hakuna mkamilifu.

Warumi (Rom) 3:10
kama ilivyoandikwa, ya kwamba, Hakuna mwenye haki hata mmoja.

Bila Wakatoriki leo ningekuwa Naswali na Majini.

Asante sana Roman Catholic.
Mmefanya kazi kubwa ya kuwaleta kondoo walipotea kwa Kristo Yesu.

Mmetuepusha na hadaa za Ibirisi Rusifer na Malaika zake Majini.

Mmetuweka njiani tukielekea uliko Ufalme wa Mbingu.

Na mwisho wake tutapata zawadi yaani zawadi kupita zawadi zote kuwahi kuahidiwa.

Zawadi ya kuwa Wana wa Mungu aliyeumba Mbingu na Nchi na vyote katika Ulimwengu wa Kimwili na wa Kiroho.

Tunasema Aaaamen.

Case Closed
 
Huyu Papa atakuwa kashukiwa na shetani kama Mohammed tu, hizi dini za michongo ni shida tupu tu kwetu Waafrika
 
Waislam wasicheke ukatoliki ukibondwabondwa, hata wao soon wanakutwa, hawana pa kujificha, wasioone dini yao haitaguswa na upepo huu, tayari wameshanasa kwenye nyavu za shetani. Ni suala la muda tu tutaona abrakadabra za kishetani zikitawala huko
 
Ina maana wana mzushia?[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Hata ya msingi, sekondari, chuo kikuu nk ni mapokeo. Kama hutaki elimu, baki na ujinga
Education is the transmission of knowledge, skills, and character traits. - Wikipedia
Sio kwenye swala linalomhusu Mungu mkuu,unalinganisha the incomparable.Unayo Biblia,mapokeo ya nini?Hivi mmeshindwa kuona kabisa kwamba the so called mapokea ni mpango wa Shetani wa kuingiza mafundisho ya uongo?Bwana Yesu kayakataa(Marko 7:6-9),ninyi mnayang'ang'ania nini?But exactly who are you worshipping.Satan no doubt.Ninyi obviously also ni wa tania ya asili,ndio maana inakuwa vigumu sana kuelewa Neno la Mungu.

Katika 1 Wakorintho 2:14,Neno la Mungu linasema,
14 Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.

Na kuhusu mapokeo Neno la Mungu linasema,
Marko 7:6-9
6 Akawaambia, Isaya alitabiri vema juu yenu ninyi wanafiki, kama ilivyoandikwa, Watu hawa huniheshimu kwa midomo Ila mioyo yao iko mbali nami;
7 Nao waniabudu bure, Wakifundisha mafundisho Yaliyo maagizo ya wanadamu,
8 Ninyi mwaiacha amri ya Mungu, na kuyashika mapokeo ya wanadamu.
9 Akawaambia, Vema! Mwaikataa amri ya Mungu mpate kuyashika mapokeo yenu.
 
Waumini wanalalamika,Papa Francis anataka mashoga wasamehewe,na watu wengine waovu wasamehewe,hata kama Msahafu unasema wazi kabisa kwamba watu kama hao wasivumiliwe.
Now please note Papa anasema nini.
Papa anasema yeye ni Papa,na hataruhusu watu wasiofuata maadili yaliyobainishwa wazi katika Msahafu waendekezwe,nao watu wanaomshinikiza akumbatie watenda dhambi ni wahalifu.
Unaona vurugu katika Kanisa; hawa wanasema Papa corrupt. Papa anasema hao watu ni corrupt.
Ndio maana Israel inasema huko Vatican kuna "linguistic ambiguity".
Watu wanaongea very impressive intellectual concepts,but they are saying nothing.
Kwa hiyo kuna ubishi,ubishi ambao umepunguka kidogo in the past 24 hours kwa sababu watu wanatishiwa maisha. Watu wanaobishana na Pope wanatishiwa maisha.
What are the extenuating circumstances of the crime? What are the mitigating circumstances of the crime is at the heart of the argument.
Wanatishiwa maisha vipi? Ile no system ya Kahal ya Wayahudi ; yule mtu anaqmbiwa"Ndugu yako anamtukana Pope. We humsikii ndugu yako anavyomtukana Pope. Sasa,nenda wewe mwenyewe ukamuue ndugu yako. Wewe labda utamuua kifo cha huruma. Lakini sisi hatutamuua kifo cha kistaarabu"
Yaani,ni mazingara gani ambayo yanafanya kosa lisisameheke kabisa? Ni mazingara gani yanayosababisha confessor amhurumie mtenda dhambi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…