Mdakuzi
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,294
- 6,872
Tunaamini kwamba Mungu alichagua wateule, akawapa wito mtakatifu ili awaokoe kondoo wake.Kama una hakika kwamba imani yako ni ya kweli,you must share it,ndivyo Mungu alivyoamuru.
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaamini kwamba Mungu alichagua wateule, akawapa wito mtakatifu ili awaokoe kondoo wake.Kama una hakika kwamba imani yako ni ya kweli,you must share it,ndivyo Mungu alivyoamuru.
Hekima zako kama Suleimani, acha uendelee kuwa namba 1 b…B..., ni bahati mbaya haya mambo ya imani nayaogopa sana kuyawekea maoni yangu binafsi hadharani, kwa kuwa yameshika hisia za wengi.
Maoni yangu yoyote hapa sasa hivi, yanaweza kupindua imani ya mtu fulani mahali ambaye tangu awe duniani amekuwa akiishika.
Na iwe bahati mbaya kuwa, maoni yangu yawe yalipotosha mahali. Naogopa sana.
Ova
Mkuu hiyo sio kazi Mungu aliyotupa kwa wenye dhambi.Kazi aliyotupa Mungu ni kuwaombea ili wamjue Mungu,watubu na kuokolewa,ili hatimaye nao waurithi Ufalme wa Mungu.I wish Donald Trump arejee madarakani dunia itabadilika sana. Mashoga watauliwa mchana kweupe.
Hekima yake ni ya kibinadamu mkuu.Hekima ya Mungu ni hii👇Hekima zako kama Suleimani, acha uendelee kuwa namba 1 b…
Mkuu umepotosha.Ni hivii,Mungu yupo na Bwana Yesu ameasulubiwa msalabani ili atuokoe Mimi na wewe kutoka kwenye milki ya Shetani,and you as an individual must accept him as your personal Saviour, ili urithi Ufalme wa Mungu.Huo ndio ukweli.Unaona tatizo lako lilipo? Mimi nineishi ulaya kwa kitambo unaandika uhalisia, wewe upo kwenu Kimanzichana una angalia clip YouTube unataka kubishana na Mimi?
Ulaya makanisa ni wanakwenda wazee na si kwamba vijana wanajiunga na Uislamu Bali wanaojuwa ukweli kwamba dini project za watu tu hili wazungu wanalijuwa vizuri na wameshajikombowa nalo.
Ukiona kijana wa Kizungu ni religion Man basi ujuwe ni sehemu yake ya maisha kwenye organisation zao za kukusanya pesa.
Wewe ni mtoto wa shetani, hujui ulichoandikaKanisa katoliki lilishamwacha Munguw a kweli karne nyingi sana zilizopita, na kilichobaki huwa wanaabudu tu wafu, maria na dini. hawaamini katika uongozi wa Roho Mtakatifu kwasababu hawajazwi na hawataki kujazwa Roho, bila Roho hakuna wokovu wa kweli. wanakataa kuokoka kwa kuamini kwamba mwanadamu hawezi kuokoka wakati bado anaishi hapa duniani.
ajabu yake, kitabu cha Matendo kinaeleza namna ukristo wa kwanza ulivyokuwa, kina sema "Bwana akaliongeza kanisa kwa wale waliokuwa wakiokolewa", which means, wokovu upo hapahapa duniani na mbinguni ni kumalizia tu milele, na maana ya wovovu ni kuokolewa kutoka kwenye utawala wa dhambi na vifungo mbalimbali na kupelekwa kwenye ufalme/utawala wa kiMungu kwa Yesu Kristo. unaishi sio wewe tena bali kama mali ya Kristo, yeye kama mwombezi wako na mwokozi wako.
kanisa la kwanza hawajawahi hata mara moja kuomba kwa maria, wala kwa wafu. angalia kitabu cha Matendo chote, hakuna kitu kama hicho, kanisa la kwanza watu wakihubiriwa na kuokoka, walikuwa wanawekewa mikono na kupokea ujazo wa Roho Mtakatifu kwasababu Yesu alisema peke yenu hamuwezi kufanya lolote bila huyo msaidizi. Yesu mwenyewe alipokaribia kuondoka, alitoa agizo kuu la kuhubiri njili kwa kila kiumbe dunia yote, aaminiye na kubatizwa ndiye ataokoka, asiye amini atahukumiwa, na ishara hizi zitaambatana na wale waaminio, kwa JIna langu wata toa pepo, watasema kwa lugha mpya....., (meaning watanena kwa lugha), makanisa mengi kama katoliki hata sabato na mengine hawaamini kunena kwa Lugha kama ni udhihirisho wa ujazo wa Roho Mtakatifu.
unakumbuka Paulo alichofanya kule Efeso? MATENDO 19
Wakati Apolo alipokuwa Korintho, Paulo alisafiri sehemu za bara, akafika Efeso ambako aliwakuta wanafunzi kadhaa. 2Akauliza, “Je, mlipopata kuwa waumini mlipokea Roho Mtakatifu?” Nao wakamjibu, “La! Hata hatujasikia kwamba kuna Roho Mtakatifu.” 3Naye akasema, “Sasa mlipata ubatizo wa namna gani?” Wakamjibu, “Ubatizo wa Yohana.” 4Naye Paulo akasema, “Ubatizo wa Yohana ulikuwa wa kuonesha kwamba watu wametubu. Yohana aliwaambia watu wamwamini yule ambaye alikuwa anakuja baada yake, yaani Yesu.” 5Baada ya kusikia hayo, walibatizwa kwa jina la Bwana Yesu. 6Basi, Paulo akawawekea mikono, na Roho Mtakatifu akawashukia, wakaanza kusema lugha ngeni na kutangaza ujumbe wa Mungu.
ukiona kanisa lolote halitembei kwenye imani hii hapa juu, jua ni kanisa potofu. la kwanza ni katoliki, wasabato, mitume na manabii, lutheran na wengine wote wanaofanana na hao.(though wapo wachache ndani yake kama wale wana uamsho na fellowship hao huwa wanakutana na Mungu tofauti na wale wanaong'ang'ania katekisimo hadi leo wanaabudu dini na hawatakuja kumwona Mungu kwa mfumo huo).
Naunga mkono hoja. Mambo haya hayajaanza leo. Soma hapa:Mbona tuhuma nzito sana unaweza kusibitisha maneno yako
Lakin ndg ww km ni mkiristo og si ulishaambiwa na kufundishwa usifate matendo ya mtumishi ila fuata maneno ya Mungu
Papa ni binaadamu anaweza rubuniwa na akatoka kwenye misingi ya dini ila ww si unaijua misingi ya dini bas ifuate na endapo utaona misingi ya kanisa nayo inapindishwa bas badili dini au tetea
Mkuu kama hizo ni propaganda ni wapi kanisa limekanusha hizo habari?Hii ni vita kati ya Illuminati na Jesuits na haikuanza leo.
BBC ni kama media tu inayotumika kupigana vita hii kueneza propaganda za Illuminati na kupotosha kauli za Papa.
Wajinga wengi mtaingizwa mkenge sana na BBC wakati kanisa lao church of England (Anglican) limehalalisha ndoa za jinsia moja hawana ugomvi nalo, sasa mgomvi wao ni Vatican ambayo IPO against na Illuminati.
Wacha kutafuta cheap popularity kwa kujiita Mkatoliki......Sawa??Mkuu kama hizo ni propaganda ni wapi kanisa limekanusha hizo habari?
Tuambie wewe unaejua Askofu katimuliwa Kwa kosa Gani ? Ulete na chanzo Cha taarifa zako.
NB:Mimi mwenyew ni rc nimebatizwa,kumnyo,kipaimara handi ndoa. Zote rc na najua mafundishi yote.
Nikusaidie tafuta kitabu kinaitwa history ya kanisa kimeandikwa na Gregory kama sijamkosea soma humo utakuta aliyo yasema hayo yte mfano watu kuuziwa msamaha alifanya papa Leo.
Ubatizo wa kunyunyuzia maji utapata humo pamoja na sababu zake zote! Hata hizi sanamu za bikira maria nk utakuta zimo humo. Unaposoma kitabu hiki uwe na Imani kweli kweli na kanisa iwapi ukikikoswa nitafta nikuelekeze utakapo kipata.
Etiiii????B..., ni bahati mbaya haya mambo ya imani nayaogopa sana kuyawekea maoni yangu binafsi hadharani, kwa kuwa yameshika hisia za wengi.
Maoni yangu yoyote hapa sasa hivi, yanaweza kupindua imani ya mtu fulani mahali ambaye tangu awe duniani amekuwa akiishika.
Na iwe bahati mbaya kuwa, maoni yangu yawe yalipotosha mahali. Naogopa sana.
Ova
Maelezo.yangu yako wazi kabisa. Rudia kusoma au mtafute mtu mwenye uwezo wa kusoma na kuelewa wakusaidie.Etiiii????
Kupindua Imani??? Yani uandike viroja useme ni Hoja???
Ngoja kukuche Unieleze vizuri......
Napitis post zako za nyuma ili nikujue..... Sawa????
Hujui kituWacha kutafuta cheap popularity kwa kujiita Mkatoliki......Sawa??
Ehh! Hoja Yako no nini?? Maana naona porojo na viroja tuu umewndika
hahaha, endelea kuomba kwa maria na watu uone kama utakuja kupata majibu, na moto unakusubiri. na kafuteni ule mstari Yesu alisisitiza watu waombe kwa Jina lake tu. maria na wafu wenu wote hawajafufuka tunajua siku ya ufufuo watafufuliwa na wengine ili wakalishwe kwenye hukumu, ila Yesu Kristo tu ndiye amefufuka na ndiye tunajua yupo hai. Mungu awasaidie.Wewe ni mtoto wa shetani, hujui ulichoandika
Proved
Mimi binafsi nimetoa ushauri sana hapa JF mara nyingi kuhusu dhehebu na imani ya Kikatoliki,it is anti-christ.Nimeliita dhehebu kwa kuwa ndivyo lilivyo,sio Kanisa.Kanisa ni mkusanyiko wa watu wanaomuamini Bwana Yesu,Waroma hawamuamini Bwana Yesu,wanamuabudu Shetani bila wao wenyewe kujua,and the top brass knows what is going on.Msikilize Pope Francis hapa chini,utaona kwamba anajua kinachoendelea,na,hapa ameamua kusema ukweli about himself and the teachings of Catholicism,obviously kwa kusukumwa na Mungu aseme ukweli huo.Bwana Yesu amesema pando asilolipanda Mungu litang'olewa,in this case amemtumia Pope mwenyewe,how surprising.
Mathayo 15:13
13 Akajibu, akasema, Kila pando asilolipanda Baba yangu wa mbinguni litang'olewa.
View: https://youtu.be/lzmRVmlqGKU?si=z-mur23DirjsCxs5
Infact hata kuita Catholicism dhehebu au Dini ni kuliheshimisha sana,it is a cult.Satanism in Catholicism is very obvious and has been there since the inception of the denomination.The symbolism, teachings na vitendo vya viongozi tells it all,ni kwa sababu tu waliomo humo wameziba masikio yao,hawataki kujifunza ukweli, kwa hiyo nikiri kwamba hawana nia kabisa ya kwenda mbinguni,it is total hipocricy.Wao naona wameridhika siku ya Jumapili ambayo sio siku ya ibada anyway, na hata Pope Francis amekiri kwenye clip,kuingia na kutoka kwenye nyumba zinazoitwa za ibada,wakidhani wanamuabudu Mungu wa kweli,kumbe wanamuabudu Shetani,inatia huruma sana.
Mkatoliki mwenye nia ya kujifunza na kujua ukweli akiisoma Biblia kwa nia ya kweli ya kumjua Mungu, hawezi kuwa Mroma.Pia Mroma akitafuta ukweli kuhusu the Jesuits ambalo infact ni kama jeshi la Papa, hawezi kuendelea kuwa Mroma,it is such an evil organization,haina tofauti yeyote na underground societies zingine kama Skull and Bones or Freemasons.It is important to note that Pope Francis is a Jesuit member.
I believe It is time to wake up,watu watadanganywa mpaka lini?
Makanisa ya waabudu sanamu.Hii haikuhusu wewe mlokole ambaye hauna ushirika yaani mchungaji wako akifa na kanisa linakufa wala wewe msabato ambaye tumaini lako katika wokovu linategemea mahubiri ya mabaya ya kanisa
Wapendwa katika bwana TUMSIFU YESU KRISTU
Bwana Yesu alisema
"
Mathayo 10:16
Angalieni, mimi nawatuma kama kondoo kati ya mbwa-mwitu; basi iweni na busara kama nyoka, na kuwa watu wapole kama hua.
Naam na yale yote aliyosema yeye yametukia katika vipindi mbalimbali ndani ya kanisa
Kwa karne nyingi, kanisa Katoliki limekuwa likiongozwa na Papa, ambaye alikuwa ishara ya wema kama Kristo na sauti muhimu ya maadili kwa baadhi ya masuala muhimu zaidi ya kisiasa na kijamii duniani. Walakini, licha ya sifa yao ya kuwa mshiriki mwadilifu na mwenye maadili katika ulimwengu wa Kikatoliki, hii haijawahi kuwa hivyo kila wakati.
Leo ninakuletea baadhi ya mapapa waovu kuwahi kutokea katika kanisa kama ulidhani papa Fransisi ni muovu wa kwanza
Yohana XII
Tangu kutwaa uongozi akiwa na umri wa miaka kumi na minane tu, haungekuwa mwanzo mzuri kwa Papa John XII. Moyo wake mchanga haukuwa tayari kwa maisha ya Papa na hivi karibuni alibadilisha makazi yake kuwa danguro. Akienda chini zaidi kwenye shimo la sungura, alishiriki katika kuua, kushawishi pepo, na hata kufanya ngono na dada zake. Uzinzi wake uliishia kuwa kifo chake hata hivyo baada ya mume kumshika mke wake kitandani na John XII na kumpiga papa vibaya sana, kwamba alikufa siku tatu baadaye kutokana na majeraha yake.
(Kuna filamu inaitwa Young pope, itazame)
Boniface VIII
Nukuu maarufu na ya kuogofya ya Boniface VIII ilikuwa kwamba watoto wadogo hawakuwa na tatizo zaidi ya “kusugua mkono mmoja dhidi ya mwingine.” Alichaguliwa mnamo 1294, Boniface VIII alianzisha safu ya sanamu kuzunguka jiji hilo na hata kuharibu jiji la Palestrina kwa ugomvi wa kibinafsi. Alikuwa na sifa ya ukaidi na ustadi wa kuanzisha mapigano.
Benedict IX
Benedict IX alikuwa papa katika matukio 3 tofauti wakati wa uhai wake, na ya kwanza ikiwa ni alipokuwa na umri wa miaka 12 tu. Alikua mvulana mwovu na alikimbia kutoka kwenye nafasi hiyo na kujificha ndani ya jiji wakati wapinzani wa kisiasa walipojaribu kumuua. Katika muda kati ya utawala wake, alianza kuiba, kuua na kufanya ‘matendo mengine yasiyosemeka’ katika jiji lote. Akawa papa tena mnamo 1045, ambayo ilidumu miezi 2 tu kabla ya mtu kumlipa kuondoka. Miaka miwili baada ya kuondoka kwa mara ya pili, alijaribu tena, na kudumu miezi minane pekee wakati huu kabla ya hatimaye kufukuzwa na kutorejea tena.
Alexander VI
Alianza na upapa wake kwa kishindo cha kukaidi, akipata tu nafasi ya Papa kwa kuwahonga makadinali wenzake. Kabla ya kuwa Papa, alikuwa mwanachama wa Borgias, familia ya uhalifu ya Italia, na mtazamo wake haukubadilika baada ya kuwa Papa. Wakati wake, njama nyingi na ukosefu wa uaminifu ulimzunguka na maamuzi yake. Pamoja na kuwa papa mjuzi katika siasa, pia alikuwa mzinzi. Alizaa watoto wasiopungua tisa ambao tunawafahamu na alikuwa maarufu kwa kuandaa karamu nyingi katika kipindi chote cha utawala wake, huku mmoja akiitwa 'Joust of Whores.' Anazidi kuwa mbaya zaidi unapoona ripoti nyingi ambapo Alexander VI alifanya ngono na jamaa. binti yake, Lucrezia.
Sergius III
Sergius III hakumuua tu Papa kabla yake, lakini pia alimuua papa kabla ya hapo, akiweka wakati wa kuwasili kwake kutawala kikamilifu. Kisha alitumia uwezo wake kumweka mtoto wake, Papa John XI (young Pope), aliyezaa na bibi yake kahaba mwenye umri wa miaka 15, kuwa Papa miaka ishirini baada yake.
Leo X
Leo X ni maarufu kwa matumizi yake ya kifahari wakati wa utawala wake, na kuwa mlezi wa sanaa ambaye aliagiza kujengwa upya kwa Basilica ya St. Baada ya pochi ya kanisa kuwa nyepesi kidogo, Leo X kisha akawashawishi waumini wangeweza kununua njia yao ya kwenda mbinguni, kwa kuuza msamaha ambao ungepunguza dhambi zao (mshenzi sana huyu).
Stephen VI
Papa huyu alianza enzi yake kwa maonyesho mabaya, akimchimbua mtangulizi wake, Papa Formosus, na kuonyesha maiti yake kuhukumiwa. Mwili mlegevu wa Formosus uliimarishwa kwenye kiti cha enzi huku Stephen VI akipiga kelele kwa maswali ambayo hayajajibiwa, akimshutumu kwa kukufuru wakati wa ukuu wake. Haishangazi, papa aliyekufa alipoteza, na mwili wake ukatupwa kwenye Mto Tiber. Hata hivyo, baadaye mwili huo ulitolewa mtoni na kuzikwa ipasavyo na wafuasi wa Formosus. Stephen VI baadaye alifungwa na kunyongwa hadi kufa na wafuasi wa Formosus.
Kwa baadhi tu ni hao lakini wapo wengi sana mapapa waovu ambao walilipaka kinyeai na kuinajisi taswira ya kanisa ila kanisa limesimama na litasimama hadi miisho ya dunia
Angalieni upumbavu wa papa Fransisi;
Papa Francis amemvua uaskofu rasmi Askofu Joseph Strickland wa Tyler, Texas kwa kuwa "Mkatoliki kupita kiasi."
“Licha ya kuonywa mara kwa mara, Askofu Strickland alikataa kuacha kuwa Mkatoliki,” alisema Papa Francis. "Alishikilia kwa uthabiti fundisho la Kikatoliki, na hakuna nafasi kwa hilo katika Kanisa Katoliki la leo."
Kulingana na vyanzo, Askofu Strickland hapo awali alikasirisha Vatican kutokana na vipindi vingi vya yeye kukiri imani ya Kikatoliki hadharani. "Askofu Strickland alikuwa na ujasiri wa ajabu wa kufundisha Katekisimu ya Kanisa Katoliki," Kardinali Robert McElroy alisema. "Kama, hata sehemu zisizopendwa sana kuhusu jinsia na ndoa. Mambo hayo ni hivyo - Papa alisemaje - 'nyuma na nje ya kuguswa'! Hata hivyo, Papa Francis alitaka kuhakikisha kuwa Wakatoliki wote huko nje wanashikilia kwa nguvu. kwa mafundisho ya Kanisa wanapopambana na utamaduni unaozidi kuwa na uadui wanajua jinsi walivyo peke yao kweli."
Hata baada ya mawaidha mengi kutoka kwa Vatikani, Askofu Strickland alichagua kuthibitisha mafundisho ya kimahakimu ya Kanisa Katoliki badala ya kukubali itikadi kuu ya kitamaduni. Katika jitihada ya kufanya mashtaka dhidi ya Strickland kuwa ya kejeli iwezekanavyo, Vatikani ilimshutumu Askofu Strickland kwa kuchagua itikadi za kitamaduni badala ya mafundisho ya Kanisa Katoliki. "Kicheshi kweli ni kitamu, sivyo?" Alisema Papa Francis akitabasamu. "Ni kama nilipopiga marufuku kusherehekea Misa ya Kilatini, ikidaiwa kuwa kwa ajili ya umoja wa kanisa - wakati Misa ya Kilatini bila shaka ni njia ya kuunganisha Wakatoliki katika vizazi na tamaduni. Pia, parokia hizo za Misa ya Kilatini zilikuwa zikikua - ilibidi katika chipukizi."
Wakati wa uchapishaji, Wakatoliki walikuwa wamekumbuka kwamba historia ya Kanisa ilikuwa imejaa Mapapa wakorofi ambao kwa hakika waliwachoma moto watu kwa kuwa Wakatoliki kupita kiasi, lakini milango ya Kuzimu haitamshinda bibi-arusi wa Kristo.
Yawezekana papa Fransisi ni shoga au ana maslahi na ushoga, haya mambo tulikuwa tunayashangaa kwa waanglikana na walutheri na hata walokole wa magharibi kuhusu kulegeza Sheria najisi zinazopingana na ukristu Sasa nasi yametufika. Ulimwengu haujaisha huu ushawishi wa kishetani utaenda na kufika hata katika jamii za waadventista na waislamu, muda utasema tu (Niliwahi kusoma makala moja kuhusu msikiti wa mashoga ujerumani)
Hivyo wapendwa katika Kristu msife moyo maana shetani halali anapotaka kutawanya huja hata Kati yetu Jambo la pekee ni kujua kuwa KRISTU YEAU NDIYE TUMAINI LETU
Yohana 16:33
Hayo nimewaambieni mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo; mimi nimeushinda ulimwengu.
Ninafanya nililotumwa na Bwana Yesu,I am sorry I have to do it,kama nitamkwaza mtu bad luck.Mimi na wewe tuko njia tofauti, Mimi natoa awareness wewe unaleta chuki zako za kimadhehebu, hujamuelewa na huwezi kunielewa ikiwa utakaza fuvu kwenye hilo dhehebu lako. Sijui ni Nani aliyekudanganya huko ulipo Kuna watu Safi kabisa, sijui ni Nani kwa kweli acha huo upumbavu na uwe mtu unayeweza kjua mabaya na mazuri sehemu yoyote gata ile unayoipenda
Nakubaliana na ulichosema na naamini unaelewa ninachomaanisha kwenye huu uziNinafanya nililotumwa na Bwana Yesu,I am sorry I have to do it,kama nitamkwaza mtu bad luck.
Hivi ndivyo Bwana Yesu alivyoniagiza👇
So do not be afraid of them, for there is nothing concealed that will not be disclosed or hidden that will not be made known. What I tell you in the dark, speak in the daylight; what is whispered in your ear, proclaim from the roofs. Do not be afraid of those who kill the body but cannot kill the soul. Rather, be afraid of the One who can destroy both soul and body in hell.” Mathew 10:26-28
As a final note naomba nikukumbushe jambo moja la msingi sana,njia ya kuingiza mbinguni ni moja tu,kumuamini Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako tu,any other teaching is of the Devil.Mbinguni sio sokoni kwamba kila mtu anaweza kuchagua njia yake na akafika,no,it is only through faith in Jesus Christ as Lord and Savior.Dini yako however good it might be,haikusaidii kabisa.Remember,salvation has nothing to do with religion.