UKWELI MCHUNGU: Wakatoliki wenzangu Papa Francis ni mjumbe wa shetani ndani ya kanisa

UKWELI MCHUNGU: Wakatoliki wenzangu Papa Francis ni mjumbe wa shetani ndani ya kanisa

Nadhani you are mixing UFOs and Aliens.UFOs ni Unidentified Flying Objects.

Hata hivyo niseme hivi, it is a lie that these are UFOs,they are not,they are American capsules made by using technology provided by Satan.The Americans know what these objects are,wanajibaraguza tu,they are not unidentified object.

Ipo mikataba ambayo Eisenhower, a former American President aliingia with Demonic forces, ili Marekani wapewe advanced technology,nilishaleta ushahidi hapa JF.

Mwisho nadhani unajua kwamba human depopulation or culling if you like, ni mradi unaoendelea as we speak.Na the NWO Cabal plan is to have only 500 million humans on Earth.Wanaamini kwamba Programmes zao zinazoendelea zita-achieve goal hiyo,but if they don't, ndio watakapo opt for holographic imagery imitating an Alien invasion,which will actually be a made up story,but will be used to cause massive human slaughter.This is on the cards.

The holographic imagery technology will also be used to immitate the coming of Jesus Christ.The whole thing will be a sham,and this will actually be the Anti-Christ or fake Messiah,but those whose names are not written in the God's book of life will believe and worship him.

Aliens on the other hand are nothing but demons ambao wame-take up human like bodies.Americans ndio wanazungumzia sana agenda ya Aliens,but as I have said these are nothing but demons.

Mwisho,kuchanganya chuma na udongo vilikuwepo hata kabla ya gharika(Genesis 6:4-7), na infact ndiyo sababu kubwa iliyo-sababisha Mungu kuharibu Wanadamu by the flood.We see again this talk of mixing iron and soil in Jude 1:6-7; 2Petro2:4 and 1 Corithians 11:10.

Hii kitu inaendelea tena sasa,tena kwa kasi kubwa zaidi,and it is believed that many of these people are among us.There is alot of evidence that alot of experimentation in this area is going on in an area called Area 51 in the US.How far they have succeeded in mixing human DNA and Luciferian DNA hatuna hakika,lakini kwa kiwango cha uovu wa Wanadamu kilichopo,inaelekea wanefanikiwa sana.Their goal is everybody to be evil.
Yaa nilimaanisha aliens, naona hiyo holographic imagery itakuwa ni advanced technology hadi kufanya tukio hilo kushuhudiwa dunia nzima na kuleta panic.

Kuna hawa wanaojiita 'agenda 2030' wana advocate sana maswala ya digital ID nk, huenda ni katika kuwafanya binadamu kuwa mateka wa mfumo ambao utakuwa na masharti ya ku advance satanic agenda ili uweze kupata manufaa ndani ya mfumo, vinginevyo unakuwa sanctioned na kuishia kuwa kama mfu........which is equivalent to the number of the beast ambayo ukiikataa hutaruhusiwa kuuza wala kununua.
 
Nakushangaa sana ujue,ingekuwa vema ukitoa comment yako uweke maandiko to authenticate.It seems unayoleta hapa ni mapokeo tu,verbal communication kutoka kwa viongozi wenu Mapadre,Makatekista nk,sasa mtaawaaminije?Wenyewe ni vipofu,Shetani amewapofusha,sasa kipofu akimuongaza kipofu mwenzie,si wote wataanguka shimoni,and that is what has happened?Poleni sana.

Anyway,si kweli kwamba Bwana Yesu alianzisha Ukatoliki through Petro,huo ni udanganyifu wa Shetani.Kiukweli upo ushahidi mwingi wa Kibiblia,si maneno matupu na hewa unaothibitisha hili.Fuata link zifuatazo ili ujue ukweli huo.

Mkuu do not accept heresy.Nakushauri hivii, siku zote usikubali mapokeo, jifunze binafsi Biblia ujiridhishe kwamba unayoambiwa ni kweli.


Hii biblia tuliyo nayo na yenyewe siyo original, imeandikwa kutokana na mkusanyiko wa maandiko mengine ndo maana kuna mahali unakuta zimetajwa rejea, mfano, Je, haya hayakuandikwa kwenye kitabu fulani?

Kuna clip moja niliona jamaa anadai kwenye kitabu cha Enoch ambacho maandiko yake yamesheheni kwenye moja ya sura za biblia kuna mahali wameandika wazungu ni uzao wa demons. Sasa akawa anahoji, je, katika hali ya kawaida wazungu wanaweza kuruhusu huo mstari uingizwe kwenye biblia tuliyo nayo leo?​
 
Aisee hata mimi roho inakuwa nzito sana kuipokea ile sala tena katikati ya consecration yaani mageuzi linatajwa jina la anayeitetea dhambi, haya ni matusi makubwa mbele ya ekaristi TAKATIFU ba altare tukufu ya sakramenti
"Ekaristi TAKATIFU ya altare tukufu ya sakramenti." 👈All this jargon has nothing to do with God.Mmepotoshwa sana ndugu zetu,very sad.Come back to ground level,toeni matango pori yote,which I admit is difficult,but you have to do it anyway.Anzeni kujifunza Biblia upya as a matter of urgency,hatuna muda was kupoteza,Jesus Christ is soon coming back.

Ndugu zetu tunawaambia ukweli kwa kuwa tunawapenda,ingawa najua inauma.Why are we keen to tell you all this,first because Jesus Christ has commissioned us to to do this.But also because we want you to inherit the Kingdom of God.

Ndugu zetu Kanisa Katoliki is a total mess,heresy is everywhere.Labda ni hekima mjiulize,kama kweli Mungu yupo Dhehebu Katoliki,haya yametoka wapi.The truth is that Mungu hayupo hapo,angekuwepo nguvu za kuzimu zisingelishinda.Yanatokea kwa kuwa Mungu hayupo.

Finally, msidhani kwamba ni tatizo la Pope Francis tu,no,the Devil is in the Vatican.
 
Kama una amini ndiye huyu tu umeliwa.Since day one of the Catholic Church mlikuwa mmepigwa.The Catholic Church is Satan's creation.Baada ya Shetani kushindwa msalabani,alibuni kwanza Kanisa la Roma na baadae Uislam.Hivi unadhani Shetani ni mjinga kihivyo,ashindwe msalabani,halafu anyanyue mikono, no way.Kanisa la Roma ndicho kiti cha enzi cha Shetani mkuu.

Eeeh
 
"Ekaristi TAKATIFU ya altare tukufu ya sakramenti." 👈All this jargon has nothing to do with God.Mmepotoshwa sana ndugu zetu,very sad.Come back to ground level,toeni matango pori yote,which I admit is difficult,but you have to do it anyway.Anzeni kujifunza Biblia upya as a matter of urgency,hatuna muda was kupoteza,Jesus Christ is soon coming back.

Ndugu zetu tunawaambia ukweli kwa kuwa tunawapenda,ingawa najua inauma.Why are we keen to tell you all this,first because Jesus Christ has commissioned us to to do this.But also because we want you to inherit the Kingdom of God.

Ndugu zetu Kanisa Katoliki is a total mess,heresy is everywhere.Labda ni hekima mjiulize,kama kweli Mungu yupo Dhehebu Katoliki,haya yametoka wapi.The truth is that Mungu hayupo hapo,angekuwepo nguvu za kuzimu zisingelishinda.Yanatokea kwa kuwa Mungu hayupo.

Finally, msidhani kwamba ni tatizo la Pope Francis tu,no,the Devil is in the Vatican.
Una shida kubwa sana aisee, Nilidhani tunajifunza ila bado unang'ang'aniwa itikadi... Ninaifahamu bibliq kuliko unavyodhani ndugu na haya yakiwa ni masindano ya kuorodhesha vifungu vya biblia hatutaelewana kwa kuwa akili yako inaamini wakatoliki wote ni lazima wachomwe moto, yaani wakatoliki wao ni motoni moja kwa moja haijalishi watafanya nini ili mradi tu wamekuwa wakatoliki hawawezi kuukwepa moto. Haya ni mawazo ya kibinafsi Sana na hujui unachokifikia, laiti Kama Mungu angekuwa anawaza kama wewe hakika hakina mwanadamu angepona. Unasema naegemea kwenye mapokeo, kwani biblia siyo mapokeo? Zile si kumbukumbu zilizoandikwa na manabii na mitume? Au mapokeo yakoje ndugu?

Kama humuwazii jirani yako yaliyo mema hakika sahau kuhusu ufalme wa mbinguni, chuki na itikadi binafsi zimewatawala sana nyie wafuasi mashahidi wa yehiva na wasabato. Mna matatizo makubwa sana yani sio kidogo
 
Nakushangaa sana ujue,ingekuwa vema ukitoa comment yako uweke maandiko to authenticate your ideas.Hii inaonyesha kwamba either hujui maandiko au what you are presenting ni mawazo binafsi na hayawezi kuwa verified by the Word of God,and that is extremely dangerous.It seems unayoleta hapa ni mapokeo tu,that is verbal communication kutoka kwa viongozi wenu Pope,Cardinals,Maaskofu,Mapadre,Makatekista nk,sasa mtaawaaminije?Binadamu?Wenyewe ni vipofu Shetani amewapofusha,sasa kipofu akimuongaza kipofu mwenzie,si wote wataanguka shimoni,and that is what has happened?Poleni sana.

Anyway,si kweli kwamba Bwana Yesu alianzisha Ukatoliki through Petro,huo ni udanganyifu wa Shetani.Upo ushahidi mwingi wa Kibiblia unaothibitisha kwamba that is heresy,that is,ni maneno matupu na hewa .Fuata link zifuatazo ili ujue ukweli huo.

Mkuu nakushauri hivii, siku zote usikubali mapokeo,jifunze binafsi Biblia, ujiridhishe kwamba unayoambiwa ni kweli.


Una shida sana aisee! Unaita ekaristi takatifu ni jargon una uelewa mdogo saaana yani, assignment tafuta kwanza ekaristi takatifu imebeba ninu na ina maana gani ukielewa njoo niendelee kukupa nondo na tutafija huko huko kwenye vifungu vya biblia unavyotaka. Ila kaka hutoraka kujua maana ya ekaristi takatifu naomba niishie hapa sitajibu komenti yako yoyote
 
Una shida sana aisee! Unaita ekaristi takatifu ni jargon una uelewa mdogo saaana yani, assignment tafuta kwanza ekaristi takatifu imebeba ninu na ina maana gani ukielewa njoo niendelee kukupa nondo na tutafija huko huko kwenye vifungu vya biblia unavyotaka. Ila kaka hutoraka kujua maana ya ekaristi takatifu naomba niishie hapa sitajibu komenti yako yoyote
Mkuu nimesema kila unalofanya lazima lipate kibali cha Biblia.Nakupa 1000 years unipe maandiko yanayohalalisha Ekaristi. Please go ahead.
 
Mkuu nimesema kila unalofanya lazima lipate kibali cha Biblia.Nakupa 1000 years unipe maandiko yanayohalalisha Ekaristi. Please go ahead.
Ndiyo maana nikasema elimu yako ni ndogo sana, jitahidi ufahamu ekaristi ni nini na imebeba nini ndo uje niendelee kukufundisha taratibu... La sivyo sina cha kukusaidia zaidi
 
Ndiyo maana nikasema elimu yako ni ndogo sana, jitahidi ufahamu ekaristi ni nini na imebeba nini ndo uje niendelee kukufundisha taratibu... La sivyo sina cha kukusaidia zaidi
Unazungumzia elimu gani,mapokeo?Siyahitaji mkuu,kaa nayo.
 
Umeikuta, ukarithishwa, ukaingia mzima mzima, ni dinj yao, wewe haikuhusu, ujinga wako kiimani na waliokurithisha ndio lawama.
Rudi kwenye kutambika mizimu. Full stop.
 
Maria anaabudiwa, na mnaomba kupitia Maria.
Hapa hakuna haja ya malumbano, inawezekana hiyo ndiyo hoja uliyowajengea waumini wenzako, sasa ukaona ikikanushwa utakosa hoja. Kila mtu afuate utaratibu wake, hakuna haja ya kuchungulia kwa jirani wanafanya nini, hiyo itakuwa sio imani bali umbea. Imani ni kushika unachosadiki, sio kupinga wanachosadiki wengine, Kuna watu mnaombewa na wachungaji, hakuna anayehoji kuwa mnawaabudu. Kuna watu mnatembea na maji na mafuta ya upako, hakuna anayewashutumu kuwa mnaabudu sanamu! Lakini ninyi kutwa kucha ni kuangalia RC wanafanya nini ili mpate neno la kuhubiri!
 
Unazungumzia elimu gani,mapokeo?Siyahitaji mkuu,kaa nayo.
Hata ya msingi, sekondari, chuo kikuu nk ni mapokeo. Kama hutaki elimu, baki na ujinga
Education is the transmission of knowledge, skills, and character traits. - Wikipedia
 
Wakatoriki ndio walionitambulisha katika Ukristo.
Bila wao ningekuwa Mwislamu.

Ndio walionitambulisha kwa Yesu Kristo Mungu Mkuu na Mwokozi wetu.

Tito (Tit) 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;

Nawaheshimu sana Wakatoriki wamenileta kwa Kristo Yesu. Sina cha kuwalipa.

Na sina cha kuwakosoa.
Sisi wote tumetenda dhambi na hakuna mkamilifu.

Warumi (Rom) 3:10
kama ilivyoandikwa, ya kwamba, Hakuna mwenye haki hata mmoja.

Bila Wakatoriki leo ningekuwa Naswali na Majini.

Asante sana Roman Catholic.
Mmefanya kazi kubwa ya kuwaleta kondoo walipotea kwa Kristo Yesu.

Mmetuepusha na hadaa za Ibirisi Rusifer na Malaika zake Majini.

Mmetuweka njiani tukielekea uliko Ufalme wa Mbingu.

Na mwisho wake tutapata zawadi yaani zawadi kupita zawadi zote kuwahi kuahidiwa.

Zawadi ya kuwa Wana wa Mungu aliyeumba Mbingu na Nchi na vyote katika Ulimwengu wa Kimwili na wa Kiroho.

Tunasema Aaaamen.

Case Closed
 
Hii haikuhusu wewe mlokole ambaye hauna ushirika yaani mchungaji wako akifa na kanisa linakufa wala wewe msabato ambaye tumaini lako katika wokovu linategemea mahubiri ya mabaya ya kanisa

  
Wapendwa katika bwana TUMSIFU YESU KRISTU
Bwana Yesu alisema
"
Mathayo 10:16
Angalieni, mimi nawatuma kama kondoo kati ya mbwa-mwitu; basi iweni na busara kama nyoka, na kuwa watu wapole kama hua.

Naam na yale yote aliyosema yeye yametukia katika vipindi mbalimbali ndani ya kanisa

Kwa karne nyingi, kanisa Katoliki limekuwa likiongozwa na Papa, ambaye alikuwa ishara ya wema kama Kristo na sauti muhimu ya maadili kwa baadhi ya masuala muhimu zaidi ya kisiasa na kijamii duniani. Walakini, licha ya sifa yao ya kuwa mshiriki mwadilifu na mwenye maadili katika ulimwengu wa Kikatoliki, hii haijawahi kuwa hivyo kila wakati.
Leo ninakuletea baadhi ya mapapa waovu kuwahi kutokea katika kanisa kama ulidhani papa Fransisi ni muovu wa kwanza

Yohana XII
Tangu kutwaa uongozi akiwa na umri wa miaka kumi na minane tu, haungekuwa mwanzo mzuri kwa Papa John XII. Moyo wake mchanga haukuwa tayari kwa maisha ya Papa na hivi karibuni alibadilisha makazi yake kuwa danguro. Akienda chini zaidi kwenye shimo la sungura, alishiriki katika kuua, kushawishi pepo, na hata kufanya ngono na dada zake. Uzinzi wake uliishia kuwa kifo chake hata hivyo baada ya mume kumshika mke wake kitandani na John XII na kumpiga papa vibaya sana, kwamba alikufa siku tatu baadaye kutokana na majeraha yake.

(Kuna filamu inaitwa Young pope, itazame)

Boniface VIII
Nukuu maarufu na ya kuogofya ya Boniface VIII ilikuwa kwamba watoto wadogo hawakuwa na tatizo zaidi ya “kusugua mkono mmoja dhidi ya mwingine.” Alichaguliwa mnamo 1294, Boniface VIII alianzisha safu ya sanamu kuzunguka jiji hilo na hata kuharibu jiji la Palestrina kwa ugomvi wa kibinafsi. Alikuwa na sifa ya ukaidi na ustadi wa kuanzisha mapigano.

Benedict IX
Benedict IX alikuwa papa katika matukio 3 tofauti wakati wa uhai wake, na ya kwanza ikiwa ni alipokuwa na umri wa miaka 12 tu. Alikua mvulana mwovu na alikimbia kutoka kwenye nafasi hiyo na kujificha ndani ya jiji wakati wapinzani wa kisiasa walipojaribu kumuua. Katika muda kati ya utawala wake, alianza kuiba, kuua na kufanya ‘matendo mengine yasiyosemeka’ katika jiji lote. Akawa papa tena mnamo 1045, ambayo ilidumu miezi 2 tu kabla ya mtu kumlipa kuondoka. Miaka miwili baada ya kuondoka kwa mara ya pili, alijaribu tena, na kudumu miezi minane pekee wakati huu kabla ya hatimaye kufukuzwa na kutorejea tena.

Alexander VI
Alianza na upapa wake kwa kishindo cha kukaidi, akipata tu nafasi ya Papa kwa kuwahonga makadinali wenzake. Kabla ya kuwa Papa, alikuwa mwanachama wa Borgias, familia ya uhalifu ya Italia, na mtazamo wake haukubadilika baada ya kuwa Papa. Wakati wake, njama nyingi na ukosefu wa uaminifu ulimzunguka na maamuzi yake. Pamoja na kuwa papa mjuzi katika siasa, pia alikuwa mzinzi. Alizaa watoto wasiopungua tisa ambao tunawafahamu na alikuwa maarufu kwa kuandaa karamu nyingi katika kipindi chote cha utawala wake, huku mmoja akiitwa 'Joust of Whores.' Anazidi kuwa mbaya zaidi unapoona ripoti nyingi ambapo Alexander VI alifanya ngono na jamaa. binti yake, Lucrezia.
Sergius III
Sergius III hakumuua tu Papa kabla yake, lakini pia alimuua papa kabla ya hapo, akiweka wakati wa kuwasili kwake kutawala kikamilifu. Kisha alitumia uwezo wake kumweka mtoto wake, Papa John XI (young Pope), aliyezaa na bibi yake kahaba mwenye umri wa miaka 15, kuwa Papa miaka ishirini baada yake.

Leo X
Leo X ni maarufu kwa matumizi yake ya kifahari wakati wa utawala wake, na kuwa mlezi wa sanaa ambaye aliagiza kujengwa upya kwa Basilica ya St. Baada ya pochi ya kanisa kuwa nyepesi kidogo, Leo X kisha akawashawishi waumini wangeweza kununua njia yao ya kwenda mbinguni, kwa kuuza msamaha ambao ungepunguza dhambi zao (mshenzi sana huyu).

Stephen VI
Papa huyu alianza enzi yake kwa maonyesho mabaya, akimchimbua mtangulizi wake, Papa Formosus, na kuonyesha maiti yake kuhukumiwa. Mwili mlegevu wa Formosus uliimarishwa kwenye kiti cha enzi huku Stephen VI akipiga kelele kwa maswali ambayo hayajajibiwa, akimshutumu kwa kukufuru wakati wa ukuu wake. Haishangazi, papa aliyekufa alipoteza, na mwili wake ukatupwa kwenye Mto Tiber. Hata hivyo, baadaye mwili huo ulitolewa mtoni na kuzikwa ipasavyo na wafuasi wa Formosus. Stephen VI baadaye alifungwa na kunyongwa hadi kufa na wafuasi wa Formosus.

Kwa baadhi tu ni hao lakini wapo wengi sana mapapa waovu ambao walilipaka kinyeai na kuinajisi taswira ya kanisa ila kanisa limesimama na litasimama hadi miisho ya dunia

Angalieni upumbavu wa papa Fransisi;
Papa Francis amemvua uaskofu rasmi Askofu Joseph Strickland wa Tyler, Texas kwa kuwa "Mkatoliki kupita kiasi."

“Licha ya kuonywa mara kwa mara, Askofu Strickland alikataa kuacha kuwa Mkatoliki,” alisema Papa Francis. "Alishikilia kwa uthabiti fundisho la Kikatoliki, na hakuna nafasi kwa hilo katika Kanisa Katoliki la leo."

Kulingana na vyanzo, Askofu Strickland hapo awali alikasirisha Vatican kutokana na vipindi vingi vya yeye kukiri imani ya Kikatoliki hadharani. "Askofu Strickland alikuwa na ujasiri wa ajabu wa kufundisha Katekisimu ya Kanisa Katoliki," Kardinali Robert McElroy alisema. "Kama, hata sehemu zisizopendwa sana kuhusu jinsia na ndoa. Mambo hayo ni hivyo - Papa alisemaje - 'nyuma na nje ya kuguswa'! Hata hivyo, Papa Francis alitaka kuhakikisha kuwa Wakatoliki wote huko nje wanashikilia kwa nguvu. kwa mafundisho ya Kanisa wanapopambana na utamaduni unaozidi kuwa na uadui wanajua jinsi walivyo peke yao kweli."

Hata baada ya mawaidha mengi kutoka kwa Vatikani, Askofu Strickland alichagua kuthibitisha mafundisho ya kimahakimu ya Kanisa Katoliki badala ya kukubali itikadi kuu ya kitamaduni. Katika jitihada ya kufanya mashtaka dhidi ya Strickland kuwa ya kejeli iwezekanavyo, Vatikani ilimshutumu Askofu Strickland kwa kuchagua itikadi za kitamaduni badala ya mafundisho ya Kanisa Katoliki. "Kicheshi kweli ni kitamu, sivyo?" Alisema Papa Francis akitabasamu. "Ni kama nilipopiga marufuku kusherehekea Misa ya Kilatini, ikidaiwa kuwa kwa ajili ya umoja wa kanisa - wakati Misa ya Kilatini bila shaka ni njia ya kuunganisha Wakatoliki katika vizazi na tamaduni. Pia, parokia hizo za Misa ya Kilatini zilikuwa zikikua - ilibidi katika chipukizi."

Wakati wa uchapishaji, Wakatoliki walikuwa wamekumbuka kwamba historia ya Kanisa ilikuwa imejaa Mapapa wakorofi ambao kwa hakika waliwachoma moto watu kwa kuwa Wakatoliki kupita kiasi, lakini milango ya Kuzimu haitamshinda bibi-arusi wa Kristo.

Yawezekana papa Fransisi ni shoga au ana maslahi na ushoga, haya mambo tulikuwa tunayashangaa kwa waanglikana na walutheri na hata walokole wa magharibi kuhusu kulegeza Sheria najisi zinazopingana na ukristu Sasa nasi yametufika. Ulimwengu haujaisha huu ushawishi wa kishetani utaenda na kufika hata katika jamii za waadventista na waislamu, muda utasema tu (Niliwahi kusoma makala moja kuhusu msikiti wa mashoga ujerumani)

Hivyo wapendwa katika Kristu msife moyo maana shetani halali anapotaka kutawanya huja hata Kati yetu Jambo la pekee ni kujua kuwa KRISTU YEAU NDIYE TUMAINI LETU

Yohana 16:33
Hayo nimewaambieni mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo; mimi nimeushinda ulimwengu.
Huyu Papa atakuwa kashukiwa na shetani kama Mohammed tu, hizi dini za michongo ni shida tupu tu kwetu Waafrika
 
Waislam wasicheke ukatoliki ukibondwabondwa, hata wao soon wanakutwa, hawana pa kujificha, wasioone dini yao haitaguswa na upepo huu, tayari wameshanasa kwenye nyavu za shetani. Ni suala la muda tu tutaona abrakadabra za kishetani zikitawala huko
 
Hii ni vita kati ya Illuminati na Jesuits na haikuanza leo.

BBC ni kama media tu inayotumika kupigana vita hii kueneza propaganda za Illuminati na kupotosha kauli za Papa.

Wajinga wengi mtaingizwa mkenge sana na BBC wakati kanisa lao church of England (Anglican) limehalalisha ndoa za jinsia moja hawana ugomvi nalo, sasa mgomvi wao ni Vatican ambayo IPO against na Illuminati.
Ina maana wana mzushia?[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Hata ya msingi, sekondari, chuo kikuu nk ni mapokeo. Kama hutaki elimu, baki na ujinga
Education is the transmission of knowledge, skills, and character traits. - Wikipedia
Sio kwenye swala linalomhusu Mungu mkuu,unalinganisha the incomparable.Unayo Biblia,mapokeo ya nini?Hivi mmeshindwa kuona kabisa kwamba the so called mapokea ni mpango wa Shetani wa kuingiza mafundisho ya uongo?Bwana Yesu kayakataa(Marko 7:6-9),ninyi mnayang'ang'ania nini?But exactly who are you worshipping.Satan no doubt.Ninyi obviously also ni wa tania ya asili,ndio maana inakuwa vigumu sana kuelewa Neno la Mungu.

Katika 1 Wakorintho 2:14,Neno la Mungu linasema,
14 Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni.

Na kuhusu mapokeo Neno la Mungu linasema,
Marko 7:6-9
6 Akawaambia, Isaya alitabiri vema juu yenu ninyi wanafiki, kama ilivyoandikwa, Watu hawa huniheshimu kwa midomo Ila mioyo yao iko mbali nami;
7 Nao waniabudu bure, Wakifundisha mafundisho Yaliyo maagizo ya wanadamu,
8 Ninyi mwaiacha amri ya Mungu, na kuyashika mapokeo ya wanadamu.
9 Akawaambia, Vema! Mwaikataa amri ya Mungu mpate kuyashika mapokeo yenu.
 
Waumini wanalalamika,Papa Francis anataka mashoga wasamehewe,na watu wengine waovu wasamehewe,hata kama Msahafu unasema wazi kabisa kwamba watu kama hao wasivumiliwe.
Now please note Papa anasema nini.
Papa anasema yeye ni Papa,na hataruhusu watu wasiofuata maadili yaliyobainishwa wazi katika Msahafu waendekezwe,nao watu wanaomshinikiza akumbatie watenda dhambi ni wahalifu.
Unaona vurugu katika Kanisa; hawa wanasema Papa corrupt. Papa anasema hao watu ni corrupt.
Ndio maana Israel inasema huko Vatican kuna "linguistic ambiguity".
Watu wanaongea very impressive intellectual concepts,but they are saying nothing.
Kwa hiyo kuna ubishi,ubishi ambao umepunguka kidogo in the past 24 hours kwa sababu watu wanatishiwa maisha. Watu wanaobishana na Pope wanatishiwa maisha.
What are the extenuating circumstances of the crime? What are the mitigating circumstances of the crime is at the heart of the argument.
Wanatishiwa maisha vipi? Ile no system ya Kahal ya Wayahudi ; yule mtu anaqmbiwa"Ndugu yako anamtukana Pope. We humsikii ndugu yako anavyomtukana Pope. Sasa,nenda wewe mwenyewe ukamuue ndugu yako. Wewe labda utamuua kifo cha huruma. Lakini sisi hatutamuua kifo cha kistaarabu"
Yaani,ni mazingara gani ambayo yanafanya kosa lisisameheke kabisa? Ni mazingara gani yanayosababisha confessor amhurumie mtenda dhambi?
 
Back
Top Bottom