Grealish10
Senior Member
- Mar 25, 2020
- 104
- 294
Unajua kuna walokole mpaka chumbani na kuna watu chumbani ni.malaya nje walokoleSisi wa kawaida tunauliza.... Unamaanisha nini hapa?[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua kuna walokole mpaka chumbani na kuna watu chumbani ni.malaya nje walokoleSisi wa kawaida tunauliza.... Unamaanisha nini hapa?[emoji3]
Mbona huu mwandiko sijauelewa huu.. wewe itakuwa mswahili aiseeMnyazi Mungu akuweke sana udugu wangu Dmkali
huo ndo ukweli, wanaume wanapenda malaya, aivo nna udugu wangu mwenyewe Zainab malaya wa mburahati anaolewa kutwa mara 3, mie nipo tu kama yatima niliesuswa, Poooh malaya nimefungwa kuolewa... Aivo naenda kisarawe kwa bibi angu kambaulaya malaya wa TANU mwenye ndoa 7 akanifungue!
Poooh ukweli ndo huu udugu wangu Dmkali malaya ndo wanaolewa, sisi watulivu tumekalia Salamaleko Mnyanzi Mungu atusaidie.
Kama unamnyima hitaji muhimu unategemea nin, au unampa kwa masharti kibao unategemea ninWatakupinga, ila kila siku wanaacha wake zao nyumbani wanaenda kununua malaya
Watulivu mnachagua sana na vigezo kama vyoteMnyazi Mungu akuweke sana udugu wangu Dmkali
huo ndo ukweli, wanaume wanapenda malaya, aivo nna udugu wangu mwenyewe Zainab malaya wa mburahati anaolewa kutwa mara 3, mie nipo tu kama yatima niliesuswa, Poooh malaya nimefungwa kuolewa... Aivo naenda kisarawe kwa bibi angu kambaulaya malaya wa TANU mwenye ndoa 7 akanifungue!
Poooh ukweli ndo huu udugu wangu Dmkali malaya ndo wanaolewa, sisi watulivu tumekalia Salamaleko Mnyanzi Mungu atusaidie.
Pole, sio wote wanaonyimwa.Kama unamnyima hitaji muhimu unategemea nin, au unampa kwa masharti kibao unategemea nin
Umenikumbusha mbali hapo kwenye ulokole mpaka chumbani [emoji28]Unajua kuna walokole mpaka chumbani na kuna watu chumbani ni.malaya nje walokole
Huwezi kuuerewa udugu wangu, tizama post zangu zingine utazierewa ila hapa Poooh utaamburia patupu nashukulu ufugu wangu miss pablo aminierewa wengine salamaleko...Mbona huu mwandiko sijauelewa huu.. wewe itakuwa mswahili aisee
Akhaaa hatuchagui labda hatuna tu bahati au wakati badoWatulivu mnachagua sana na vigezo kama vyote
Yes yesUnajua kuna walokole mpaka chumbani na kuna watu chumbani ni.malaya nje walokole
Nyie mliotulia mzazingua mkipigwa sound. Mnazungusha sana, sio kwamba hampenwi au hamtakwiMnyazi Mungu akuweke sana udugu wangu Dmkali
huo ndo ukweli, wanaume wanapenda malaya, aivo nna udugu wangu mwenyewe Zainab malaya wa mburahati anaolewa kutwa mara 3, mie nipo tu kama yatima niliesuswa, Poooh malaya nimefungwa kuolewa... Aivo naenda kisarawe kwa bibi angu kambaulaya malaya wa TANU mwenye ndoa 7 akanifungue!
Poooh ukweli ndo huu udugu wangu Dmkali malaya ndo wanaolewa, sisi watulivu tumekalia Salamaleko Mnyanzi Mungu atusaidie.
Aah mie mie mwashabani nikatae bwana poooh, mnyazi Mungu anipige kelebuNyie mliotulia mzazingua mkipigwa sound. Mnazungusha sana, sio kwamba hampenwi au hamtakwi
Mtabaki mnasubiri mwanaume wa kushuka kutoka mbinguni.. mnakataa sana watu nyie. Paka hapa hata nikilianzisha PM unaniweka na blockaah mie mie mwashabani nikatae bwana poooh, mnyazi Mungu anipige kelebu
Waxushi sana wanamapozi kama wamerogwaMtabaki mnasubiri mwanaume wa kushuka kutoka mbinguni.. mnakataa sana watu nyie. Paka hapa hata nikilianzisha PM unaniweka na block
Aivo nimisubiri anishushie maraika Gabriel anipose, we baki hapo hapo ukitunanga Pooh, tuache na maisha yetu mwafulaaMtabaki mnasubiri mwanaume wa kushuka kutoka mbinguni.. mnakataa sana watu nyie. Paka hapa hata nikilianzisha PM unaniweka na block
Endelea kusubiri, hadi chini shimo lipoteeAivo nimisubiri anishushie maraika Gabriel anipose, we baki hapo hapo ukitunanga Pooh, tuache na maisha yetu mwafulaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema kinachopelekea kutoka nje ni pale mke anakukatalia papuchi visingizio mia kidogoWoi. Kuitwa mke Kuna raha Kama unapendwa na kuheshimiwa. Sio kila siku unapigwa matukio unatambua kabisa mume wangu anavua malaya tofauti kila siku hlf upo unajigamba wewe ni mke.
Wakati moyoni unasononeka, unadharauliwa wazi wazi unatamba na Pete yako eti wewe ni mke.
Inapita zaidi ya mwezi mume hajakugusa maana humvutii tena upo tu hapo home Kama msichana wa kazi.
Raha ya ndoa mume akutake kila siku, yaani anakutaka haswa na unajua kabisa so rahisi atoke nje ingawa anaweza kutoka lkn bado unapendwa na unatambua.
Fikra zako co zetu wote.Kimtazamo unaweza kudhani ni kweli wanaume hatupendi Malaya! Lakini kiuhalisia sivyo kabisa! Leo nawasanua muelewe somo hili mjifunze! Asilia (Nature) haitaweza kubadilika kamwe! Mwanaume kaumbiwa matamanio mengi mwilini! Mbaya zaidi matamanio hayo yanahitaji kutibiwa immediately pasipo kuchelewa.
Sio lazima iwe hivyo. Wengi hawanyimwi na wanatoka.Sema kinachopelekea kutoka nje ni pale mke anakukatalia papuchi visingizio mia kidogo
Mwanamke Malaya ndio yupoje .Kimtazamo unaweza kudhani ni kweli wanaume hatupendi Malaya! Lakini kiuhalisia sivyo kabisa! Leo nawasanua muelewe somo hili mjifunze! Asilia (Nature) haitaweza kubadilika kamwe! Mwanaume kaumbiwa matamanio mengi mwilini! Mbaya zaidi matamanio hayo yanahitaji kutibiwa immediately pasipo kuchelewa.