Ukweli mchungu: Wanaume hupenda mwanamke malaya kuliko mtulivu. Ndiyo maana malaya wana bahati ya kuolewa mapema kuzidi wengine

Mbona huu mwandiko sijauelewa huu.. wewe itakuwa mswahili aisee
 
Watulivu mnachagua sana na vigezo kama vyote
 
Mbona huu mwandiko sijauelewa huu.. wewe itakuwa mswahili aisee
Huwezi kuuerewa udugu wangu, tizama post zangu zingine utazierewa ila hapa Poooh utaamburia patupu nashukulu ufugu wangu miss pablo aminierewa wengine salamaleko...
Watulivu mnachagua sana na vigezo kama vyote
Akhaaa hatuchagui labda hatuna tu bahati au wakati bado
 
Nyie mliotulia mzazingua mkipigwa sound. Mnazungusha sana, sio kwamba hampenwi au hamtakwi
 
Sema kinachopelekea kutoka nje ni pale mke anakukatalia papuchi visingizio mia kidogo
 
Eti malaya wanaolewa .......Sokapo hapa!!!!! izi pisi ambazo unajua fulani na fulani kala ni kwa matumizi tuu na bata Mwaisa!!!.... nyumbani tunaweka toto la kawaida kabisaa tusichapiwe!!! hii ni kwa wanaume wote wasio washamba wa hizi mambo......nyie oeni tu chama la wana tukiwachapia mstulaumu!!
 
Fikra zako co zetu wote.
 
Mwanamke Malaya ndio yupoje .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…