Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja mkuuI like your mentality
Nadhani humu peke yako ndo unanielewa
Anasema wewe ni shota nmekosea wewe show-gaHebu sema tyuuh, hata usiogopee.
Unasemaje gugo?Anayebisha si asachi tu gugo
Kama huwezi kujibu Swali linaloulizwa kwanini hukai kimya ndugu.Necromancy.
Ajabu Sana mtu kulioia Mfuko wa Cement uliopakwa rangi umfanyie wepesi
Kiranga unaitwa hukuCc.kiranga
Hebu madam fafanua kidogo maana naona hapa Kuna lishoga limefurahia kweli mathayo 7:1Mathayo 7: 1 Msihukumu, msije mkahukumiwa ninyi.
Yohane 16: 33 Hayo nimewaambieni mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo; mimi nimeushinda ulimwengu
BBC ni shirika la serikali ya Uingereza ambayo inapigana na Catholic church. Mfalme au Malkia wa Uingereza ndio huwa anakuwa mkuu wa kanisa lao la Anglican. Kanisa lao limepitisha ndoa za jinsia moja kabisa na huwa linazifungisha ila huwezi ona BBC Swahili wanasema hilo.Hii ni vita kati ya Illuminati na Jesuits na haikuanza leo.
BBC ni kama media tu inayotumika kupigana vita hii kueneza propaganda za Illuminati na kupotosha kauli za Papa.
Wajinga wengi mtaingizwa mkenge sana na BBC wakati kanisa lao church of England (Anglican) limehalalisha ndoa za jinsia moja hawana ugomvi nalo, sasa mgomvi wao ni Vatican ambayo IPO against na Illuminati.
Kama mtu asipomeet expectations zako haimaanishi vile unavyomfiriaUmeona eenhh?!!.Wewe jamaa ni Kichwa,Achana na huyu mleta uzi Kichwa cha panzi.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Aliyekuambia uninukuu ni Nani?We nawe pita kushoto
Asante sana mkuu.Umemaliza.Kanisa tayari Lina miongozo yake
Papa ni msimamizi wa miongozo hio!
Imani ya Kanisa haibebwi na papa!
Papa akipotoka na kuenenda vibaya hio ni binafsi yake na Roho yake, Ila Kanisa linabaki kuwa Takatifu
Ni sawa na Rais katika Taifa lenye Katiba yake
Sera ya Rais na Chama chake ikiwa mbovu haimaanishi Taifa mbovu na Raia wake Ni wabovu
Na wewe ni nani?ila mauzauza ya kanisa katoliki hata shetani anayaogopa, huyu alexander vi alikuwa pepo kabisa
Hey mapungufu tunayakubali na kuombea toba ila dhambi inang'ang'aniwa ionekane ni halaliWewe huna Mapungufu?.Una utakatifu kiasi gani?.Achana Ujinga wewe.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Hayo Mengine yote hayana Maana,isipokuwa hayo Maneno ya mwishoni.Nakuomba uyapigie mstari kabisa.Acha mihemko mdogo wangu, hawa watumishi nao ni watu Kama wewe na wanatenda dhambi Kama wewe, ni ukweli usiopingika hakuna atajayeharibu misingi ya kanisa KATOLIKI
Wee ndio kusema kwamba King Chale ni show-ga hana Malinda?Mfalme au Malkia wa Uingereza ndio huwa anakuwa mkuu wa kanisa lao la Anglican.