UKWELI MCHUNGU: Wakatoliki wenzangu Papa Francis ni mjumbe wa shetani ndani ya kanisa

Wewe si Mkatoliki.Nakupa pole sana Kwasababu unatumia nguvu nyingi sana kwa kitu ambacho kipo out of your Control;Kanisa Katoliki umezaliwa ukalikuta utakufa utaliacha likiendelea kushine,Papa Francis ni mteule wa Mungu mwenyewe wewe hutaweza kumuangusha.Kashfa km hizo wewe si wa kwanza kuzizusha,Soma Vizuri Historia ya Kanisa Katoliki utajionea jinsi Kanisa na Viongozi wake walivyozushiwa kila aina ya ubaya,lkn cha kujiuliza kwanini hadi leo Kanisa Katoliki bado lipo?,na ndio linaongoza kwa kuwa na Wafuasi wengi?,Kwamba wote hao hawana akili?,Aisee!!,Nguvu ya Mungu ni kubwa kuliko unavyodhani,hili Kanisa liache km lilivyo hutaweza kuliyumbisha wala Viongozi wake.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Umeona eenhh?!!.Wewe jamaa ni Kichwa,Achana na huyu mleta uzi Kichwa cha panzi.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Mbona tuhuma nzito sana unaweza kusibitisha maneno yako
Lakin ndg ww km ni mkiristo og si ulishaambiwa na kufundishwa usifate matendo ya mtumishi ila fuata maneno ya Mungu

Papa ni binaadamu anaweza rubuniwa na akatoka kwenye misingi ya dini ila ww si unaijua misingi ya dini bas ifuate na endapo utaona misingi ya kanisa nayo inapindishwa bas badili dini au tetea
 
Mlei wa kawaida hawezi kuyajua yote haya, wewe utakuwa padre-mshindwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ni mlei wa kawaida tu aisee😁😁😁
Na kikombe ukasisi kinipitie mvali kwa kweli sikiwezi sitaki dhambi za kujumua
 
Ina maana taarifa zilizotolewa ni za uongo? Na kama ni za uongo kwanini hao BBC wasishtakiwe na kuwajibishwa kwa kupotosha ulimwengu ukizingatia hatua ya kimaendeleo iliyopo huku dunia ya kwanza?
Kanisa Katoliki haliwezi kufanya hivyo,na likifanya hivyo mtahoji pia na kulizodoa,Binamu hawana jema.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Kanisa tayari Lina miongozo yake
Papa ni msimamizi wa miongozo hio!
Imani ya Kanisa haibebwi na papa!
Papa akipotoka na kuenenda vibaya hio ni binafsi yake na Roho yake, Ila Kanisa linabaki kuwa Takatifu
Ni sawa na Rais katika Taifa lenye Katiba yake
Sera ya Rais na Chama chake ikiwa mbovu haimaanishi Taifa mbovu na Raia wake Ni wabovu
 
Mungu atupe Roho wake tusome maaandiko sana.
 
Unauhakika kati ya papa na kanisa nani shetani?

Toka nje ya boksi......papa anaweza kulishawishi kanisa au kanisa ndio linashida?
Kama wewe sio mkatoliki achana na mimi
 
Unauhakika kati ya papa na kanisa nani shetani?

Toka nje ya boksi......papa anaweza kulishawishi kanisa au kanisa ndio linashida?
Kama wewe sio mkatoliki achana na mimi
 
Speaking of kunena kwa lugha zile shakarabaabaaaa ndorobooo ndio kunena kwa lugha?
 
Mathayo 7: 1 Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi.


Yohane 16: 33 Hayo nimewaambieni mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo; mimi nimeushinda ulimwengu.
Mathayo 7:1 inamaliza kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…