UKWELI MCHUNGU: Wakatoliki wenzangu Papa Francis ni mjumbe wa shetani ndani ya kanisa

UKWELI MCHUNGU: Wakatoliki wenzangu Papa Francis ni mjumbe wa shetani ndani ya kanisa

Necromancy.
Ajabu Sana mtu kulioia Mfuko wa Cement uliopakwa rangi umfanyie wepesi
Kama huwezi kujibu Swali linaloulizwa kwanini hukai kimya ndugu.
Mimi Nawaliza Wakatoriki Mwanamke anayeitwa Maria wamemtoa wapi ?
Kwakuwa hayupo kwenye Injiri ya Yesu Kristo.
 
Swali kwa Wakatoriki.

Mama wa Yesu ambaye aliolewa na Yusufu jina lake ni Mariam.

Mathayo (Mat) 1:16
Yakobo akamzaa Yusufu mumewe Mariamu aliyemzaa YESU aitwaye Kristo.

Luka (Luk) 1:30
Malaika akamwambia, Usiogope, Mariamu, kwa maana umepata neema kwa Mungu.

Katika kila Ibada ya Wakatoriki iwe ya mtu mmoja au wawili au watatu au Jumuiya au Kanisani ni lazima katika sala atajwe mwanamke anayeitwa Maria.
Tena inaenda mbali mpaka anaimbiwa nyimbo za kumtukuza atasikia.

" Salamu Maria eeh mamaa, salamu Maria eeeeeh"

Inaenda mbali hadi katika kila kanisa ni lazima iwekwe sanamu zaidi ya moja ya huyo mwanamke aitwae Maria.

Inaenda mbali mpaka sanamu hiyo inasujudiwa na waumini na kuwekwa mbele ya mimbari huku waumini wakisali kwa kuitizama na kuomba kusamehewa dhambi.

Nimeisoma Injiri Yesu kuanzia Mathayo hadi Ufunuo wa Yohana sijawahi kuliona jina la Maria, katika Biblia zote.

Nimesoma Qurani hakuna Aya inamtaja mwanamke aitwaye Maria Bali inamtaja Mariam tena imempa sura nzima ingawa inamtaja kwa makosa makosa ila inamaanisha Mariam Mama wa Yesu.
فَأَتَتْ بِهِ قَوْمَهَا تَحْمِلُهُ ۖ قَالُوا يَا مَرْيَمُ لَقَدْ جِئْتِ شَيْئًا فَرِيًّا

(MARYAM - 27)
Akenda naye (mwanawe) kwa jamaa zake amembeba. Wakasema: Ewe Maryamu! Hakika umeleta kitu cha ajabu!

Swali naliwauliza Wakatoriki.

Huyo Maria ni nani ?

Wakatoriki Naomba Jibu Tafadharini
 
Kama huwezi kujibu Swali linaloulizwa kwanini hukai kimya ndugu.
Mimi Nawaliza Wakatoriki Mwanamke anayeitwa Maria wamemtoa wapi ?
Kwakuwa hayupo kwenye Injiri ya Yesu Kristo.
We nawe pita kushoto
 
Mathayo 7: 1 Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi.


Yohane 16: 33 Hayo nimewaambieni mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo; mimi nimeushinda ulimwengu
Hebu madam fafanua kidogo maana naona hapa Kuna lishoga limefurahia kweli mathayo 7:1
 
Hii ni vita kati ya Illuminati na Jesuits na haikuanza leo.

BBC ni kama media tu inayotumika kupigana vita hii kueneza propaganda za Illuminati na kupotosha kauli za Papa.

Wajinga wengi mtaingizwa mkenge sana na BBC wakati kanisa lao church of England (Anglican) limehalalisha ndoa za jinsia moja hawana ugomvi nalo, sasa mgomvi wao ni Vatican ambayo IPO against na Illuminati.
BBC ni shirika la serikali ya Uingereza ambayo inapigana na Catholic church. Mfalme au Malkia wa Uingereza ndio huwa anakuwa mkuu wa kanisa lao la Anglican. Kanisa lao limepitisha ndoa za jinsia moja kabisa na huwa linazifungisha ila huwezi ona BBC Swahili wanasema hilo.

BBC Swahili kila siku ni kufanya spinning dhidi ya Katoliki utadhani hawana akili timamu. Tafsiri zao ambazo baadae huomba radhi na kujifanya wamekosea huwa zinakuwa tata siku zote. Sijui staff ya BBC Swahili imejaa waandishi wa zamani wa Udaku
 
Kanisa tayari Lina miongozo yake
Papa ni msimamizi wa miongozo hio!
Imani ya Kanisa haibebwi na papa!
Papa akipotoka na kuenenda vibaya hio ni binafsi yake na Roho yake, Ila Kanisa linabaki kuwa Takatifu
Ni sawa na Rais katika Taifa lenye Katiba yake
Sera ya Rais na Chama chake ikiwa mbovu haimaanishi Taifa mbovu na Raia wake Ni wabovu
Asante sana mkuu.Umemaliza.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Acha mihemko mdogo wangu, hawa watumishi nao ni watu Kama wewe na wanatenda dhambi Kama wewe, ni ukweli usiopingika hakuna atajayeharibu misingi ya kanisa KATOLIKI
Hayo Mengine yote hayana Maana,isipokuwa hayo Maneno ya mwishoni.Nakuomba uyapigie mstari kabisa.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom